Kuhusu kuondoa Ukomo wa Rais John Magufuli

Jamaa ikitokea akajiongezea muda hata miaka mitano,basi ujue tutakuwa tumepata Mu7,Kagame,Putin mwingine.Hatakaa aachie tena mpaka kifo.Madaraka ni matamu sana!
 
Magufuli ni rais bola kwa aina ya mazingila ya uongozi wake. licha ya changamoto chache za kiuongozi lakini aitoshi kuondoa mazuli aliyo fanya maoni yangu amalize muhula wake wa mwisho ampishe atakaye fuata
 
(Beyond two -term limit).

1. Je, ni kweli wakati mwingine Rais anahitaji mihula mitatu ili kuleta mantiki katika Uongozi?

2. Miaka 5 ya kwanza ni kipindi cha kujifunza na kuweka malengo. Miaka5 ya pili ni kipindi cha kusimamia MALENGO.Miaka 5 ya tatu ni kipindi cha ukamilishaji wa malengo. ( Source: Mkapa, 2020, My Life, My Purpose)

3. Mwalimu alikaa madarakani miaka zaidi ya miaka 20, katika kitabu chake, Ben ameeleza kwamba, mwalimu alitaka kuondoka madarakani kwa mara ya kwanza, lakini wajumbe wa chama na mataifa mbali mbali walimuomba aendelee. Baada ya miaka kadhaa, wajumbe hao hao waliomba tena mwalimu aendelee. This time mwalimu alisema NO. Ninakabidhi nchi kwa mtu mwingine. Aidha, mwalimu akasisitiza endapo NITAFIA madarakani, tambueni kwamba mrithi wangu nae atataka kufia madarakani. This time NO. ( Source: Mkapa, 2020, My Life, My Purpose)

4. Sote tunajua msimamo wa JPM, lakini pia kwenye siasa huwa hakuna bahati mbaya. Endapo JPM ataenda kinyume na his predecessors na kuitia KATIBA mikono, ni vyema tukajua watanzania wanaotamani JPM aendelee kuongoza nchi beyond his terms.

Wewe kama Mtanzania toa maoni yako na mawazo yako huru hapa. Kwanini unatamani tumuongezee muda JPM, na kwanini hautamani JPM kuongezewa muda?
Ataishia lupango tu hata akiongeza miaka 20!
 
Tunaomba uthibitisho wa lissu kupigwa Risasi kuwa ni kazi ya Mikono ya JPM
Hilo liko wazi .Hata Putin anakana kwamba hajampa sumu yule mpinzani wake.Kwa ushahidi wa kimazingira na vitendo vinavyoendelea haihitaji PhD kujua wao ni wahusika.Na dunia nzima inajua hivyo!
 
Magufuli ni rais bola kwa aina ya mazingila ya uongozi wake. licha ya changamoto chache za kiuongozi lakini aitoshi kuondoa mazuli aliyo fanya maoni yangu amalize muhula wake wa mwisho ampishe atakaye fuata
Bola= bora
Mazingila = mazingira
Mazuli= mazuri

Yaani wilmar kama huwezi kutofautisha r na l, basi hili jukwaa siyo saizi yako. Hatuwezi kubishana na mtu wa namna yako. Soma na kusepa tu
 
Tukiruhusu tu hii kitu kutokea,basi utawala huo utakuw wa maisha .katiba iheshimike ,na waasisi mawazo yao yalilenga palefu sana.amalize time yake atulie pembeni
 
Kwani katiba ni msahafu kuwa haihitaji maboresho ?
Mkuu Unazunguka Sana mbuyu.
Badala kujqdili tutapataje katiba mpya wewe unakuja na hoja ya kijinga

Hata hii katiba ya ccm ya sasa waTanzania hawaitaki sembuse Huyo mwenyekiti wenu aongezewe muda.
 
(Beyond two -term limit).

1. Je, ni kweli wakati mwingine Rais anahitaji mihula mitatu ili kuleta mantiki katika Uongozi?

2. Miaka 5 ya kwanza ni kipindi cha kujifunza na kuweka malengo. Miaka5 ya pili ni kipindi cha kusimamia MALENGO.Miaka 5 ya tatu ni kipindi cha ukamilishaji wa malengo. ( Source: Mkapa, 2020, My Life, My Purpose)

3. Mwalimu alikaa madarakani miaka zaidi ya miaka 20, katika kitabu chake, Ben ameeleza kwamba, mwalimu alitaka kuondoka madarakani kwa mara ya kwanza, lakini wajumbe wa chama na mataifa mbali mbali walimuomba aendelee. Baada ya miaka kadhaa, wajumbe hao hao waliomba tena mwalimu aendelee. This time mwalimu alisema NO. Ninakabidhi nchi kwa mtu mwingine. Aidha, mwalimu akasisitiza endapo NITAFIA madarakani, tambueni kwamba mrithi wangu nae atataka kufia madarakani. This time NO. ( Source: Mkapa, 2020, My Life, My Purpose)

4. Sote tunajua msimamo wa JPM, lakini pia kwenye siasa huwa hakuna bahati mbaya. Endapo JPM ataenda kinyume na his predecessors na kuitia KATIBA mikono, ni vyema tukajua watanzania wanaotamani JPM aendelee kuongoza nchi beyond his terms.

