Kuhusu Manji: Shikamoo Tanzania

Kuhusu Manji: Shikamoo Tanzania

Mimi naungana kabisa na juhudi za serikali zinazotamkika kama kulikomboa taifa. Tunachopinga ni taratibu mbaya na kuwalinda waharifu wengine kwa kisingizio cha kutokufukua makaburi.

Tatizo ccm hawataki kukubali kwamba wanadandia agenda zisizokuwa zao, na hata naman ya kuzitekeleza hawajui ndipo wanaopoishia kuharibu kabisa kabisa. Hakuna mtu anayepngana na agenda. Tatizo ni approach mbovu ambayo inatoa mwanya wa kupenyezwa kwa hila, maudhui ya kulipa visasi, kukomoa watu makusudi, double standards na kuwaokoa waharifu wengine kwa makusudi.

Ninaimani umenielewa.
Kaka tatizo si Chama wala siasa kwenye uzi huu, suala ni tuhuma dhidi ya Manji, walienda wawili tuu mkafunga barabara central, je wangeitwa watafuna nchi kumi siku moja si Dar nzima ingesimama? Tuwe na subira jamani.
 
Wewe ndiwe mnafiki wa hali ya Jun. Maana unaandika vitu usivyovijua and kwa tamaa ya madaraka au Kwa kujifanya mwehu wakati una akili timamu.
Hatupingi juhudi yenye nia njema bali tunapinga usanii unaoendelea sasa hivi ama kwa chuki au kwa nia ya kukomoa watu wasio upande wenu.
Dhamira ya Makonda kwa Manji ni chuki binafsi au katumwa na Ridhiwani
Povu kaka.. Jenga hoja
 
Mungu alikuwa busy kusikiliza wengine, sasa amegeukia mafaili yetu.. Hivi mnajua athar za illegal migrants? Mnajua kias gani vijana hawana ajira wakati wengine wanaingia na wanafanya kaz bila kuwa na kibali?
Kwa yeye ndiye muajiri?mbona swala la Wahindi wa Dangote cement hamjampelaka mmiliki mahakamani ah sihasa?
 
Tumeonesha unafki wa kiwango cha lami... Mungu hatatusamehe hasa kizazi cha kuanzia miaka ya 70 mpaka leo.
Kuanzia Mafisadi Papa yupo..(wote tulipaza sauti)
Kagoda (yupo wote tulipaza sauti)
PSPF & NSSF (yupo wote tulipaza sauti)
TANESCO (yupo wote tulipaza sauti)
COCO BEACH (Yupo na wote tulipaza sauti).

Watafuna nchi kumi (yupo wote tulipaza sauti)
Leo mungu kasikia dua zenu, mumebadilika completely kila mtu kaonewa mara chuki.

Tuacheni unafki Mungu anatuona mjue?....
NB: I have enough resources to respond to whoever comes with logical questions.
Kwani ule utafiti uliosema Tanzania inaongoza kwa kuwa na watu wanafiki duniani ulifikiri uwongo? Ukaja mwingine wa kutumia asilimia moja kati ya mia kufikiri yaani watanzania tuliowengi kiujumla hatuna jema .
 
Manji ndio engine ya mafanikio ya Yanga kwa miaka 5 mfululizo sasa, je, hakuna chembechembe za wa mchangani hapa? hakuna ajuae.
Yanga ni Manji's extra bulletproof / shield.. anafunika mtego kwa majani tuu. Wengi hawalijui hilo, Manji hakuwahi kuwa mpenzi wa soka kabla ya kashfa za EPA kat ya 2000 na 2005, prior to that Manji hakuwahi hata kumiliki kadi ya uanachama Yanga
 
Wewe ndiwe mnafiki si hatutaki kuburuzwa alafu tuunge mkono uburuzwaji huo No.
We leo kukamatwa Manji we ndo unaona mmeburuzwa,? mbona machinga wanaburuzwa tokea enz za kina makamba hamkuingiwa na hofu kama huyu bwana?
 
