Kuhusu kuondoa Ukomo wa Rais John Magufuli

Katika siasa kila tukio hupangwa, kila tukio mwisho wake hujulikana kwa wapangaji wa hayo matukio, '' hii ndiyo maana ya political science"

John Magufuli siyo kwamba anapendwa na hao wanaompigia debe abadili katiba hapana, kuihalisia wanajua bila yeye hawayawezi maisha, wanajua hawawezi kushinda katika ulingo sawa wa siasa.

Cha mhimu sana ni kwamba, Ni bora sana aondoke madarakani mda wake ukiiisha huku akithibitisha kuwa pesa za umma zilitumika vibaya na hivyo ameshindwa kumaliza ujenzi wa Reli, bwawa la umeme, pamoja na kukamilisha mchakato wa katiba mpya, kuliko kuongeza mda wa kubaki madarakani halafu bado akashindwa kukamilisha hayo niliyoyataja.

JPM anapambana na mambo madogo madogo sana, anaacha yaliyo makubwa, Mambo mengine alipaswa atengeneze mifumo e then mfumo usimamie hyo mambo, for sure angepata best results.

JPM anapambana kuhakikisha hukumu za mahakama zinaandikwa kwa kiswahili, huu ni upungufu wa ufahamu wa majukumu ya rais Hivi tatizo la watanzania ni lugha ya hukumu au hukumu ya haki????

JPM alikuwa na wigo mkubwa wa kufanya makubwa yenye haki ambayo angekumbukwa kwa mema milele, lakini amefanya makubwa mengi ya hovyo sana, Unawezaje kuanzisha kikundi cha watu wasiojulikana kwa lengo la kuumiza wale unaowaongoza ambao haukubaliani nao???

Ni ukosefu wa uelewa wa maana ya demokrasia pamoja na mfumo wa vyama vingi vya siasa, hivi unautoa wapi ujasiri wa kuamini ili nchi ipate maendeleo ni lazima wananchi wote tuwe wananchama wa ccm????

Magufuli ameshaprove failure, hana jipya, arudishwe darasani afundishwe nini maana ya maendeleo, aeleweshwe nafasi ya demokrasia katika maendeleo ya nchi. Asisitizwe umuhimu wa kulinda haki za binadamu, aitwe professor nguli wa constitution law amfundishe aielewe katiba ya nchi yetu., Baada ya hapo atakiri makosa yake yote aliyoyafanya kwa watanzania wapenda haki.
 
(Beyond two -term limit).

1. Je, ni kweli wakati mwingine Rais anahitaji mihula mitatu ili kuleta mantiki katika Uongozi?

2. Miaka 5 ya kwanza ni kipindi cha kujifunza na kuweka malengo. Miaka5 ya pili ni kipindi cha kusimamia MALENGO.Miaka 5 ya tatu ni kipindi cha ukamilishaji wa malengo. ( Source: Mkapa, 2020, My Life, My Purpose)

3. Mwalimu alikaa madarakani miaka zaidi ya miaka 20, katika kitabu chake, Ben ameeleza kwamba, mwalimu alitaka kuondoka madarakani kwa mara ya kwanza, lakini wajumbe wa chama na mataifa mbali mbali walimuomba aendelee. Baada ya miaka kadhaa, wajumbe hao hao waliomba tena mwalimu aendelee. This time mwalimu alisema NO. Ninakabidhi nchi kwa mtu mwingine. Aidha, mwalimu akasisitiza endapo NITAFIA madarakani, tambueni kwamba mrithi wangu nae atataka kufia madarakani. This time NO. ( Source: Mkapa, 2020, My Life, My Purpose)

4. Sote tunajua msimamo wa JPM, lakini pia kwenye siasa huwa hakuna bahati mbaya. Endapo JPM ataenda kinyume na his predecessors na kuitia KATIBA mikono, ni vyema tukajua watanzania wanaotamani JPM aendelee kuongoza nchi beyond his terms.

Wewe kama Mtanzania toa maoni yako na mawazo yako huru hapa. Kwanini unatamani tumuongezee muda JPM, na kwanini hautamani JPM kuongezewa muda?
Magufuli ametuonyesha uimara wa Katiba yetu, na kwa mara ya kwanza katika siasa zetu za upinzani tumepambana na mwamba wa kututikisa, kiasi ukitamka tuu Magufuli watu wanafunga midomo.

Huyu ndio rais wa kwanza hapa kwetu Lyamungo Sinde - Hai, haishi kuzungumzwa kila kukicha, hata wapanda mlima wameufyata na jeuri yao yote.

