Mapolomoko
JF-Expert Member
- Feb 16, 2013
- 1,751
- 422
Nawaaminia kwa kupigania maiti, mtu akiwa hai hamumusaidii akifa midomojuu alikuwa ndugu yetu undugu gani kwenye maiti
Mahakama zote, kuanzia mahakama za mwanzo hadi makahama kuu, kesi zote au mashauri karibu yote yanayosikilizwa na mahakama hizo yanahusu familia za kiislam.
mbona mmeshindwa kuianzisha?. au mpaka tuwakubarie sisi makafiri?
tatizo mtatumia fedha zetu wakiristo
Wewe na Wagalatia wenzio ndio mnahangaika kuzuia Nuru ya Allah SWT !........taratibu tu mtapatikana !
Kiko wapi kile mlichokuwa mnajishaua, kuchinjaaa kuchinjaa !?
Muslim law regards women as less than men in matters of both marriage and divorce, as well as devolution of property: Holy Quran Surah 2:228-232, and Surah 65:1-7 (only a man may divorce his wife even if he is required to provide for her); a man may beat his wife, even if lightly, the evidence of two women, is equal to evidence of one man (Surah 2:282). The application of such beliefs of faith are contrary to the Constitution of Tanzania
![]()
Kisu munacho nyie wenyewe, hivi Ally Kombo baada ya kuchinja huwa munasomea dua kiganja cha mkono!!!
Unaogopa nini mtoa mada, kwani kuna katiba hapa??!!! Watu si wanajilia hela ya bure tu?
Pelekeni Ufisadi wenu huko kwa kutumia mgongo wa taasisi zenu !.........kama serikali ina Mabilioni ya kuwahongo kwa nini isijenge Taasisi zake na badala yake ijaze Mbailioni kwenye Makanisa !?..............Hiyo Hospitali kama KCMC au Seliani ina nafuu gani inayomuwezesha mtu wa kawaida akatibiwa hapo !? Ufisadi nyinyi kwenu ni sehemu ya Ibada. Swat
mbona mmeshindwa kuianzisha?. au mpaka tuwakubarie sisi makafiri?
You are not addressing the issue. That is why Kadhi court is not compatible with mankind. Females have the same ability you have and even more. So, stop profiling women as less humans.Haaa....haaa..haaa ! Huwezi kuzisherehesha sheria za Kiislaam wakati kuna watu wanasoma mpaka kupata Ph.D !
Nikuulize....mwanamke ni sawa na mwanaume !? yaani mapungufu ya mwanamke ni sawa na mapungufu ya mwanamke !?
Kwa nini Magereza yote yamejaa Wanaume na si Wanawake !?
Ni nani ameumbwa (by nature) kufanya uamuzi kwa hisia na emotion kati ya mwanaume na mwanamke !?
Ukiyajibu hayo maswali kwa haki, ndio utaelewa maana ya ushahidi wa wanawake wawili ni sawa na mwanaume mmoja!
Mwanamke hata akiwa na power na uwezo vipi lazima atategemea guidance ya Mwanaume. TanzaniaLaw
Nimekwambia 'Mahakama ya Biashara' !........kwani sote tunaendesha Biashara !? Hii ni Mahakama kwa ajili ya watu wenye Biashara, si suala la Ukiristu na Uislaam.
Mahakama ya Kadhi ni kwa ajili ya Waislaam, kusaidia kutoa hukumu ya mambo yao ya kijamii kwa 'taratibu za Kiislaam'
Kama ilivyo katika Katiba ya Kenya, na kama Mkoloni wa Kiingereza alivyowahi kuiweka wakati wake wa kuitawala Tanganyika !
Lete na zile picha za ndugu zako wanawakata mikono Albino ili wapate utajiri ! Asante
Na hii si shughuli ya Mahakama ya Kadhi, na hakuna Mahakama yeyote katika Uislaam wala katika Qur'an hakuna amri ya kukata pua !
Hiyo picha hao jamaa ni Al Shabab, unajuaje kama huyo ni informer amekamatwa na anapewa adhabu !?.............hata Wapelestina hivi karibuni wamewauwa watu karibia 7 ambao walikuwa ni ma-informer wa Wayahudi.
tatizo mtatumia fedha zetu wakiristo
Hii Nchi si ya Kidini Oneoeni Upuuzi wenu...
Wahindi nao watake Mahakama yao,Mabuddha,Wayahudi,Wakristo nini maana yake... Nyerere alishaliona hili kitambo akaliweka Pembeni... Tatizo Waislam wanavutia upande wao tu... Shuka... Litapingwa hadi kiama... Asiyelitaka akaishi Somalia... huko atakutana nalo..
Hii nchi haina mikataba na Majini yabaki huko huko Mecca
![]()
This form of qisas, or retributive justice, is allowed in the Islamic Criminal Code in Iran, under Islamc sharia law. It calls for the infliction of equal bodily harm on an aggressor.