Kuhusu mahakama ya kadhi

Kuhusu mahakama ya kadhi

Mtoa mada hebu fikiria kua isipowekwa waislam watapiga kura ya hapana,je unadhani nani atakua mshindi?

Usiogope haitawekwa,bunge hilo naona waislam ni wengi ila uzuri wao hawana sauti,ni watu wa kulalamika na kutusihi na kutuomba wakristo wachache waliopo ndani ya bunge wawaruhusu wawe na mahakama ya kadhi.

Kwa ufupi ni kua jambo lolote waislam wakitaka kufanya ni lazima watuombe ruhusa sisi wakristo bila kujali idadi yetu hata kama sisi ni wachache kuliko wao. Ni jambo zuri kwa kweli.

Hizo takwinu umezitoa wapi? Jua kuwa watanzania wengi hawana dini za kikristu au kiislam sasa kama mtaweka mahakama zenu za jadi nasisi tinataka utawala wa machifu uwekwe kwenye katiba ikiwemo na mahakama za kimila/jadi/ za kikabila/ kiukoo hafu tuone kama hizo mahakama zenu za mwazo zitapata watu
 
Du afadhali ya LOW DISK SPACE kuliko Virus infected mental files. Maana hapa tutukesha hamuelewi!

Kwanini hii mahakama ya kadhi ni lazima iwepo kwenye katiba?
Mbona bank kuna sharia accounts na serikali haijamuuliza mtu, kama hiyo mahakama ni sehemu ya maadili ya dini yenu basi anzisheni bila kudai iwepo kwenye katiba, katiba ni mali ya watu wote ndio maana hatutaki impe favour mtu yeyote wala dini yoyote
Dini zote zifanye mambo yake kwa mipangilio yao bila kuvunja sheria za nchi wala isiwakwaze watu wengine kila mtu ana imani yake.
 
mbona mmeshindwa kuianzisha?. au mpaka tuwakubarie sisi makafiri?

Hakuna ubabe hapa waislam wanadanganywa na waarabu wa huko UAE kwamba wakiamua lolote eti litawezekana huo ni utoto, kwanza tunataka kujua umuhimu wa hiyo mahakama kuingia kwenye katiba, je isipoingia kwenye katiba hizo sheria za maadili ya kiislam hazitaeleweka?
Mbona ndoa zinazofungwa kiislam zinafungwa na hao viongozi wa kiislam sasa wanashindwa nini kutatua migogoro ya ndoa wakati waliweza kuzifungisha?
Tanzania ni nchi NEUTRAL haina kuegemea upande wa dini yoyote, hakuna dini iliyotajwa sehemi yoyote kwenye katiba na tunataka iendelee hivyo hivyo ili tusianze kubaguana kwa dini wala kabila kama huko Kenya wanavyofanya.
 
Kenya wameweka katika Katiba yao, nao wamedanganywa na UAE !?
 
Hizo takwinu umezitoa wapi? Jua kuwa watanzania wengi hawana dini za kikristu au kiislam sasa kama mtaweka mahakama zenu za jadi nasisi tinataka utawala wa machifu uwekwe kwenye katiba ikiwemo na mahakama za kimila/jadi/ za kikabila/ kiukoo hafu tuone kama hizo mahakama zenu za mwazo zitapata watu

Hao wengine kama wapo, hiyo ni shida yao. Ila sisi Waislaam kwa umoja wetu tunataka Mahakama ya Kadhi.
Kuomba kwao au kutokuomba, au uwepo wao, hauna uhusiano na madai yetu ya Mahakama ya Kadhi.
 
mm nashindwa kuelewa wanasema mahakama ya kadhi ni ya kuwagandamiza wanawake lakini bado wanawake wanaipigia kelele wanaitaka mm sioni umuhimu wake

Ndio ujue kwamba kuna watu wanapenda kutuchafua waislama .Eti inawanyanyasa waislam
 
Kwanini hii mahakama ya kadhi ni lazima iwepo kwenye katiba?
Mbona bank kuna sharia accounts na serikali haijamuuliza mtu, kama hiyo mahakama ni sehemu ya maadili ya dini yenu basi anzisheni bila kudai iwepo kwenye katiba, katiba ni mali ya watu wote ndio maana hatutaki impe favour mtu yeyote wala dini yoyote
Dini zote zifanye mambo yake kwa mipangilio yao bila kuvunja sheria za nchi wala isiwakwaze watu wengine kila mtu ana imani yake.