KATIBA YA KI- DiCTATOR OYEEEEEE. BADILISHENI KATIBA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
(Beyond two -term limit).

1. Je, ni kweli wakati mwingine Rais anahitaji mihula mitatu ili kuleta mantiki katika Uongozi?

2. Miaka 5 ya kwanza ni kipindi cha kujifunza na kuweka malengo. Miaka5 ya pili ni kipindi cha kusimamia MALENGO.Miaka 5 ya tatu ni kipindi cha ukamilishaji wa malengo. ( Source: Mkapa, 2020, My Life, My Purpose)

3. Mwalimu alikaa madarakani miaka zaidi ya miaka 20, katika kitabu chake, Ben ameeleza kwamba, mwalimu alitaka kuondoka madarakani kwa mara ya kwanza, lakini wajumbe wa chama na mataifa mbali mbali walimuomba aendelee. Baada ya miaka kadhaa, wajumbe hao hao waliomba tena mwalimu aendelee. This time mwalimu alisema NO. Ninakabidhi nchi kwa mtu mwingine. Aidha, mwalimu akasisitiza endapo NITAFIA madarakani, tambueni kwamba mrithi wangu nae atataka kufia madarakani. This time NO. ( Source: Mkapa, 2020, My Life, My Purpose)

4. Sote tunajua msimamo wa JPM, lakini pia kwenye siasa huwa hakuna bahati mbaya. Endapo JPM ataenda kinyume na his predecessors na kuitia KATIBA mikono, ni vyema tukajua watanzania wanaotamani JPM aendelee kuongoza nchi beyond his terms.

Wewe kama Mtanzania toa maoni yako na mawazo yako huru hapa. Kwanini unatamani tumuongezee muda JPM, na kwanini hautamani JPM kuongezewa muda?
Mimi ni mpenzi wa JPM ila hili suala ni la kipuuzi ajabu. Rais akikaa madarakani zaidi ya miaka 10, uzoefu unaonesha anaanza kuharibu. 2025 aondoke na mwingine hata kama ni wa chadema aingie ila asiwe mbinafsi kama Tototundu
 
"Katiba iheshimiwe, Atakapo anza mmoja kuikanyaga kwa vigezo vyake vya ajabu ajabu ataanzisha jambo,na jambo atakaloanzisha ni kumjenga yule kiongozi ajae kuona ya kwamba huu ni utaratibu wa kawaida kwa kigezo cha mbona yule alifanya hivi na huenda baadae kabisa kwa kulitengeneza hili bila kutafakari kwa kina akatokea mtu mmoja mwenye akili mbovu kabisa akatamani kukaa hapo milele"
*kijukuu cha JKN
 
Yeah it makes sense, lakini je , kwa nchi inayohitaji kuendelea kamaTZ, ni sahihi miaka 10 inatosha kuleta mabadiliko ya kweli? Kama ndiyo, then how ?
Maendeleo ya kweli hayaletwi na kukaa mdarakani mda mrefu bali yanaletwa kwa kujenga mifumo bora ya utawala na uongozi

Anaweza kukaa hata miaka 100 na bado asifanye la maana.
 
Huo ungese wala hatuukubali, aje mtoto wa kiislamu nchi ilainike kidogo.

Mwanzo Buffer Rubber ilichanika tu ila kwa sasa CV joint ishakauka grease kinachofuata ni kunyofoka tu na kuletaa maafa makubwa!
 
Mitan
(Beyond two -term limit).

1. Je, ni kweli wakati mwingine Rais anahitaji mihula mitatu ili kuleta mantiki katika Uongozi?

2. Miaka 5 ya kwanza ni kipindi cha kujifunza na kuweka malengo. Miaka5 ya pili ni kipindi cha kusimamia MALENGO.Miaka 5 ya tatu ni kipindi cha ukamilishaji wa malengo. ( Source: Mkapa, 2020, My Life, My Purpose)

3. Mwalimu alikaa madarakani miaka zaidi ya miaka 20, katika kitabu chake, Ben ameeleza kwamba, mwalimu alitaka kuondoka madarakani kwa mara ya kwanza, lakini wajumbe wa chama na mataifa mbali mbali walimuomba aendelee. Baada ya miaka kadhaa, wajumbe hao hao waliomba tena mwalimu aendelee. This time mwalimu alisema NO. Ninakabidhi nchi kwa mtu mwingine. Aidha, mwalimu akasisitiza endapo NITAFIA madarakani, tambueni kwamba mrithi wangu nae atataka kufia madarakani. This time NO. ( Source: Mkapa, 2020, My Life, My Purpose)

4. Sote tunajua msimamo wa JPM, lakini pia kwenye siasa huwa hakuna bahati mbaya. Endapo JPM ataenda kinyume na his predecessors na kuitia KATIBA mikono, ni vyema tukajua watanzania wanaotamani JPM aendelee kuongoza nchi beyond his terms.

