Mh.hunsome ni mwenyekiti wa chama ganiHukumbuki Yusuf Manji alikatwa kwenye kugombea udiwani then pesa ikaongea Mr. Handsome akarudisha jina kwa barua moja toka makao makuu ya Chama?
Kwani wewe ndugu zako wangapi waliobambikiwa kesi umewatetea? Unauhakika amebambikiwa kesi? Je unaweza thibitisha hilo? Wewe na manji ni ndugu?Kwa hiyo hata wewe ukipandikiziwa kesi tushangilie?
We kwako ni ya kwanza sio. .Nafikiri kingereza umejifunza ni lugha ya tatu kwako!
mnafiki ni wewe unaishi kwa kukremisha...mfano umekremisha neno "unafiki" ukajumuisha "watanzania wanafiki" sidhan kama una uelewa na ulichokomenti zaidi ya kukremishaKumwelewa mtanzania ni ngumu Sana.. Hakuna Kazi kungumu Kama kuongoza au kuishi na wanafki..
Ww utakuwa zumbukuku.. Hivi umefuatilia matukio yanayotokea Hapa nchini?mnafiki ni wewe unaishi kwa kukremisha...mfano umekremisha neno "unafiki" ukajumuisha "watanzania wanafiki" sidhan kama una uelewa na ulichokomenti zaidi ya kukremisha
Umesahau sakata la maburungutu ya minoti ktk dubious ya kumpitisha Membe uchaguzi mkutano mkuu CCM (Yupo wote tulipaza sauti)Tumeonesha unafki wa kiwango cha lami... Mungu hatatusamehe hasa kizazi cha kuanzia miaka ya 70 mpaka leo.
Kuanzia Mafisadi Papa yupo..(wote tulipaza sauti)
Kagoda (yupo wote tulipaza sauti)
PSPF & NSSF (yupo wote tulipaza sauti)
TANESCO (yupo wote tulipaza sauti)
COCO BEACH (Yupo na wote tulipaza sauti).
Watafuna nchi kumi (yupo wote tulipaza sauti)
Leo mungu kasikia dua zenu, mumebadilika completely kila mtu kaonewa mara chuki.
Tuacheni unafki Mungu anatuona mjue?....
NB: I have enough resources to respond to whoever comes with logical questions.
Yanga Inapotea, Mwenyekiti anaamua anachokitaka, Aamua kuwakomesha Sekretariati
Kumbe nyakati zote tulipaza sauti? Kwanini hakukamatwa basi?
Tunachopaza sauti sasa kupinga uonevu huu ni aina ya tuhuma anazotuhumiwa nazo.
Madawa ya kulevya hana hatia,na hili sakata la uhamiaji kwa sasa hana hatia pia.
Tunachotaka ni atuhumiwe kwa haki,sio kuzunguka mbuyu.
Period