Wewe kama Mtanzania toa maoni yako na mawazo yako huru hapa. Kwanini unatamani tumuongezee muda JPM, na kwanini hautamani JPM kuongezewa muda?
Minne aliyobakiza ni Mingi mno utadhan karne asepe tu kama wenzake
 
Ujenzi wa Reli za kisasa
Kupungua kwa Rushwa
Ulinzi kuimarika
Nidhamu katika taasisi za Umma
Kufua Mradi wa Ndege
Kuongeza makusanyo ya Kodi
mbona unaongea ujinga ulinzi gani unaousema wewe huu ambao lisu alipigwa Risasi mchana na mpak Leo hakuna kesi au Roma kutekwa na hakuna lolote achilia mbali watu ambao wanapotea kwa sababu hawafamiki au huu wa wasio julikana kuendelea kuto julikana mpaka Leo ulinzi gani unaosema wewe
 
Miaka 5 ya kwanza ni kipindi cha kujifunza na kuweka malengo
hatuji kujifunza katika maisha ya watu.... ndiyo maana anapewa mtu aliyebobea katika kila nyanja ya siasa za ndani na nje... itokee bahati mbaya lkn siyo kuweka mtu kujifunza. We are not political guinea pigs
 
Kwa kutaka kubadili katiba mnamaanisha kwamba Raisi ajae tayari ameshashindwa au hatokuwa na uwezo kama wa Raisi Magufuli?
 
(Beyond two -term limit).

1. Je, ni kweli wakati mwingine Rais anahitaji mihula mitatu ili kuleta mantiki katika Uongozi?

2. Miaka 5 ya kwanza ni kipindi cha kujifunza na kuweka malengo. Miaka5 ya pili ni kipindi cha kusimamia MALENGO.Miaka 5 ya tatu ni kipindi cha ukamilishaji wa malengo. ( Source: Mkapa, 2020, My Life, My Purpose)

3. Mwalimu alikaa madarakani miaka zaidi ya miaka 20, katika kitabu chake, Ben ameeleza kwamba, mwalimu alitaka kuondoka madarakani kwa mara ya kwanza, lakini wajumbe wa chama na mataifa mbali mbali walimuomba aendelee. Baada ya miaka kadhaa, wajumbe hao hao waliomba tena mwalimu aendelee. This time mwalimu alisema NO. Ninakabidhi nchi kwa mtu mwingine. Aidha, mwalimu akasisitiza endapo NITAFIA madarakani, tambueni kwamba mrithi wangu nae atataka kufia madarakani. This time NO. ( Source: Mkapa, 2020, My Life, My Purpose)

4. Sote tunajua msimamo wa JPM, lakini pia kwenye siasa huwa hakuna bahati mbaya. Endapo JPM ataenda kinyume na his predecessors na kuitia KATIBA mikono, ni vyema tukajua watanzania wanaotamani JPM aendelee kuongoza nchi beyond his terms.

Wewe kama Mtanzania toa maoni yako na mawazo yako huru hapa. Kwanini unatamani tumuongezee muda JPM, na kwanini hautamani JPM kuongezewa muda.
Subliminal thoughts.
 
(Beyond two -term limit).

1. Je, ni kweli wakati mwingine Rais anahitaji mihula mitatu ili kuleta mantiki katika Uongozi?

2. Miaka 5 ya kwanza ni kipindi cha kujifunza na kuweka malengo. Miaka5 ya pili ni kipindi cha kusimamia MALENGO.Miaka 5 ya tatu ni kipindi cha ukamilishaji wa malengo. ( Source: Mkapa, 2020, My Life, My Purpose)

3. Mwalimu alikaa madarakani miaka zaidi ya miaka 20, katika kitabu chake, Ben ameeleza kwamba, mwalimu alitaka kuondoka madarakani kwa mara ya kwanza, lakini wajumbe wa chama na mataifa mbali mbali walimuomba aendelee. Baada ya miaka kadhaa, wajumbe hao hao waliomba tena mwalimu aendelee. This time mwalimu alisema NO. Ninakabidhi nchi kwa mtu mwingine. Aidha, mwalimu akasisitiza endapo NITAFIA madarakani, tambueni kwamba mrithi wangu nae atataka kufia madarakani. This time NO. ( Source: Mkapa, 2020, My Life, My Purpose)

4. Sote tunajua msimamo wa JPM, lakini pia kwenye siasa huwa hakuna bahati mbaya. Endapo JPM ataenda kinyume na his predecessors na kuitia KATIBA mikono, ni vyema tukajua watanzania wanaotamani JPM aendelee kuongoza nchi beyond his terms.

