Kuhusu mahakama ya kadhi

Kuhusu mahakama ya kadhi

Sisi hatuwezi kukuletea umaskini bali mlaumu baba na mama yako kwa uvivu wao ndio umekuletea umaskini na badala ya wewe kutafta pesa kaa kijiweni uone kama hutaolewa. Mahakama ya kadhi ni ya wa Islam na si ya makafiri.

Yes. Ntaolewa lkn kwa misingi kutoka quran ,muddy na zile hadithi za alfu lela ulela. Muislamu safi umeahizwa na muddy kuoa tuvulana
 
Yes. Ntaolewa lkn kwa misingi kutoka quran ,muddy na zile hadithi za alfu lela ulela. Muislamu safi umeahizwa na muddy kuoa tuvulana

Kumbe unapenda kuolewa? Naomba nikuoe uwe mke mdogo
 
Hii nchi si ya kikristo, kama vipi hamia vatican. Mahakama ya kadhi ni ya wa islam na si ya makafiri kama wewe.

Ni kweli umeelewa hapo na umekiri kwamba hii nchi sio ya kikristo na hata mimi nakubaliana na hilo na ndio maana hujawahi kusikia wakristo wanadai mahakama ya kikristo kwa sababu wanajua hii nchi ni yetu sote wakristo pamoja na waislam, sasa leo waislam kwanini mnataka kuifanya iwe yenu.
Hayo makafiri mtakua nyinyi magaidi kwa uzuzu kwamba uki commit suicide utaenda kwa huyo mnae muita allah
 
images

Kufukiwa na kupigwa mawe ni jambo la kawaida sana, karibu litafika kwetu.
 
Mahakama ya kadhi inakuhusu nini? Mahakama ya kadhi inakuja kuondoa ukristo? Mahakama ya kadhi inahusu wa islam na uache kiherehere ya kufata wa islam. Kama unaona wa islam watafaidika na mahakama ya kadhi basi na nyinyi muombe mahakama ya kikristo. Na uache wivu wa kijinga kwa vile nyie hamna mahakama basi na wa islam wasipewe.

Naona umeandika utoto, hii nchi ina mahakama za kutatua mashtaka ya kila mtu nyie hiyo mahakama ya kadhi ya nini, ndo kujifanya mnajua kumbe wapuuzi tu, mnataka mlete ujinga wa kuigawa nchi tuanze kutazamana nani mkirsto nani muislam then muanze upuuzi wenu wa ugaidi kwa ujinga wa kudanganywa na waarabu kwamba mtaingia peponi!!
Shame on you. Najua waislam wenye fikra pevu hili wanaona ni upuuzi tu kwa sababu wanajua madhara yake, nahisi wanaolitetea sina hakika na upeo wao kama uko sawa sawa.
 
Nyie wakirsto, mbona sisi hatuwaingillii katika mambo yenu. Kuna kipindi hapa mawakala wa kanisa katika vyombo vya habari na viongozi wengi hasa wakirsto, mlilivalia njuga na kulipigia debe sana saula la Mchungaji wa Kanisa la Kiinjiili la Kilutheli nchini(KKKT), Ambilikile Mwasapile juu Dawa yake aliodai ameoteshwa na Mungu maarufu kama kikombe cha Babu. Mlidhani kua ndio mnainua Ukristo. Matokeo yake mkasababisha watu wengi kufa.

Niliwahi kuulizwa na Kinyozi Mmoja nilipokua Salon, Nini maoni yangu juu ya Kikombe cha Babu, Nilimjibu yule Kijana, Time will tell.

Nadhani matokeo yake mliyaona. Lakini sisi Waislamu hatukuwagusa. Iweje leo Muingilie Mambo yasio wahusu?.

Hahahaaaa kweli wewe ni LOW DISK SPACE sasa kikombe cha babu kilijadiliwa bungeni?,kilitumia fedha za walipa kodi kama mnavyotaka sasa hivi wabunge wa bunge la jamhuri ya muungno waache kujadili mambo yanayoligusa taifa kwa ujumla eti waanze kujadili UDINI?
 
Ni kweli umeelewa hapo na umekiri kwamba hii nchi sio ya kikristo na hata mimi nakubaliana na hilo na ndio maana hujawahi kusikia wakristo wanadai mahakama ya kikristo kwa sababu wanajua hii nchi ni yetu sote wakristo pamoja na waislam, sasa leo waislam kwanini mnataka kuifanya iwe yenu.
Hayo makafiri mtakua nyinyi magaidi kwa uzuzu kwamba uki commit suicide utaenda kwa huyo mnae muita allah

Wakiristo mahakama yao ipo kisutu
 
Ndugu zangu mambo yanayoendelea huko bungeni kuhusu mahakama ya kadhi yanasikitisha sana. Inavyooelekea mahakama hiyo inaenda kukubalika kutokana na hoja zinazotolewa na ndugu zetu waislamu. Jambo hili linanitisha sana kwa sababu hakuna mtu anayepinga hoja hii, na kila mwakilishi wa kikristo akisimama anakwepa kabisa kuongelea jambo hili.

Mimi kama mwananchi wa kawaida kabisa, ninawatahadharisha kwamba iwapo mtajaribu kuweka jambo lolote linalohusu mahakama ya kadhi sisi WAKRISTO (CHRISTIANS) tutapiga kura ya hapana kwa katiba itakayopendekezwa. Nawahakikishia ndugu wajumbe wa bunge maalumu, hakuna mkristo atakaye iunga mkono katiba hiyo na haitopita.

Jambo hili tumelipigia kelele kwa muda mrefu kwamba mambo ya dini binafsi yaamuliwe na dini husika. Sasa wajumbe wanavyojitoa ufahamu na kusahu kwamba hii sio nchi ya kiislamu, waendelee kujadili dini yao na waipitishe, ila nina apa iwapo jambo la kadhi litakuwepo, basi ni kura ya hapana kwa wakristo wote.

