Kuhusu mahakama ya kadhi

Kuhusu mahakama ya kadhi

Nyie wakirsto, mbona sisi hatuwaingillii katika mambo yenu. Kuna kipindi hapa mawakala wa kanisa katika vyombo vya habari na viongozi wengi hasa wakirsto, mlilivalia njuga na kulipigia debe sana saula la Mchungaji wa Kanisa la Kiinjiili la Kilutheli nchini(KKKT), Ambilikile Mwasapile juu Dawa yake aliodai ameoteshwa na Mungu maarufu kama kikombe cha Babu. Mlidhani kua ndio mnainua Ukristo. Matokeo yake mkasababisha watu wengi kufa.

Niliwahi kuulizwa na Kinyozi Mmoja nilipokua Salon, Nini maoni yangu juu ya Kikombe cha Babu, Nilimjibu yule Kijana, Time will tell.

Nadhani matokeo yake mliyaona. Lakini sisi Waislamu hatukuwagusa. Iweje leo Muingilie Mambo yasio wahusu?.

Pumba producer mkuu hiyo dawa kuna siku umesikia imepelekwa bungeni kujadiliwa?
Kuna siku umesikia wakristo wameidai serikali itoe msaada ili raia wakanywe dawa?
Kuna siku huyo babu ameomba serikali iitangaze hiyo dawa kama sehemu ya utaratibu wa wakristo?
Kuna siku hiyo dawa imepigiwa promo ili iwepo kwenye katiba kama mojawapo ya dawa za kutibu watu?
Watu walioenda kwa babu walifanya hivyo kwa hiari zao, na hata waislam pamoja na kumuamini huyo allah bado walienda kunywa kikombe.
Mkuu jaribu kulinganisha vitu vyenye scale au uzito unaoendana, sasa issue ya dawa ya babu ni issue ya kuilinganisha na jambo linaloombewa kua kwenye katiba??
Poor thinking mkuu
 
Povu linakutoka mkuu, anzisheni kisela ila kuiweka kwenye katiba ndo hatutaki, fuatilia takweimu ujue kati ya wakristo na waislam wapi idadi yao ni kubwa, ukishajua hilo utaelewa kwamba hiyo mahakama yenu itakuepo au mnapoteza muda.

Takwimu zipi wakati mlikataa msihesabiwe kwa kuuliza dini zenu...kafiri kafiri tu
 
Issue sio nchi gani wanafanya nini
Mwisho mtataka kukatana mikono na kupigana mawe kwakuwa nchi fulani wanafanya hivyo

Unajua ni vitu gani vinahukumiwa na mahakama ya kadhi...? Kwa kukusaidia tu ni hivi vifuatavyo; ndoa, talaka, Mirathi na wakfu...siku nyingine usirudie kujiharishia
 
Unajua ni vitu gani vinahukumiwa na mahakama ya kadhi...? Kwa kukusaidia tu ni hivi vifuatavyo; ndoa, talaka, Mirathi na wakfu...siku nyingine usirudie kujiharishia

So huu uharo wako ndio unataka tuuingize kwenye katiba?
Siamini katika dini yoyote lakini ninyi akili zenu bana
 
So huu uharo wako ndio unataka tuuingize kwenye katiba?
Siamini katika dini yoyote lakini ninyi akili zenu bana

Wewe akili zako umejiuliza ?!
Akili za kudai dhambi zako umempa mwana mungu !?
 
Nenda Islamic states huko ndo utapata haki ya kiislam, hapa bongo hakuna hicho cha kuanzisha udini kwenye kanuni na taratibu za nchi(katiba).
Bongo ni ya mama yako hadi uwe na uwezo wa kumfkuza mtu? Sunday school imekuharibia mfumo wako wa ubongo. Mahakama ya kadhi ni ya wa islam na haikuhusu kafiri kama wewe.
 
mimi naomba mahakama ya kadhi iingie kwenye katiba ili wakristo tusaidie kuikataa katiba hii. wakristo tupo milion 28 na waislamu ni milioni 11 tu---hawawezi kutushinda.
 
Bongo ni ya mama yako hadi uwe na uwezo wa kumfkuza mtu? Sunday school imekuharibia mfumo wako wa ubongo. Mahakama ya kadhi ni ya wa islam na haikuhusu kafiri kama wewe.

Ingekuwa mnajiendesha kwa sadaka zenu isingemuhusu
Lakini kama mnataka iendeshwe kwa kodi zetu wote basi inmuhusu kuhoji pesa yake
 
Kukosa Elimu kazi sana tofautisha neno Hadithi la kiarabu na neno hadithi la liswahili,neno hadithi limepatikana kutoka kiarabu,lakini kwenye kiswahili limeafisriwa kivingine.Hadithi za Mtume kwa kuilewa vizuri ni kwa kiingereza,imetafsiriwa Tradition.Usichukulie neno hadithi( lililotafsiriwa sivyo)na hadithi za mtume(Prophet Tradition)

Sijakuelewa una maanisha nini?
 
Issue sio nchi gani wanafanya nini
Mwisho mtataka kukatana mikono na kupigana mawe kwakuwa nchi fulani wanafanya hivyo

Hizo nchi ulizotajiwa wao wanapigana mawe !?
Hata wakipigana mawe, jiwe litakupata wewe ?
M'mekalia upotoshaji na chuki tuu !
 
Mahakama ya kadhi inakuhusu nini? Mahakama ya kadhi inakuja kuondoa ukristo? Mahakama ya kadhi inahusu wa islam na uache kiherehere ya kufata wa islam. Kama unaona wa islam watafaidika na mahakama ya kadhi basi na nyinyi muombe mahakama ya kikristo. Na uache wivu wa kijinga kwa vile nyie hamna mahakama basi na wa islam wasipewe.

mkuu, hakuna mtu anayekataa uwepo wa mahakama ya kadhi ila tunachokataa ni mahakama hiyo kuendeshwa kwa kodi za wakristo. kumbuka siku zote mnawatukana wakristo kwa kuwaita MAKAFIR. kwanini sasa mnataka dini yenu iendeshwe kikafir kwa kutumia kodi za makafir? jitafakari kwanza mkuu.
 
Hizo nchi ulizotajiwa wao wanapigana mawe !?
Hata wakipigana mawe, jiwe litakupata wewe ?
M'mekalia upotoshaji na chuki tuu !

Kama halinipati mimi kwanini nigharamikie wewe kurusha hayo mawe kwa ibada zako?
 
Ingekuwa mnajiendesha kwa sadaka zenu isingemuhusu
Lakini kama mnataka iendeshwe kwa kodi zetu wote basi inmuhusu kuhoji pesa yake

Kwani kodi mnalipa nyie tu Wagalatia ? Yaani mnajisahauu ?!!
 
mkuu, hakuna mtu anayekataa uwepo wa mahakama ya kadhi ila tunachokataa ni mahakama hiyo kuendeshwa kwa kodi za wakristo. kumbuka siku zote mnawatukana wakristo kwa kuwaita MAKAFIR. kwanini sasa mnataka dini yenu iendeshwe kikafir kwa kutumia kodi za makafir? jitafakari kwanza mkuu.

Kwani Wakiristu na Makafiri ndio walipa Kodi peke yao !?
Hii Mahakama isipopita MoU nayo itakufa.
Mnachukuwa mabilioni ya pesa kwa ajili ya kujengea mahekalu yakuwekea masanamu.
 
Back
Top Bottom