Wewe kama Mtanzania toa maoni yako na mawazo yako huru hapa. Kwanini unatamani tumuongezee muda JPM, na kwanini hautamani JPM kuongezewa muda?

Kama umeniuliza Mimi pia, basi nasema hivi..:

Mimi nataka aondoke leo na siyo kesho wala baada ya miaka mitano...!!

Hakuna sababu ya yeye kumaliza hata hii miaka mitano aliyonayo...

Na kamwe, acha kuongelea ishu ya kubadili katiba kwenye term limits za Urais bali...

Huyu anapaswa aondoke sasa hivi na kwa namna na njia yoyote ya kuondokea inayowezekana na anayoijua yeye...!!!
 
(Beyond two -term limit).

1. Je, ni kweli wakati mwingine Rais anahitaji mihula mitatu ili kuleta mantiki katika Uongozi?

2. Miaka 5 ya kwanza ni kipindi cha kujifunza na kuweka malengo. Miaka5 ya pili ni kipindi cha kusimamia MALENGO.Miaka 5 ya tatu ni kipindi cha ukamilishaji wa malengo. ( Source: Mkapa, 2020, My Life, My Purpose)

3. Mwalimu alikaa madarakani miaka zaidi ya miaka 20, katika kitabu chake, Ben ameeleza kwamba, mwalimu alitaka kuondoka madarakani kwa mara ya kwanza, lakini wajumbe wa chama na mataifa mbali mbali walimuomba aendelee. Baada ya miaka kadhaa, wajumbe hao hao waliomba tena mwalimu aendelee. This time mwalimu alisema NO. Ninakabidhi nchi kwa mtu mwingine. Aidha, mwalimu akasisitiza endapo NITAFIA madarakani, tambueni kwamba mrithi wangu nae atataka kufia madarakani. This time NO. ( Source: Mkapa, 2020, My Life, My Purpose)

4. Sote tunajua msimamo wa JPM, lakini pia kwenye siasa huwa hakuna bahati mbaya. Endapo JPM ataenda kinyume na his predecessors na kuitia KATIBA mikono, ni vyema tukajua watanzania wanaotamani JPM aendelee kuongoza nchi beyond his terms.

Wewe kama Mtanzania toa maoni yako na mawazo yako huru hapa. Kwanini unatamani tumuongezee muda JPM, na kwanini hautamani JPM kuongezewa muda?
Kama hao wanauwezo pia wakuondoa ukomo wa maisha ya binadamu basi waendelee na ukomo wa urais.
 
Rais alishasema muda wake ukiisha anaondoka, hataongeza hata siku moja.
Kweli hili ni tatizo kubwa sana tulipofikia kama Taifa kama miaka 5 ya uongozi wake bado hatujajua uwezo wake, tabia yake, vitendo vyake, maneno yake hata msimamo wake mpaka tunanza kumuandalia Kipindi kingine nje ya Katiba. Miaka 5 ya kwanza ni muda wa probation wa kuwaonyesha waliompa madaraka hayo kwenye nafasi hiyo kuwa mhusika anafaa au hafai na kama hafai anatupiliwa mbali baada Kipindi hicho tu na kama anafaa anapewa Kipindi kingine cha mwisho. Hii ni sawa na ndani ya ndoa ya miaka mitano mume/make asimjue mwenza wake mpaka atafute maoni na ushauri wa majirani kama anafaa kuendelea kuwa nae ili wazae watoto watatu zaidi ya mmoja walionaye au watalikiane. Hata miezi 4 ya miaka 5 haijatimia lakini kwa maagizo toka juu wajinga wa CCM mapema wanaanza kuandaa kwanza kuondoa kipengele pingamizi cha Katiba kinachoweka ukomo wa Vipindi ili Mwenyekiti wao Uchafuzi ujao agombee na kushinda kwa kishindo kutumia mbinu iliyotumika miezi 4 tu iliyopita. Pamoja na ujinga wao, hali halisi ya kisiasa nchini iliyoletwa na kiongozi aliyopo wanaiona na wanajua bila juhudi za ziada za mabegi mekundu hata wakileta mgombea wao mwingine hatapita. Kwao Jini likujualo!
 
Back
Top Bottom