Wewe kama Mtanzania toa maoni yako na mawazo yako huru hapa. Kwanini unatamani tumuongezee muda JPM, na kwanini hautamani JPM kuongezewa muda?
Muhula wa pili wenyewe kalazimisha bado mnaendelea kuchokoza wa tz katiba ndio ina majibu sahihi kuhusu hilo basi mkishindwa hiyo katiba muiondoe kabisa isiwepo ili muinjoy maisha yenu yote make nimewachoka
 
Ina maana Tanzania nzima yeye pekee ndio mwenye akili? Acheni ujinga. Watanzania tupo zaidi ya milioni 60 haiwezekani yeye peke yake awe na akili kutuzidi watanzania wote kustahili kuongezewa muda. Acheni ujinga.
Yuko wapi nkurunziza?
 
(Beyond two -term limit).

1. Je, ni kweli wakati mwingine Rais anahitaji mihula mitatu ili kuleta mantiki katika Uongozi?

2. Miaka 5 ya kwanza ni kipindi cha kujifunza na kuweka malengo. Miaka5 ya pili ni kipindi cha kusimamia MALENGO.Miaka 5 ya tatu ni kipindi cha ukamilishaji wa malengo. ( Source: Mkapa, 2020, My Life, My Purpose)

3. Mwalimu alikaa madarakani miaka zaidi ya miaka 20, katika kitabu chake, Ben ameeleza kwamba, mwalimu alitaka kuondoka madarakani kwa mara ya kwanza, lakini wajumbe wa chama na mataifa mbali mbali walimuomba aendelee. Baada ya miaka kadhaa, wajumbe hao hao waliomba tena mwalimu aendelee. This time mwalimu alisema NO. Ninakabidhi nchi kwa mtu mwingine. Aidha, mwalimu akasisitiza endapo NITAFIA madarakani, tambueni kwamba mrithi wangu nae atataka kufia madarakani. This time NO. ( Source: Mkapa, 2020, My Life, My Purpose)

4. Sote tunajua msimamo wa JPM, lakini pia kwenye siasa huwa hakuna bahati mbaya. Endapo JPM ataenda kinyume na his predecessors na kuitia KATIBA mikono, ni vyema tukajua watanzania wanaotamani JPM aendelee kuongoza nchi beyond his terms.

Wewe kama Mtanzania toa maoni yako na mawazo yako huru hapa. Kwanini unatamani tumuongezee muda JPM, na kwanini hautamani JPM kuongezewa muda?
Kukamilisha ama kutokamilisha Miradi haiwezi kuwa ni sababu ya kuchezna katiba kumuongezea rais miaka. Tukumbuke Mh. Kikwete kuna miradi mingi tu aliianzisha tu na akaenda kustaafu. Mf. Mradi wa Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kisasa Dsm ( Terminal 3) lakini mradi huo umekuja kukamilishwa sasa na awamu ya 5. Pia ujenzi wa Daraja la Kigamboni umeanza Awamu ya 4 lakini haukukamilika ukaja kukamilishwa awamu hii. Na mingineyo, kama pia Kikwete alivyoiendeleza miradi ya awamu aliyoipokea ya Mzee Mkapa.

Serikali ni mfumo sio mipango ya mtu. Serikali inapopokea madaraka inapaswa kufahamu miradi mikubwa ya kimkakati na kimaendeleo na inapaswa iandikiwe na kuwekewa utaratibu ya kuendelezwa na awamu inayoifuata.

Kama awamu hii imeendeleza miradi ya nyuma na kuanzisha mipya, ni kwa nini tupate hofu ya miradi hii ya sasa ambayo itakuwa haijakalimilika kutokamiloshwa na serikali ijayo? Kwa nn tunalazimisha hofu?

Kama issue ni kumuongezea mtu muda, kwa sababu ya kumpa fursa ya kukamilisha miradi, kwa nini tunaandaa bajeti na kufanya uchaguzi kila baada ya miaka 5? Je ikatokea wananachi wakaamua kumtema rais baada ya 5 tu itakuwaje? Kwa nn basi tusiache tu basi hata uchaguzi hadi miaka iishe?

