DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,993
- 11,878
Umesahau na YANGA YETUUmesahau ule uwanja wa BAKWATA pale Chang'ombe
Umesahau na YANGA YETUUmesahau ule uwanja wa BAKWATA pale Chang'ombe
Wanaharaka sana utadhani Manji ni teja wa stendi ambae unaweza kukamata jioni asubuhi ukapeleka mahakamaniUshahidi na uthibitisho unapatikana ama kukosekana baada ya mahojiano.tusubiri vyombo vimalize kazi yake
Nataka kujua hayo mabegi mawili ya hela yalipelekwa wapi??Kwa akili hizi hata dada yetu hapo chini mtakuja kusema kaonewa
View attachment 470759View attachment 470760View attachment 470761View attachment 470762View attachment 470763View attachment 470764
Kisasi ndo kilimfanya aingize wahindi kinyemela na kuwanyima Kazi wazawa? Kaz za hao wahindi ni kama hapo chiniKweli kaka hapa ukiangalia kwa makini ni visasi tu hakuna kingine
Hasingeitwa polisi pamoja na mwenyekiti wa chama flani mngepaza sauti "Na asulibiwe tu katuchosha , katunyonya.." Mkuki kwa nguruwe tu kwa binadamu mchungu.Kumbe nyakati zote tulipaza sauti? Kwanini hakukamatwa basi?
Tunachopaza sauti sasa kupinga uonevu huu ni aina ya tuhuma anazotuhumiwa nazo.
Madawa ya kulevya hana hatia,na hili sakata la uhamiaji kwa sasa hana hatia pia.
Tunachotaka ni atuhumiwe kwa haki,sio kuzunguka mbuyu.
Period
Wanamjua kwenye magazeti he is a beast who makes wofls of the Wallstreet looks puppyNadhani huna uhakika na unachokisema. Nimekua karibu naye almost mwaka mzima nikiwa mfanayakazi kwenye ofisi yake. Kinachofanyika 100% percent ni sahihi ila kwakua wengi hawafahamu watamtetea lakini yote ni kweli na Nina sema nilikua sehemu ya kuyafanikisha haya yanayoendelea. Take it from me
Mbona watumiaji wengine wameachiwa?Mods naomba ID yangu iheshimiwe na kulindwa. Manji na Gwajima mtakumbuka walifika kituoni siku moja na kulala wote chumba kimoja (SHIMONI), baada ya kwenda kwa mkemia ,kuu wa serikali Gwajima alliruhusiwa na kurudi kwenye makazi yake. Watu hawajiulizi kwanini Manji mpaka leo anashikiliwa na jeshi la polisi ila tu kutoa lawama kwamba anaonewa.
Issue ni kwamba Baada ya kwenda kwa mkemia Manji alionekana na kiwango kikubwa cha madawa ya kulevya na hivyo kulazimika kubaki na kusaidia upande wa jamuhuri ni wapi anapopata na hapo ndipo presha ilipoanzia.
oVa
Go to hellSo What...........????
Kipimo cha ujinga hakina rangiDuuh post zote wewe ni mtu wakutetea tu. kuna kitu hapo
Yanga alitaka kuwauzia mbuzi kwenye gunia kwa kuwapa eneo lenye utata la Shirika la Taifa la Kilimo na Chakula (NAFCO). Jamaa mtata sanaUmesahau na YANGA YETU
Tumeonesha unafki wa kiwango cha lami... Mungu hatatusamehe hasa kizazi cha kuanzia miaka ya 70 mpaka leo.
Kuanzia Mafisadi Papa yupo..(wote tulipaza sauti)
Kagoda (yupo wote tulipaza sauti)
PSPF & NSSF (yupo wote tulipaza sauti)
TANESCO (yupo wote tulipaza sauti)
COCO BEACH (Yupo na wote tulipaza sauti).
Watafuna nchi kumi (yupo wote tulipaza sauti)
Leo mungu kasikia dua zenu, mumebadilika completely kila mtu kaonewa mara chuki.
Tuacheni unafki Mungu anatuona mjue?....
NB: I have enough resources to respond to whoever comes with logical questions.
Madawa ni count moja na uhamiaji ni count ya Pili, counts nyingine zipo njiani. Mbona kuna watu wameshtakiwa makosa zaidi ya Mia mbili, rejea kesi ya aliyekuwa anaingiza million saba kwa dakika. Manji deals zake ni za billion 50 kwa saaJe, kuna uhusiano gani kati ya madawa ya kulevya na ukosefu wa maji nchini? au na foleni ndefu za barabarani? au na kupanda kwa gharama za umeme au na ukosefu wa chakula nchini? over!!
Make some sense plzThread haieleweki atakama inaeleweka haimake sense
Kwa hiyo afunguliwe Baraba? Hahaha wa Tz kweli badoShida haikuwa Manji akamatwe tuu bali ilikuwa yale makosa makubwa ambayo yanawahusisha pia watawala walio muwezesha ana hukumiwa nayo. Sasa leo unamshika eti kwa madawa ya kulevya unadhani utapata ushahidi wa kumuhusisha?
Halafu hayo bado si yatakuwa mashtaka yake mwenyewe wakati zile tuhuma nzito zilikuwa lazima zihusishe wazito waliomuwezesha au kushirikiana naye kufanikisha.
Hatuwezi kukubali kwa mfano yule wa UDA eti leo umlete mahakamani kwamba huyu anahusika na ubakaji wa kuku nasi tufurahi eti kapatikana wakati mambo ya msingi yanayotakiwa kuhojiwa mahakamani yako pending.
Hizo sasa ni chuki binafsi
Na bado mtanyooka tu, maana mapovu yameshaanza kuwatokaKafieni mbali.
Halafu wanalalamikia fao la kujitoa, they don't know who are the source of everything
Kweli sio utani, ukifuatilia mfano mifuko ya jamii hasa pale wanaposema alichukua mkopo wa 9b kutoka mfuko mmojawapo akajenga majengo na baadae akawauzia mfuko uleule uliomkopesha kwa 90b.
Hii habari haijawahi kukanushwa!
Sema Watz mentality za kitumwa zimetutawala sana na hata wanaotufanyia haya wanalijua hili. Ni ngumu kuongelea ufisadi TZ na kumsideline huyu bwana japo atajificha chini ya mwavuli wa ubaguzi (kuonewa kwa uhindi wake).
Ni sawa kuwa hakufanya haya yote direct maana alikuwa na vibaraka wake serikarini lakini kuna haja ya kurudisha hadhi ya utawala japo awamu hii nayo inakuja na miluzi miluzi mingi!
Mkuu nadhani unaweka na ushabiki wa kisiasa katika hili jambo.Manji alikwisha achia madaraka yake katika kampuni kwa hiyari mwaka jana.Sasa kamishna anaposema walikuwa wanataka kumkamata jana tunapatwa na mashaka kwamba hili jambo si la kampuni bali ni yeye kama "Yusuph" ndio wanayemtaka.Nadhani huna uhakika na unachokisema. Nimekua karibu naye almost mwaka mzima nikiwa mfanayakazi kwenye ofisi yake. Kinachofanyika 100% percent ni sahihi ila kwakua wengi hawafahamu watamtetea lakini yote ni kweli na Nina sema nilikua sehemu ya kuyafanikisha haya yanayoendelea. Take it from me