Ikiwemo kwenye Katiba, wewe inakupunguzia nini !?
Sharia Account katika Mabenki ile ni 'product' ! Inaweza kuwepo au isiwepo. Benki yeyote ina hiari kuanzisha au kuifuta kama walikuwa nayo bila kumshauri au kumshirikisha yeyote !
Pamoja na hayo, Sharia Account inakuonyesha dalili ya kuwa sheria za Kiislaam si za kubeza bali ni mambo halisi yanayoweza kufanyika na yakawa na tija bila hasara wala usumbufu bali faida kwa pande husika.
 
Niambie kwanini ni lazima iwepo kwenye katiba? Ukishasema sababu ndo tutaeleweshana vizuri sasa
 
Kwa nini na nyinyi mnashupalia isiingizwe katika Katiba !?...........mnapoteza nini !?

...Kadhi akitoa hukumu yake kuhusu hao watoto kupata au kukosa mirathi, hiyo hukumu inaweza kukaziwa na Taasisi za serikali kama Polisi na Magereza !? Chuma Chakavu
Kama mambo ya kadhi ni IBADA, kuna sababu gani ya kuhitaji polisi amlazimishe muumini kufanya mambo ya ibada?
Mbona polisi hawalazimishi watu kwenda kuswali? mbona polisi hawalazimishi watoto kwenda madrasa? Mbona ndoa zinafungwa kiislam lakini kwa hiari? Iweje sasa maamuzi ya kadhi (Ibada) yalazimishwe na polisi? Na hao polisi na taasisi zingine zitakazotumika ku-enforce maamuzi ya kadhi watakuwa waislam au wagalatia?
Niasidie haya machache bwana Ally Kombo
 
Last edited by a moderator:
Hao wengine kama wapo, hiyo ni shida yao. Ila sisi Waislaam kwa umoja wetu tunataka Mahakama ya Kadhi.
Kuomba kwao au kutokumba au uwepo wao hauna uhusiano na madai yetu ya Mahakama ya Kadhi.

We ndugu haueleweki. Sasa hapa kwani unamuomba nani au unamdai nani hiyo mahakama ya kadhi. Mmesharuhusiwa muanzishe huko kwenye misikiti na taasisi zenu. Hamjakatazwa! Ila kwa kuwa katiba inaongelea watu wa dini,kabila,rangi na jinsia zote,mahakama ya kadhi haitoingizwa. Anzisheni kama wakristo,wahindu,mabudha,wapagani,machifu,wapagani nk walivyoanzisha mahakama yao na wanaiendesha wenyewe bila kugombana na yeyote. Hata wakristo hawapingi ninyi kuwa na mahakama ya kadhi. Bali muianzishe wenyewe,muiendeshe na muigharamie wenyewe. Hatuitaji kodi za wakristo,wapagani,wahindu,mabohora,mabudha,masingasinga nk ambao hata hawamjui kadhi,eti zilipie mahakama ya kadhi.Musiifanye ni jambo la watanzania wote mpaka eti liwekwe kwenye katiba.Mfano: Kwa wakatoliki na madhehebu mengi ya kikristo mwanamme akimuacha mkewe wa ndoa na kuchukua mwanamke mwingine,mwanamke akishtaki kanisani na mwanamme akionekana ana makosa,huwa anafungiwa kushiriki huduma zote za kanisa. Mwanaume huyu hata aende mahakama za serikali hatosikilizwa kwa hiyo hukumu. Sasa ninyi mnashindwa nini kuanzisha hiyo kitu mradi tu msikinzane na sheria za nchi? Au mnataka kuja kuwa juu ya sheria za nchi?.Kipi haujaelewa hapo?
 
