Zogwale
JF-Expert Member
- Jul 10, 2008
- 15,295
- 10,964
Awe Rais mpaka afie kwenye hicho kiti. Yaani hata hospital asiende madaktari wamtibie akiwa amekaa kwenye hicho kitu mpaka Roho ikatikie hapo. Ili tuendelee kumkumbuka zaidi ya aliyotendea watanzania.
Ni Rais ambaye hatasahaulika kirahisi kwenye vichwa vya walio wengi. Mungu Ibariki kanda ya Ziwa, Mungu Ibariki Chato. Mpaka muda wake wa Utawala milele uishe na wimbo wa Taifa huenda ukabadilishwa au kuboreshwa kuingiza mambo muhimu. Narudia Mungu Ibariki sana Chato.