Jambazi
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 16,654
- 18,801
Jadili mada! Usijadili sentensi ya maneno mawiliHii sentense aina gani?
Jadili mada! Usijadili sentensi ya maneno mawiliHii sentense aina gani?
Tuwasubir polisi watoe tamko ndugu, sasa mbona mnaanza kulalama wakati hamjaambiwa nini kimejiri?Una evidence yoyote ya yeye kuhusika na madawa ya kulevya?
Acha chuki binafsi waliouza ni viongozi wakoEti Manji nae anajinasibu ni Muislamu wakati anadhulumu mali za waislamu!! Acha apate laana alizojitakia.
Hayo maneno yako yanatakiwa kuthibitishwa katika mahakama,kinyume na hapo ni hisia tu mkuu.Mikopo haramu ya kugawa pesa pande zote za wasaini mikataba?
Huo ndiyo unafiki mkubwaWanaharaka sana utadhani Manji ni teja wa stendi ambae unaweza kukamata jioni asubuhi ukapeleka mahakamani
Subir uhamiaji wamalize Kazi yaoSakata la Uhamiaji ni nani mwenye htiya tuambie tujue
Mkuu nami najiuliza kama weweTumeonesha unafki wa kiwango cha lami... Mungu hatatusamehe hasa kizazi cha kuanzia miaka ya 70 mpaka leo.
Kuanzia Mafisadi Papa yupo..(wote tulipaza sauti)
Kagoda (yupo wote tulipaza sauti)
PSPF & NSSF (yupo wote tulipaza sauti)
TANESCO (yupo wote tulipaza sauti)
COCO BEACH (Yupo na wote tulipaza sauti).
Watafuna nchi kumi (yupo wote tulipaza sauti)
Leo mungu kasikia dua zenu, mumebadilika completely kila mtu kaonewa mara chuki.
Tuacheni unafki Mungu anatuona mjue?....
NB: I have enough resources to respond to whoever comes with logical questions.
Kama angekuwa na nia njema asingelinunua huo uwanjaAcha chuki binafsi waliouza ni viongozi wako
Lugumi na Manji yumo ndugu kuwa mpole tuuKila wiki naendaga sinza pale Law skuli nauliza wiki hii wamekuja naambiwa hakuna mtu.
Swali nalojiuliza hiyo mahakama ilifunguliw kwa sababu gani.
Ningekuwa mimi Ndio Magufuli kesi ya Lugumi ndio ingekuwa chanzo changu na ya mfano.
Haituhusu hiyo, kwani wewe unadhani Manji anastahili kukamatwa kwa kosa lipi?Aliyemkabidhi madaraka yupo nchini?
Hapo sasa, kila kitu ni lazima kiwe na mwanzo sasa inategemea unaanzia juu kwenda chini au chini kwenda juu!Inamaana yeye alikuwa Mkurugezi NSSF? Ilikwa mtakatifu kumpatia Ubalozi fisadi Dau?
Tafakari jitambue
tumuhukumu kwa makosa yapi kama hajakutwa na hati?Tumeonesha unafki wa kiwango cha lami... Mungu hatatusamehe hasa kizazi cha kuanzia miaka ya 70 mpaka leo.
Kuanzia Mafisadi Papa yupo..(wote tulipaza sauti)
Kagoda (yupo wote tulipaza sauti)
PSPF & NSSF (yupo wote tulipaza sauti)
TANESCO (yupo wote tulipaza sauti)
COCO BEACH (Yupo na wote tulipaza sauti).
Watafuna nchi kumi (yupo wote tulipaza sauti)
Leo mungu kasikia dua zenu, mumebadilika completely kila mtu kaonewa mara chuki.
Tuacheni unafki Mungu anatuona mjue?....
NB: I have enough resources to respond to whoever comes with logical questions.
Umasikini wako usikusababishie chukiMadawa ni count moja na uhamiaji ni count ya Pili, counts nyingine zipo njiani. Mbona kuna watu wameshtakiwa makosa zaidi ya Mia mbili, rejea kesi ya aliyekuwa anaingiza million saba kwa dakika. Manji deals zake ni za billion 50 kwa saa
Ni habari kwa jamii kama aliweza kugawa jambo leo bure nchi nzima na picha yake front page.. Ye ni habariKesi zake zote zina dhamana kwanini waendelee kumshikilia?
weka kaushaidi kidogoNadhani huna uhakika na unachokisema. Nimekua karibu naye almost mwaka mzima nikiwa mfanayakazi kwenye ofisi yake. Kinachofanyika 100% percent ni sahihi ila kwakua wengi hawafahamu watamtetea lakini yote ni kweli na Nina sema nilikua sehemu ya kuyafanikisha haya yanayoendelea. Take it from me
blaza shikamoo sio kwa technical question kiasi hikiNa wewe umeshajiuliza kwa nini sasa hivi wamebadilika?
Sheria zifuatwe si kuwaweka watu lockup ala mwenye akili timamuNi kaburi lisilofufuka... Ila si sababu ya kumuacha Manji aendlee kufanya atakacho...
Manager wake yupo na kakamatwa sasa waulize ma HR na MA director wa Manji wote wapo vichakani wamemuachia bomu lakeKwa yeye ndiye muajiri?mbona swala la Wahindi wa Dangote cement hamjampelaka mmiliki mahakamani ah sihasa?