Kuhusu mahakama ya kadhi

Kuhusu mahakama ya kadhi

Upuuzi mliufanya pale msalabani, kumbebesha dhambi mtu ambaye hazimuhusu ! Mahakama ya Kadhi hatuiombi Vatikani, na moto tuliouanzisha hautazimika.
Hayatuhusu hayo ya Mabudha na wengineo mnaofanana !
Why are you diverting the thread? The thread is about Kadhi Court and you are bringing issues which are not pertaining to the thread, why?
 
Ndio umeposti Albino !? Tuletee na picha ya kumsulubu mungu wenu msalabani illi mfutiwe dhambi !
Dhambi mfanye nyie ilhali kichapo ale mwingine. Wagonjwa sana nyei !
You are showing all of the signs of defeat. It is better you find some other thread to contribute than inciting hate. That is why we don't need Kathi Court.
 
Upuuzi mliufanya pale msalabani, kumbebesha dhambi mtu ambaye hazimuhusu ! Mahakama ya Kadhi hatuiombi Vatikani, na moto tuliouanzisha hautazimika.
Hayatuhusu hayo ya Mabudha na wengineo mnaofanana !

Kama mnaona ni Moto poleni sana nyie ndio mfananao na mabudha watu wenye uchu wa Damu na Sanamu lenu la Mwezi juu ya misikiti..Allah na huo upuuzi wenu hautakubalika kamwe... nyie ni tawi la Islamic State... ambao ni kansa kwa Raia wa Dunia hii... Imeiomba wakati usiofaa poleni tizameni Saa zenu mkabong'oe
 
Je Mahakama ya Biashara Imeandikwa kwenye katiba? pia ikitokea wanandoa wawili wanatengana na mmoja anataka shauri lake lisikilizwe na mahakama ya kadhi na mwingine anataka shauri lake lisikilizwe na mahakama ya kawaida hapo hamuoni italeta migogoro katika jamii

Yani hujui Mahakama ya Biashara au ya Kazi au Ardhi kama imo katika Katiba.
Hivyo zimeanzishwa bila sheria za kuzitambua !?
Mnabishia mambo msiyoyajua kwa chuki tuu kisa inataja Uislaam.
Mahakama ya Kadhi itasimamia mambo ya Waislaam kwa mujibu wa sheria za Kislaam kwa maslahi ya Waislaam.
Anaye kataa Uislaam au mambo ya Uislaam basi huyo amekanusha. Na anae kanusha si miongoni mwa Waislaam
 
You are showing all of the signs of defeat. It is better you find some other thread to contribute than inciting hate. That is why we don't need Kathi Court.

Hate mkonayo nyie mnao shupalia jambo lisiowahusu !
Mahakama ya Kadhi si kwa ajili ya Wagalatia au Makafiri au wanaofanana na hao. Kinacho wauma nyie ni nini kama si chuki tu !
 
Kama mnaona ni Moto poleni sana nyie ndio mfananao na mabudha watu wenye uchu wa Damu na Sanamu lenu la Mwezi juu ya misikiti..Allah na huo upuuzi wenu hautakubalika kamwe... nyie ni tawi la Islamic State... ambao ni kansa kwa Raia wa Dunia hii... Imeiomba wakati usiofaa poleni tizameni Saa zenu mkabong'oe

Wenye uchu wa damu ni nyie mnao kunywa damu ya mungu wenu Altareni !
Sisi hatuna ibada ya kunywa damu.
Mabudha na nyie hamna tofauti, kwani nyie mna Sanamu mnaiita Yesu Kiristu wao wana Sanamu wanaiita Budha !
 
6a00d8341c630a53ef014e8879cb9b970d-800wi

This form of qisas, or retributive justice, is allowed in the Islamic Criminal Code in Iran, under Islamc sharia law. It calls for the infliction of equal bodily harm on an aggressor.
Islam and Sharia: Deadly Facts You Should Know | Amil Imani
 
Hate mkonayo nyie mnao shupalia jambo lisiowahusu !
Mahakama ya Kadhi si kwa ajili ya Wagalatia au Makafiri au wanaofanana na hao. Kinacho wauma nyie ni nini kama si chuki tu !
I never read any contractive post from you than posts full of hate and islamic atrocities. Even in this thread where someone will expect constructive arguments from Muslims, there is none. What a shame.
 
