Kweli sio utani, ukifuatilia mfano mifuko ya jamii hasa pale wanaposema alichukua mkopo wa 9b kutoka mfuko mmojawapo akajenga majengo na baadae akawauzia mfuko uleule uliomkopesha kwa 90b.
Hii habari haijawahi kukanushwa!
Sema Watz mentality za kitumwa zimetutawala sana na hata wanaotufanyia haya wanalijua hili. Ni ngumu kuongelea ufisadi TZ na kumsideline huyu bwana japo atajificha chini ya mwavuli wa ubaguzi (kuonewa kwa uhindi wake).
Ni sawa kuwa hakufanya haya yote direct maana alikuwa na vibaraka wake serikarini lakini kuna haja ya kurudisha hadhi ya utawala japo awamu hii nayo inakuja na miluzi miluzi mingi!