Swali pia la kujiuliza kwa hoja ya kuongeza muda kukamilisa miradi; Je ikitokea baada ya huo muda miradi ikawa haijaisha itakuwaje? Au je endapo Rais ataanzisha mradi mpya muda mfupi kabla ya kumaliza muda wake itakuwaje?

Haya mawazo sio sawa. Viongozi wetu wanafanya kazi nzuri, wafanye kwa sehemu yao na uwezo uliopo na muda ukifika kwa mujibu wa katiba iliyopo wastaafu kwa heshima na yale waliyoyaishia njiani bila shaka ni kwa manufaa ya umma na yatamaliziwa kama ulivyo utaratibu kwenye awamu zote zilizopita. Miradi ni ya serikali, na serikali siku zote itakuwepo so hatupaswi kuwa na hofu na anayekuja. Huenda naye akawa vzr zaidi.

Maendeleo hayana Chama
 
(Beyond two -term limit).

1. Je, ni kweli wakati mwingine Rais anahitaji mihula mitatu ili kuleta mantiki katika Uongozi?

2. Miaka 5 ya kwanza ni kipindi cha kujifunza na kuweka malengo. Miaka5 ya pili ni kipindi cha kusimamia MALENGO.Miaka 5 ya tatu ni kipindi cha ukamilishaji wa malengo. ( Source: Mkapa, 2020, My Life, My Purpose)

3. Mwalimu alikaa madarakani miaka zaidi ya miaka 20, katika kitabu chake, Ben ameeleza kwamba, mwalimu alitaka kuondoka madarakani kwa mara ya kwanza, lakini wajumbe wa chama na mataifa mbali mbali walimuomba aendelee. Baada ya miaka kadhaa, wajumbe hao hao waliomba tena mwalimu aendelee. This time mwalimu alisema NO. Ninakabidhi nchi kwa mtu mwingine. Aidha, mwalimu akasisitiza endapo NITAFIA madarakani, tambueni kwamba mrithi wangu nae atataka kufia madarakani. This time NO. ( Source: Mkapa, 2020, My Life, My Purpose)

4. Sote tunajua msimamo wa JPM, lakini pia kwenye siasa huwa hakuna bahati mbaya. Endapo JPM ataenda kinyume na his predecessors na kuitia KATIBA mikono, ni vyema tukajua watanzania wanaotamani JPM aendelee kuongoza nchi beyond his terms.

Wewe kama Mtanzania toa maoni yako na mawazo yako huru hapa. Kwanini unatamani tumuongezee muda JPM, na kwanini hautamani JPM kuongezewa muda?
Suala kuu si kukaa madarakani kwa Raisi ila ni namna gani CCM inaweza kuendelea kutawala.Kwa chama kama CCM kama kingekuwa imara kama inavyotakiwa iwe kisingeweza kuhangaika na jambo hili kwani ingekuwa "kinaondoka chuma kinaingia chuma".Kwa hali ya sasa ya kisiasa CCM ikilegea nchi inaweza kwenda kwa waimba "Singeli".Imechokwa!!
 
"Katiba iheshimiwe, Atakapo anza mmoja kuikanyaga kwa vigezo vyake vya ajabu ajabu ataanzisha jambo,na jambo atakaloanzisha ni kumjenga yule kiongozi ajae kuona ya kwamba huu ni utaratibu wa kawaida kwa kigezo cha mbona yule alifanya hivi na huenda baadae kabisa kwa kulitengeneza hili bila kutafakari kwa kina akatokea mtu mmoja mwenye akili mbovu kabisa akatamani kukaa hapo milele"
*kijukuu
Exactly
 
Ndo wenye fikra hasi kuhusu Tz wanazishabikia mno suala la kubadili katiba kwa ajiri ya mtu moja jpm, hilo suala ni msiba mkubwa Tz haipaswi hata kujadiliwa na mtanzania mwenye elimu na muamuko wa dunia
Watu kama nyie ndo wenye mitazamo ya kimataifa ya hata kuharalisha ushoga acha watanzania wasio na elimu wavunje demokrasia.
 
4. Sote tunajua msimamo wa JPM, lakini pia kwenye siasa huwa hakuna bahati mbaya. Endapo JPM ataenda kinyume na his predecessors na kuitia KATIBA mikono, ni vyema tukajua watanzania wanaotamani JPM aendelee kuongoza nchi beyond his terms.
Kama kitu hicho kitakuwepo, itakuwa ni "one-time event" ambayo haihitaji kubadilisha Katiba. Utaratibu wake utakuwa ni kwamba Bunge likisharidhia, linarudisha wazo hilo kwa wananchi ambao wataombwa kupiga kura ya ndiyo au hapana. Hapana zikiwa nyingi kuliko ndiyo, wazo hilo linafutwa na likipita, basi anaongezewa muda ila baada ya muda huo kuisha, tunarudi tena kwenye Katiba yetu kama kawaida kwa sababu tutakuwa hatujaibadilisha. Referendum inaruhusiwa kikatiba, na siyo lazima ifanyike kwa kubadilisha kipengele kwenye Katiba
 
Urais mwisho uwe miaka 10 kama katiba inavyosema.