Shame on you kukatalia kitu msichokijua wala hakiwahusu wala hakigusi maisha yenu ya kila siku !
Mna post ujinga tu kwa jambo msilolijua. Wala hamtaki kujua kuwa Kadhi Law imekuwepo wakati wa Tanganyika na currently ipo Zanzibar.
Sasa nini kinawasumbua nyie !?
 
Ndio umeposti Albino !? Tuletee na picha ya kumsulubu mungu wenu msalabani illi mfutiwe dhambi !
Dhambi mfanye nyie ilhali kichapo ale mwingine. Wagonjwa sana nyei !

Mifano yako haiendani na uhalisia uliopo... yaelekea hata akili yako haina ushirikiano pole sana Muislam mtumwa wa Mungu Mwezi... Allah... Akili za waislam zipo sawa.... zinawazia ngono peponi...
 
Ndugu zangu mambo yanayoendelea huko bungeni kuhusu mahakama ya kadhi yanasikitisha sana. Inavyooelekea mahakama hiyo inaenda kukubalika kutokana na hoja zinazotolewa na ndugu zetu waislamu. Jambo hili linanitisha sana kwa sababu hakuna mtu anayepinga hoja hii, na kila mwakilishi wa kikristo akisimama anakwepa kabisa kuongelea jambo hili.

Mimi kama mwananchi wa kawaida kabisa, ninawatahadharisha kwamba iwapo mtajaribu kuweka jambo lolote linalohusu mahakama ya kadhi sisi WAKRISTO (CHRISTIANS) tutapiga kura ya hapana kwa katiba itakayopendekezwa. Nawahakikishia ndugu wajumbe wa bunge maalumu, hakuna mkristo atakaye iunga mkono katiba hiyo na haitopita.

Jambo hili tumelipigia kelele kwa muda mrefu kwamba mambo ya dini binafsi yaamuliwe na dini husika. Sasa wajumbe wanavyojitoa ufahamu na kusahu kwamba hii sio nchi ya kiislamu, waendelee kujadili dini yao na waipitishe, ila nina apa iwapo jambo la kadhi litakuwepo, basi ni kura ya hapana kwa wakristo wote.

Mwisho, naomba wajumbe wa BMK wajadili mambo ambayo hayaamshi hisia za kidini na wajikite kwenye hoja zinazogusa watu wote, wasipofanya hivyo na wakajisahau, basi wasije wakamlaumu mtu.

sema wewe utapiga kura ya hapana unafkiri wote wanaakili kama zako?wewe kama sio mjinga na binafsi hiyo mahakama ya kadh wewe inakuathiri kitu gani?waislam tunataka mahakama hiyo ili tuweze kumaliza matatizo ya waislam kwa kufuata katiba yetu qurani ambayo nikatiba kamili ya kutuendeshea mambo yetu.sasa kama limekuuma jiue au washaur viongozi waako nao wawe na mahama yao.ziko nch nyingi mahakama hiyo inafanya kazi mpaka kesho
mojawapo kenya ipo uliwahi kusikia imewaathiri wakirsto?tatizo lako umejawa na udini.ila nakuhakikishia kua waislam tukiamua iwe mbaya mutatafutana lakini tumefundishwa subra na mahakama hiyo nimuhimu sana kwetu na itapatikana kwa jamna yeyote maana nihaki yetu.nailikuepo
 
Serkali haifungamani na dini yoyote na haina sababu ya kuingiza vipengele vya dini katika katiba yake. Mwisho wa maelezo. Inallaah mswabrina wabilaghi taawfiq. Wabarakatu
 
