Kuhusu Manji: Shikamoo Tanzania

Bwana Mapesa

JF-Expert Member
Apr 28, 2011
2,551
1,777
Tumeonesha unafki wa kiwango cha lami... Mungu hatatusamehe hasa kizazi cha kuanzia miaka ya 70 mpaka leo.
Kuanzia Mafisadi Papa yupo..(wote tulipaza sauti)
Kagoda (yupo wote tulipaza sauti)
PSPF & NSSF (yupo wote tulipaza sauti)
TANESCO (yupo wote tulipaza sauti)
COCO BEACH (Yupo na wote tulipaza sauti).

Watafuna nchi kumi (yupo wote tulipaza sauti)
Leo mungu kasikia dua zenu, mumebadilika completely kila mtu kaonewa mara chuki.

Tuacheni unafki Mungu anatuona mjue?....
NB: I have enough resources to respond to whoever comes with logical questions.

Yanga Inapotea, Mwenyekiti anaamua anachokitaka, Aamua kuwakomesha Sekretariati
 
Tumeonesha unafki wa kiwango cha lami... Mungu hata tusamehe hasa kizazi cha kuanzia miaka ya 70 mpaka leo.
Kuanzia Mafisadi Papa yupo..(wote tulipaza sauti)
Kagoda (yupo wote tulipaza sauti)
Pspf & Nssf (yupo wote tulipaza sauti)
Tanesco (yupo wote tulipaza sauti)
COCO BEACH (Yupo na wote tulipaza sauti).
Watafuna nchi kumi (yupo wote tulipaza sauti)
Leo mungu kasikia dua zenu, mumebadilika completely kila mtu kaonewa mara chuki.
Tuacheni unafki Mungu anatuona mjue?....
Mods naomba huu uzi ujitegemee I have enough resources to respond to whoever comes with logical questions.
Umesahau ule uwanja wa BAKWATA pale Chang'ombe
 
Kumbe nyakati zote tulipaza sauti? Kwanini hakukamatwa basi?

Tunachopaza sauti sasa kupinga uonevu huu ni aina ya tuhuma anazotuhumiwa nazo.

Madawa ya kulevya hana hatia,na hili sakata la uhamiaji kwa sasa hana hatia pia.

Tunachotaka ni atuhumiwe kwa haki,sio kuzunguka mbuyu.
Period
 
Nadhani huna uhakika na unachokisema. Nimekua karibu naye almost mwaka mzima nikiwa mfanayakazi kwenye ofisi yake. Kinachofanyika 100% percent ni sahihi ila kwakua wengi hawafahamu watamtetea lakini yote ni kweli na Nina sema nilikua sehemu ya kuyafanikisha haya yanayoendelea. Take it from me
 
Tumeonesha unafki wa kiwango cha lami... Mungu hata tusamehe hasa kizazi cha kuanzia miaka ya 70 mpaka leo.
Kuanzia Mafisadi Papa yupo..(wote tulipaza sauti)
Kagoda (yupo wote tulipaza sauti)
Pspf & Nssf (yupo wote tulipaza sauti)
Tanesco (yupo wote tulipaza sauti)
COCO BEACH (Yupo na wote tulipaza sauti).
Watafuna nchi kumi (yupo wote tulipaza sauti)
Leo mungu kasikia dua zenu, mumebadilika completely kila mtu kaonewa mara chuki.
Tuacheni unafki Mungu anatuona mjue?....
Mods naomba huu uzi ujitegemee I have enough resources to respond to whoever comes with logical questions.

So What...........????
 
Kumbe nyakati zote tulipaza sauti? Kwanini hakukamatwa basi?

Tunachopaza sauti sasa kupinga uonevu huu ni aina ya tuhuma anazotuhumiwa nazo.

Madawa ya kulevya hana hatia,na hili sakata la uhamiaji kwa sasa hana hatia pia.

Tunachotaka ni atuhumiwe kwa haki,sio kuzunguka mbuyu.
Period
Duuh post zote wewe ni mtu wakutetea tu. kuna kitu hapo
 
Tumeonesha unafki wa kiwango cha lami... Mungu hata tusamehe hasa kizazi cha kuanzia miaka ya 70 mpaka leo.
Kuanzia Mafisadi Papa yupo..(wote tulipaza sauti)
Kagoda (yupo wote tulipaza sauti)
Pspf & Nssf (yupo wote tulipaza sauti)
Tanesco (yupo wote tulipaza sauti)
COCO BEACH (Yupo na wote tulipaza sauti).
Watafuna nchi kumi (yupo wote tulipaza sauti)
Leo mungu kasikia dua zenu, mumebadilika completely kila mtu kaonewa mara chuki.
Tuacheni unafki Mungu anatuona mjue?....
Mods naomba huu uzi ujitegemee I have enough resources to respond to whoever comes with logical questions.
Je, kuna uhusiano gani kati ya madawa ya kulevya na ukosefu wa maji nchini? au na foleni ndefu za barabarani? au na kupanda kwa gharama za umeme au na ukosefu wa chakula nchini? over!!
 
Shida haikuwa Manji akamatwe tuu bali ilikuwa yale makosa makubwa ambayo yanawahusisha pia watawala walio muwezesha ana hukumiwa nayo. Sasa leo unamshika eti kwa madawa ya kulevya unadhani utapata ushahidi wa kumuhusisha?

Halafu hayo bado si yatakuwa mashtaka yake mwenyewe wakati zile tuhuma nzito zilikuwa lazima zihusishe wazito waliomuwezesha au kushirikiana naye kufanikisha.

Hatuwezi kukubali kwa mfano yule wa UDA eti leo umlete mahakamani kwamba huyu anahusika na ubakaji wa kuku nasi tufurahi eti kapatikana wakati mambo ya msingi yanayotakiwa kuhojiwa mahakamani yako pending.
Hizo sasa ni chuki binafsi
 
Back
Top Bottom