Mwisho, naomba wajumbe wa BMK wajadili mambo ambayo hayaamshi hisia za kidini na wajikite kwenye hoja zinazogusa watu wote, wasipofanya hivyo na wakajisahau, basi wasije wakamlaumu mtu.

Kwa hiyo ni Wakiristu ndio wanapinga Mahakama ya Kadhi, ambayo ni taasisi itayoshughulikia mambo ya Waislaam !?
Wagalatia mmejisahau, mnaona kama hati miliki ya nchi mnayo nyinyi na imegongwa msalaba !
 
We kafiri hapa ndipo ulipo onyesha upumbavu wako! Tofautisha mahakama ya kadhi na shari law ya sudan. Tungekua tunataka sharia law itumike Tanzania,tusinge tumia katiba inayotungwa bungeni bali tungetumia Quraan na hadith sahihi. Acha kufata mkumbo kama nyumbu.

Mpumbavu mimi au wewe unaeng'ang'ania the law of idiocy na kufuata mkumbo as if you think by your bo...m. Kazi ya mahakama ya kadhi ni kusimamia sharia, means there is no way unaweza kuwa na Kadhi bila ku lure a Sharia law we boya usiyetaka kuelewa.
 
Ndugu zangu mambo yanayoendelea huko bungeni kuhusu mahakama ya kadhi yanasikitisha sana. Inavyooelekea mahakama hiyo inaenda kukubalika kutokana na hoja zinazotolewa na ndugu zetu waislamu. Jambo hili linanitisha sana kwa sababu hakuna mtu anayepinga hoja hii, na kila mwakilishi wa kikristo akisimama anakwepa kabisa kuongelea jambo hili.

Mimi kama mwananchi wa kawaida kabisa, ninawatahadharisha kwamba iwapo mtajaribu kuweka jambo lolote linalohusu mahakama ya kadhi sisi WAKRISTO (CHRISTIANS) tutapiga kura ya hapana kwa katiba itakayopendekezwa. Nawahakikishia ndugu wajumbe wa bunge maalumu, hakuna mkristo atakaye iunga mkono katiba hiyo na haitopita.

Jambo hili tumelipigia kelele kwa muda mrefu kwamba mambo ya dini binafsi yaamuliwe na dini husika. Sasa wajumbe wanavyojitoa ufahamu na kusahu kwamba hii sio nchi ya kiislamu, waendelee kujadili dini yao na waipitishe, ila nina apa iwapo jambo la kadhi litakuwepo, basi ni kura ya hapana kwa wakristo wote.

Mwisho, naomba wajumbe wa BMK wajadili mambo ambayo hayaamshi hisia za kidini na wajikite kwenye hoja zinazogusa watu wote, wasipofanya hivyo na wakajisahau, basi wasije wakamlaumu mtu.

Eti'ila NINAAPA' Unamwapia nani mkuu? Hayo mambo na yao. Waachie
 
Kweli we ni chapati! Una uwezo wa kumsaidia nani wakat maisha yako yenyewe ni ya kuvizia. Mahakama ya kadhi ni ya wa Islam na si ya Makafiri.

hii ni sawa kabisa, ni waislamu kwa gharama za waislamu, kodi za wakristo kulipia mambo ya waislamu pekee ndo tatitzo la wakristo, hapo tu ndo shida ya wakristo, huoni ujenzi wa misikiti kila mtaa hakuna mtu anapinga maana ni hela za waislamu kwa misikiti ya waislamu
 
Nashangaa wabunge wa kislam kuangaika na mahakama ya kadhi ilihali kuna mambo muhimu ya waislamu hawayaongelei wanakomaa na kisicho na manufaa..kwanza iyo mahakama ata kwenye quran haijatajwa wala mtume hakuiliagiza sijui awa wanaosema ovyo wanaitoa wapi reference yao mbona Kenya mbona Uganda.....mahakama inayohukumu mwanamke akizini apondwe mawe ila mwanaume alozini nae apongezwe kuitwa shababi hatuitaki,itatuondolea amani yetu.

Ilihali kuna mambo mengine muhimu: Hayo mengine muhimu.basi nalo la Mahakama ya Kadhi ni.Muhimu pia
 
We kafiri hapa ndipo ulipo onyesha upumbavu wako! Tofautisha mahakama ya kadhi na shari law ya sudan. Tungekua tunataka sharia law itumike Tanzania,tusinge tumia katiba inayotungwa bungeni bali tungetumia Quraan na hadith sahihi. Acha kufata mkumbo kama nyumbu.

[FONT=arial, sans-serif]Marrying without sharia consent which is a commensurate from Kadhi is a taboo to conservative Muslims in Pakistan and other part of the world, where hundreds of people are killed each year by their own relatives over alleged sexual indiscretions, which are believed to bring shame upon the family. The victims are usually women but in some cases couples are killed. ( famous quotes from Mahmoud Al Gahan )
[/FONT]Amka weye utachomwa kwa kuwa na fikra fupi:flame:
 
Mahakama ya kadhi inakuhusu nini? Mahakama ya kadhi inakuja kuondoa ukristo? Mahakama ya kadhi inahusu wa islam na uache kiherehere ya kufata wa islam. Kama unaona wa islam watafaidika na mahakama ya kadhi basi na nyinyi muombe mahakama ya kikristo. Na uache wivu wa kijinga kwa vile nyie hamna mahakama basi na wa islam wasipewe.

Kodi za bia ziendeshe mahakama ya kadhi?
Kodi yangu iendeshe ibada ya imani yako?
 
Back
Top Bottom