Kuhusu Manji: Shikamoo Tanzania

Kuhusu Manji: Shikamoo Tanzania

Nadhani huna uhakika na unachokisema. Nimekua karibu naye almost mwaka mzima nikiwa mfanayakazi kwenye ofisi yake. Kinachofanyika 100% percent ni sahihi ila kwakua wengi hawafahamu watamtetea lakini yote ni kweli na Nina sema nilikua sehemu ya kuyafanikisha haya yanayoendelea. Take it from me

Kweli sio utani, ukifuatilia mfano mifuko ya jamii hasa pale wanaposema alichukua mkopo wa 9b kutoka mfuko mmojawapo akajenga majengo na baadae akawauzia mfuko uleule uliomkopesha kwa 90b.

Hii habari haijawahi kukanushwa!
Sema Watz mentality za kitumwa zimetutawala sana na hata wanaotufanyia haya wanalijua hili. Ni ngumu kuongelea ufisadi TZ na kumsideline huyu bwana japo atajificha chini ya mwavuli wa ubaguzi (kuonewa kwa uhindi wake).

Ni sawa kuwa hakufanya haya yote direct maana alikuwa na vibaraka wake serikarini lakini kuna haja ya kurudisha hadhi ya utawala japo awamu hii nayo inakuja na miluzi miluzi mingi!
 
Tumeonesha unafki wa kiwango cha lami... Mungu hata tusamehe hasa kizazi cha kuanzia miaka ya 70 mpaka leo.
Kuanzia Mafisadi Papa yupo..(wote tulipaza sauti)
Kagoda (yupo wote tulipaza sauti)
Pspf & Nssf (yupo wote tulipaza sauti)
Tanesco (yupo wote tulipaza sauti)
COCO BEACH (Yupo na wote tulipaza sauti).
Watafuna nchi kumi (yupo wote tulipaza sauti)
Leo mungu kasikia dua zenu, mumebadilika completely kila mtu kaonewa mara chuki.
Tuacheni unafki Mungu anatuona mjue?....
Mods naomba huu uzi ujitegemee I have enough resources to respond to whoever comes with logical questions.
With confidence, you have won before you have started.
 
Kinacho tusumbua watanzania ni njaa tu. Mkuu usione wanamtetea tatizo njaa siyo kingine watu wanashindwa kuwatetea ndugu zao walifungwa bila hatia wanamtetea bepari wapi na wapi wanajua Mali zake anavyozipata? Mwacheni ajibie yanayomuhusu yeye ni mtanzania kama wengine wewe unaemtetea ni nani? Na unamtetea amekuomba? Au nikujipendekeza tu na kama amekuomba subiri wakati mwafaka ukamtee usitupigie kelele hapa nani asiejua mabepari wanatumia vyeo vyao kuficha maovu yao? Wewe mtu povu linakutoka na kama kweli anamakosa utasema nini? Nasema mwacheni awajibike kama watuhumiwa wengine.
 
Kumbe nyakati zote tulipaza sauti? Kwanini hakukamatwa basi?

Tunachopaza sauti sasa kupinga uonevu huu ni aina ya tuhuma anazotuhumiwa nazo.

Madawa ya kulevya hana hatia,na hili sakata la uhamiaji kwa sasa hana hatia pia.

Tunachotaka ni atuhumiwe kwa haki,sio kuzunguka mbuyu.
Period
Dada wewe unamjua sana Manji? Mbona unamtetea sana? Mbona unatetea kwa kuhisi tu?

Acha selikali ifanye kazi.
 
Tatizo hayo yote uliyoyataja sio yale yanayomsumbua sasa.

Huko kwingine wanahusika wengi hata mtakatifu naamin yupo.

Ila wamemtafutia zengwe zingine ambazo wanaishia kuangukia pua tu.
Sasa tunahitaji kumsubiri, mambo ni mengi.
 