Mbona Mahakama ya Biashara inatumia kodi zetu wakati sisi wengine hatuuzi hata Mchicha !? ....msifiche chuki yenu, hakuna jambo la msingi kama mirathi litolewe uamuzi na baraza lisilo na mandate na authority.
Au linapozungumziwa suala la mirathi mnaona ni kama urithi wa baiskeli na begi la nguo !?
Kuna kesi ya Jaji mmoja maarufu, alikuwa na mtoto, na huyo mtoto wa nje ameenda mahakama kuu kuzuia taratibu za mirathi.
Hii ndo mnaona haki Wagalatia !?:spit:

wewe kichwa chako kibovu kweli! Kwani hizo biashara zinafanywa na wakristo tu au watu wa imani fulani tu!? Kwa kuwa mahakama ya biashara haihusiani na dini yoyote ila iko huru kwa watu wa imani zote na wasioamini hivyo si vibaya kutumia kodi zetu! si ajabu unaweza ukasema hata hizi mahakama za jinai nazo huzitaki kwa kuwa sio wote wanaofanya jinai! Wewe wa ajabu sana!
 
sema wewe utapiga kura ya hapana unafkiri wote wanaakili kama zako?wewe kama sio mjinga na binafsi hiyo mahakama ya kadh wewe inakuathiri kitu gani?waislam tunataka mahakama hiyo ili tuweze kumaliza matatizo ya waislam kwa kufuata katiba yetu qurani ambayo nikatiba kamili ya kutuendeshea mambo yetu.sasa kama limekuuma jiue au washaur viongozi waako nao wawe na mahama yao.ziko nch nyingi mahakama hiyo inafanya kazi mpaka kesho
mojawapo kenya ipo uliwahi kusikia imewaathiri wakirsto?tatizo lako umejawa na udini.ila nakuhakikishia kua waislam tukiamua iwe mbaya mutatafutana lakini tumefundishwa subra na mahakama hiyo nimuhimu sana kwetu na itapatikana kwa jamna yeyote maana nihaki yetu.nailikuepo

Tatizo ni kwanini mnalazimisha iingie kwenye katiba!? Kwani bila kuingizwa kwenye katiba hizo sharia zinabadilika? Toka siku nyingi serikali ishawapa ruksa muanzishe hiyo mahakama na kwa gharama zenu lakini hamtaki, mnachotaka lazima itamkwe kwenye katiba, je mnataka itamkwe kwenye katiba kwa maudhui gani ili tuelewe! Mara ooh mbona kenya, uganda n.k mahakama za kadhi zipo kikatiba, je mnajua zimetamkwa kikatiba kwa maudhui gani? Je katiba ikisema ni "ruksa kwa waislamu kuanzisha mahakama ya kadhi kwa gharama za waislam wenyewe na iwapo ikatokea sharia ikakinzana na sheria za nchi basi sheria ya nchi ndio itachukua mkondo" Je mtakubali? Hili jambo la kulazimisha mahakama ya kadhi iingie kwenye katiba bila kuweka bayana maudhui yake lina walakini na linaleta shaka!
 
Hilo lijamaa ni Giza na kamwe haliwezi kuwa Nuru... ndio maana alama yake ni Mwezi idol kwenye kila Msikiti Nuru ni kwa YHWH

Mgalatia unafikiri nuru ni kuwaka taa au jua !?...............jifunze hapa: Mlaleo

'Enyi mlioamini (Waislaam) ! Mcheni Mwenyezi Mungu, na muaminini Mtume wake, atakupeni sehemu mbili katika rehema yake, na atakujalieni muwe na nuru ya kwenda. Na atakusameheni. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe na Mwenye kurehemu.

Ili watu wa Kitabu (Wayahudi na Wakiristu) wajue kwamba wao hawana uwezo wowote juu ya fadhila za Mwenyezi Mungu. Na fadhila zote zi mikononi mwa Mwenyezi Mungu.Humpa amtakaye. Na Mwenyezi Mungu ndiye Mwenye fadhila kuu.