Mods naomba ID yangu iheshimiwe na kulindwa. Manji na Gwajima mtakumbuka walifika kituoni siku moja na kulala wote chumba kimoja (SHIMONI), baada ya kwenda kwa mkemia ,kuu wa serikali Gwajima alliruhusiwa na kurudi kwenye makazi yake. Watu hawajiulizi kwanini Manji mpaka leo anashikiliwa na jeshi la polisi ila tu kutoa lawama kwamba anaonewa.
Issue ni kwamba Baada ya kwenda kwa mkemia Manji alionekana na kiwango kikubwa cha madawa ya kulevya na hivyo kulazimika kubaki na kusaidia upande wa jamuhuri ni wapi anapopata na hapo ndipo presha ilipoanzia.
oVa
wewe ni udictator unaendelea hakuna kingine kwani wamemkuta no Kilo ngapi wewe unayejua?
 
Ndo vinamfanya mkuu kendelea kusota ndani, the mess created by this man, can not be proved with a day or 2 days.. Jus chill, it takes sometimes before it's done.
Kesi hizi zina dhamana sema wanaogopa atawaumbua kwenye skendo ya NSSF na Coco Beach ndiyo maana wanamkomalia
 
Tumeonesha unafki wa kiwango cha lami... Mungu hatatusamehe hasa kizazi cha kuanzia miaka ya 70 mpaka leo.
Kuanzia Mafisadi Papa yupo..(wote tulipaza sauti)
Kagoda (yupo wote tulipaza sauti)
PSPF & NSSF (yupo wote tulipaza sauti)
TANESCO (yupo wote tulipaza sauti)
COCO BEACH (Yupo na wote tulipaza sauti).

Watafuna nchi kumi (yupo wote tulipaza sauti)
Leo mungu kasikia dua zenu, mumebadilika completely kila mtu kaonewa mara chuki.

Tuacheni unafki Mungu anatuona mjue?....
NB: I have enough resources to respond to whoever comes with logical questions.

Mkuu mi naomba haki ya kucopy huu ujumbe wako na nika upaste pale popote ambapo kuna chembe chembe za kumtetea manji..Kweli sisi watanzania ni WANAFKI SAANA...[HASHTAG]#TuachanenaUNAFIKI[/HASHTAG]
 
Wewe Shida Yako Kumbe Kazi Sasa Nimekuelewa, Kwa Uwezo Wako Huu Huu Wa Kuropoka Ropoka Upewe Kazi Kirahishi Rahisi Tu. Kwa Sifa Zipi Ulizonazo Mpaka Upewe Kazi Na Manji? Kwanza Unatakaje Kazi Kwa Mwizi/Fisadi/ZunguLaUnga? Umaskini Mbaya Sana Hasa Wa Akili
Ahsante tajiri wa akili [emoji122] [emoji120]
 
Hauna akili wewe ni udictator unaendelea hakuna kingine kwani wamemkuta no Kilo ngapi wewe unayejua?
Hivi unaanzaje kuhojiana na mtu asiye na akili kama mimi?
Habari za kilo ngapi waulize wenye akili mie mwenye busara siwezi jibu swali lako.
 
Waliobadilika ni wepi sasa...raia ''wanaolialia'' kuwa jamaa anaonewa au watawala na wanaCCM waliompa ubunge na akachangia kuitafuna keki ya Taifa na wenzake wachache kwa scandals zoote ulizotaja na sasa wamembadilikia?
Kaka we unataka nitaje Chama mi siko huko
 
Yale ni makaburi ambayo Magufuli alisema yakifukuliwa yatashindwa kufukika. Sasa Manji alitakiwa kusoma alama za nyakati.. Pamoja na mikwara yote ya serikali bado unaajiri watu kwa business visa? Huo utumbo uliwezekana kipindi cha mkwere tuu, Mkuu wa sasa kaa nae mbali
Mbona yeye kachukua dau ambaye ndiye fisadi mkuu wa nssf kampa ubalozi au hilo hulioni?
 
hata shetani anapaswa kutendewa haki kwenye adhabu anayopewa. Hapaswi kuadhibiwa kwa kosa ambalo hajafanya.

Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni.

Vita dhidi ya Manji sio vita ya madawa ya kulevya hata mtoto wa darasa la tatu anajua hili.
Kuna vitu nyuma yapanzia ambavyo Manji hakupaswa kuyajua, Mkuu unaweza kuambiwa twende tukamtembelee rafiki yetu kituo cha polisi mwisho ukaambia vua mkanda. Akiwa nje he is very dangerous.. Uchunguzi wa madudu yake ni muhimu yeye kuwa ndani, otherwise ata temper investigations. Jamaa ni mastermind mzuri kupitiliza
 
Back
Top Bottom