Kila binaadam ana kiwango chake cha uvumilivu,na ipo siku manyanyaso haya yatazidi na uvumilivu utakua mwisho wake hapo basi ndipo zitakapo ibuka twigahalal. Na baada ya twigahalal ndipo itakapo patikana heshima na amani ya kudumu.

Nenda Islamic states huko ndo utapata haki ya kiislam, hapa bongo hakuna hicho cha kuanzisha udini kwenye kanuni na taratibu za nchi(katiba).
 
Mtoa mada hebu fikiria kua isipowekwa waislam watapiga kura ya hapana,je unadhani nani atakua mshindi?

Usiogope haitawekwa,bunge hilo naona waislam ni wengi ila uzuri wao hawana sauti,ni watu wa kulalamika na kutusihi na kutuomba wakristo wachache waliopo ndani ya bunge wawaruhusu wawe na mahakama ya kadhi.

Kwa ufupi ni kua jambo lolote waislam wakitaka kufanya ni lazima watuombe ruhusa sisi wakristo bila kujali idadi yetu hata kama sisi ni wachache kuliko wao. Ni jambo zuri kwa kweli.

Anayesema waislam ni wengi kuliko wakristo anazuzuka na idadi ya misikiti ambayo imejaa kwenye mitaa yetu huku mingine wanaoswali hawafiki hata kumi,majengo kila saa yako tupu. fanya utafiti wewe,usiangalie baraghashia pekee.
 
Hao wengine kama wapo, hiyo ni shida yao. Ila sisi Waislaam kwa umoja wetu tunataka Mahakama ya Kadhi.
Kuomba kwao au kutokuomba, au uwepo wao, hauna uhusiano na madai yetu ya Mahakama ya Kadhi.

Hicho kipengele hata kama kitapita Bunge la katiba wananchi wataikataa katiba nzima, nchi hii haina dini kitendo cha kurasimisha dini moja sharia zake ziwepo kwenye katiba hakikubaliki
 
ukisikia kubugi leo ndo umebugi mkuu.... Yaani watu waache kujadili vitu vya maana waanze kubishania mahakama ya kadhi humo bungeni.... hicho ni kipengele kidogo ambacho kitapitishwa tu bila hata mjadala...... na mambo mengine yataendelea. kakwmbia nani mahakama ya kadhi ni udini? kaigoogle kwanza uielewe.
 
wingi si hoja! cha msingi ni kutetea yaliyo ya msingi katika kuhakikisha kila mwanadamu anafaidi matunda ya nchi yake. mwaweza kuwa wengi sawa lakini...............nisaidie kumalizia.
 
Kumbe unapenda kuolewa? Naomba nikuoe uwe mke mdogo
Kukosa Elimu kazi sana tofautisha neno Hadithi la kiarabu na neno hadithi la liswahili,neno hadithi limepatikana kutoka kiarabu,lakini kwenye kiswahili limeafisriwa kivingine.Hadithi za Mtume kwa kuilewa vizuri ni kwa kiingereza,imetafsiriwa Tradition.Usichukulie neno hadithi( lililotafsiriwa sivyo)na hadithi za mtume(Prophet Tradition)
 
Mpumbavu mimi au wewe unaeng'ang'ania the law of idiocy na kufuata mkumbo as if you think by your bo...m. Kazi ya mahakama ya kadhi ni kusimamia sharia, means there is no way unaweza kuwa na Kadhi bila ku lure a Sharia law we boya usiyetaka kuelewa.
Sheria nzuri ni hii ya kuoana wanaume kwa wanaume kama hawa wa viongozi wa dini fulani
 
Muslim law regards women as less than men in matters of both marriage and divorce, as well as devolution of property: Holy Quran Surah 2:228-232, and Surah 65:1-7 (only a man may divorce his wife even if he is required to provide for her); a man may beat his wife, even if lightly, the evidence of two women, is equal to evidence of one man (Surah 2:282). The application of such beliefs of faith are contrary to the Constitution of Tanzania
Bora huku mnakolewa na wazungu,wanaume mwaolewa,kazi ipo
 
mambo ya kiislamu mwisho bakwata kwenye katiba yafuate nini.
 
Back
Top Bottom