Qur'an:57:28-29
 
Last edited by a moderator:
Tatizo ni kwanini mnalazimisha iingie kwenye katiba!? Kwani bila kuingizwa kwenye katiba hizo sharia zinabadilika? Toka siku nyingi serikali ishawapa ruksa muanzishe hiyo mahakama na kwa gharama zenu lakini hamtaki, mnachotaka lazima itamkwe kwenye katiba, je mnataka itamkwe kwenye katiba kwa maudhui gani ili tuelewe! Mara ooh mbona kenya, uganda n.k mahakama za kadhi zipo kikatiba, je mnajua zimetamkwa kikatiba kwa maudhui gani? Je katiba ikisema ni "ruksa kwa waislamu kuanzisha mahakama ya kadhi kwa gharama za waislam wenyewe na iwapo ikatokea sharia ikakinzana na sheria za nchi basi sheria ya nchi ndio itachukua mkondo" Je mtakubali? Hili jambo la kulazimisha mahakama ya kadhi iingie kwenye katiba bila kuweka bayana maudhui yake lina walakini na linaleta shaka!

Kwa nini na nyinyi mnashupalia isiingizwe katika Katiba !?...........mnapoteza nini !?

Ki ufundi kama huna fahamu, nikuelezee hivii:
Kwa mfano, Katika familia fulani ya Kiislaam, ambayo Baba wa familia hiyo amefariki na ameshuhudiwa kuwa ni muumin (Muislaam) na ameacha wosia kuwa mali yake (Mirathi) igaiwe katika utaratibu wa kiislaam (ihusishwe Mahakama ya Kadhi) na miongoni mwa mali zake ni Maghorofa kadhaa yaliyoko Kariakoo. Katika watoto wake yupo mmoja amekana Dini ya Kiislaam (yaani si mfuasi wa Uislaam) na mwingine ni mtoto wa nje (si wa ndoa), Je, Kadhi akitoa hukumu yake kuhusu hao watoto kupata au kukosa mirathi, hiyo hukumu inaweza kukaziwa na Taasisi za serikali kama Polisi na Magereza !? Chuma Chakavu
 
Last edited by a moderator:
wewe kichwa chako kibovu kweli! Kwani hizo biashara zinafanywa na wakristo tu au watu wa imani fulani tu!? Kwa kuwa mahakama ya biashara haihusiani na dini yoyote ila iko huru kwa watu wa imani zote na wasioamini hivyo si vibaya kutumia kodi zetu! si ajabu unaweza ukasema hata hizi mahakama za jinai nazo huzitaki kwa kuwa sio wote wanaofanya jinai! Wewe wa ajabu sana!

Wewe ndio una kichwa kibovu, na ndio maana huna muda wa kufikiria hoja. Kwani katika Kodi wanaolipa ni Wakiristu tu na Waislaam hawalipi !?
Mahakama ya Biashara ni kwa ajili ya watu wenye kesi za kibiashara, na inatumia kodi za watu wote wakiwamo wafanyakazi wasio na biashara hata ya mchicha !
Kwanini usiwepo Mahakama ya Kadhi yenye kuangalia kundi la Waislaam pekee, kama ilivyo Mahakama ya Biashara ianyoangalia kundi la Wafanya Biashara tu !?
Umeona tunavyojenga hoja !...........Kodi hulipii peke yako ndugu.
 
Mifano yako haiendani na uhalisia uliopo... yaelekea hata akili yako haina ushirikiano pole sana Muislam mtumwa wa Mungu Mwezi... Allah... Akili za waislam zipo sawa.... zinawazia ngono peponi...

Akili zenu zinawadanganya uzinifu na uchafu woote mfanye nyie halafu dhambi abebeshwe mtu anayeitwa 'Yesu Kristu' !:A S 109:
Nyie ni wa kupima !
 
Shame on you kukatalia kitu msichokijua wala hakiwahusu wala hakigusi maisha yenu ya kila siku !
Mna post ujinga tu kwa jambo msilolijua. Wala hamtaki kujua kuwa Kadhi Law imekuwepo wakati wa Tanganyika na currently ipo Zanzibar.
Sasa nini kinawasumbua nyie !?

Hatutaki kitu kiingie kwenye katiba wakati hakina manufaa kwa taifa eti kisa magaidi wachache kitawanufaisha, hiyo katiba ni mali ya watanzania wote sio mali ya waislam, ndio maana tunahitaji kila kilichoandikwa kwenye katiba kiwe na maana kwa jamii na kisimkwaze mtu kuhusu imani yake, wala kabila lake.
 
Back
Top Bottom