Tumeonesha unafki wa kiwango cha lami... Mungu hata tusamehe hasa kizazi cha kuanzia miaka ya 70 mpaka leo.
Kuanzia Mafisadi Papa yupo..(wote tulipaza sauti)
Kagoda (yupo wote tulipaza sauti)
Pspf & Nssf (yupo wote tulipaza sauti)
Tanesco (yupo wote tulipaza sauti)
COCO BEACH (Yupo na wote tulipaza sauti).
Watafuna nchi kumi (yupo wote tulipaza sauti)
Leo mungu kasikia dua zenu, mumebadilika completely kila mtu kaonewa mara chuki.
Tuacheni unafki Mungu anatuona mjue?....
Mods naomba huu uzi ujitegemee I have enough resources to respond to whoever comes with logical questions.
Mv Dar es salaam wote kimya[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hakuna unafiki hapa!
Mkuu hiki ni kipimo tosha, ukiona watanzania mbumbumbu wameshtuka ujue kuna kitu!

Manji kaonewa kwa hili, yaan ad waswahili waliokuwa wanampinga now wanamuunga mkono
Kwa akili hizi hata dada yetu hapo chini mtakuja kusema kaonewa
003.jpg
dddd.jpg
MANGE.jpg
agnes.jpg
3a1c6__masogange10.JPG
agnes-masogange-1sdsd.jpg
 
Huwezi ukamshutumu mtu eti ameajiri wafanyakazi wasio na Kigali nchini akati alikwishA staaf since January 2016 and jaman mbona shule watu wameenda there is a difference btn company and sole company ts stand like a human when it's come to ownership owners or shareholders wanakuwa hawahusiki kama kuishtaki unaishtaki kampun na sio owner huu n unyanyasaji wazi wazi watanzania hatupumbazwi now days qengi wamesoma ata uelewa tunao
 
Kweli sio utani, ukifuatilia mfano mifuko ya jamii hasa pale wanaposema alichukua mkopo wa 9b kutoka mfuko mmojawapo akajenga majengo na baadae akawauzia mfuko uleule uliomkopesha kwa 90b. Hii habari haijawahi kukanushwa!
Sema Watz mentality za kitumwa zimetutawala sana na hata wanaotufanyia haya wanalijua hili. Ni ngumu kuongelea ufisadi TZ na kumsideline huyu bwana japo atajificha chini ya mwavuli wa ubaguzi (kuonewa kwa uhindi wake).

Ni sawa kuwa hakufanya haya yote direct maana alikuwa na vibaraka wake serikarini lakini kuna haja ya kurudisha hadhi ya utawala japo awamu hii nayo inakuja na miluzi miluzi mingi!

Huoni walionunua nyumba ndo wanatakiwa kuwajibishwa,

Manji mfanyabiashara ana-focus faida ukikaa kizemba anakupiga tena kwa makubaliano hakutapeli.
 
Tatizo mi nadhani si watu kulalamikia Manji kuonewa bali kinacholeta hii mitazamo ni ukiukwaji wa taratibu za nchi katika kukabiliana na uharifu huu.Kama sikosei kama Taifa ni wiki jana ndiyo tumegunda kwamba tunazo taratibu za kisheria za kupambana na uharifu japo zilikuwepo.Katika Mazingira kama hayo huwezi kulaumu mwananchi ambaye ana hisia kwa mbali kwamba taratibu za nchi hazijafuatwa katika kulishughulikia tatizo.
 
Kumbe nyakati zote tulipaza sauti? Kwanini hakukamatwa basi?

Tunachopaza sauti sasa kupinga uonevu huu ni aina ya tuhuma anazotuhumiwa nazo.

Madawa ya kulevya hana hatia,na hili sakata la uhamiaji kwa sasa hana hatia pia.

Tunachotaka ni atuhumiwe kwa haki,sio kuzunguka mbuyu.
Period

Kwel kabsa
 
Back
Top Bottom