EWGM's
JF-Expert Member
- Jul 22, 2013
- 1,521
- 2,112
Kisasi ndo kilimfanya aingize wahindi kinyemela na kuwanyima Kazi wazawa? Kaz za hao wahindi ni kama hapo chini
Wewe Shida Yako Kumbe Kazi Sasa Nimekuelewa, Kwa Uwezo Wako Huu Huu Wa Kuropoka Ropoka Upewe Kazi Kirahishi Rahisi Tu. Kwa Sifa Zipi Ulizonazo Mpaka Upewe Kazi Na Manji? Kwanza Unatakaje Kazi Kwa Mwizi/Fisadi/ZunguLaUnga? Umaskini Mbaya Sana Hasa Wa Akili