Umesoma kitabu cha Mkapa?

Katika kiitabu cha Mkapa, Mkapa alipinga vikali habari za kubadili katiba ili rais aongeze muda wa kutaeala. Aliutaja hata mfanonwa Salmin Amour alivyotaka kufanya hivyo na jinsi gani hilo jqmbo lilivyomchukiza.

Hapa gazeti la The Citizen liliandika makala kuhusu hili.

Tanzania: Mkapa On Presidential Term-Limits

14 NOVEMBER 2019

The Citizen (Dar es Salaam)

By Khalifa Said

Dar es Salaam — Former President Benjamin Mkapa has criticised some African heads of state for clinging to power even after the expiry of their respective constitutional term limits, saying the practice does not only complicate governance of the respective countries but also poses a risk to regional peace, security and stability.

Mr Mkapa's warning, given in his autobiography titled My Life, My Purpose: Tanzanian President Remembers and launched on Tuesday. In the memoir, Mr Mkapa opens up about his life and experiences as a Tanzanian leader.
The criticism comes on the heels of mounting voices in various forms that suggest that the constitution of Tanzania should be amended to allow President John Magufuli stay longer than the two-five year term. President Magufuli has, nonetheless, ruled out any possibility of him going beyond what is currently stipulated in the constitution.

Expressing his disappointment over what has happened elsewhere in the region in relation to the issue of term limits, Mr Mkapa, who has worked as a mediator for the Inter-Burundi Dialogue, says: "Looking at neighbouring countries, we have seen leaders trying to retain power beyond their allotted term." The Inter-Burundi Dialogue is an EAC initiative aimed at resolving political tensions caused by the 2015-controversial Burundian elections.
"If you've served well, yet choose to remain beyond your term, which results in a threat of unrest and violence, why do you, as a leader, want to see that violence erupt? Why spoil your record of leadership and create a crisis, why?," asks Mr Mkapa as if addressing leaders of Uganda, Burundi and Rwanda, who have allowed changes to their respective constitutions to extend their stay.

Close to home, Mr Mkapa writes in the 320-page memoir that he "was very tense" when former president of Zanzibar, Salmin Amour, wanted to extend his term to an unconstitutional third term, a move he said, if successful, would have been "catastrophic for Tanzania."

Mr Mkapa says that "there were no extraordinary reasons" for Dr Amour to do so, and although he didn't want to appear dictating to the Zanzibaris, "I was determined not to have the constitution changed."

Beyond thessue of term-limit, however, Mr Mkapa also expresses his support for the need to strengthen the checks and balance in the country, describing the principle of separation of powers, for example, a "vital" one especially for a developing country like Tanzania.

This also comes amidst the growing debate in the country around the question of whether or not the constitutional safeguards are enough to ensure checks and balances at a time where one pillar of the State, the Executive, is seen to overreach itself at the expense of accountability and good governance, a claim the Magufuli administration denies.

"There must be a structure which can mitigate a president's power, or at least provide for a time for a president to rethink," argues Mr Mkapa, after acknowledging that under the current constitution the president has excessive powers vested into him. "Perhaps this is where a second parliamentary chamber could be useful, it could offer the opportunity for those who have had substantial experience to review bills. [It] could at least quietly warn of any potential for a negative impact from a proposed bill."

Close

[https://cdn07]
Referendum haihitaji kubadilisha Katiba. Katiba yetu inaruhusu referendum.
 
This time NO.
Atatakiwa akabidhi nchi kwa mtu mwingine endapo atataka kufia madarakani, tambueni mrithi ajaye nae atataka kufia madarakani.
This time NO.
 
Ina maana Tanzania nzima yeye pekee ndio mwenye akili? Acheni ujinga. Watanzania tupo zaidi ya milioni 60 haiwezekani yeye peke yake awe na akili kutuzidi watanzania wote kustahili kuongezewa muda. Acheni ujinga.
Kama sisi ni wajinga basi ni busara tukatafuta angalau mtu mmoja mwenye akili, si ndiyo?
 
Back
Top Bottom