Mk54
JF-Expert Member
- Dec 29, 2016
- 1,996
- 3,962
(Beyond two -term limit).
1. Je, ni kweli wakati mwingine Rais anahitaji mihula mitatu ili kuleta mantiki katika Uongozi?
2. Miaka 5 ya kwanza ni kipindi cha kujifunza na kuweka malengo. Miaka5 ya pili ni kipindi cha kusimamia MALENGO. Miaka 5 ya tatu ni kipindi cha ukamilishaji wa malengo. ( Source: Mkapa, 2020, My Life, My Purpose)
3. Mwalimu alikaa madarakani miaka zaidi ya miaka 20, katika kitabu chake, Ben ameeleza kwamba, mwalimu alitaka kuondoka madarakani kwa mara ya kwanza, lakini wajumbe wa chama na mataifa mbali mbali walimuomba aendelee. Baada ya miaka kadhaa, wajumbe hao hao waliomba tena mwalimu aendelee. This time mwalimu alisema NO. Ninakabidhi nchi kwa mtu mwingine. Aidha, mwalimu akasisitiza endapo NITAFIA madarakani, tambueni kwamba mrithi wangu nae atataka kufia madarakani. This time NO. ( Source: Mkapa, 2020, My Life, My Purpose)
4. Sote tunajua msimamo wa JPM, lakini pia kwenye siasa huwa hakuna bahati mbaya. Endapo JPM ataenda kinyume na his predecessors na kuitia KATIBA mikono, ni vyema tukajua watanzania wanaotamani JPM aendelee kuongoza nchi beyond his terms.
Wewe kama Mtanzania toa maoni yako na mawazo yako huru hapa. Kwanini unatamani tumuongezee muda JPM, na kwanini hautamani JPM kuongezewa muda?