secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 15,527
- 29,111
Naamkiwa Kila siku asubuhi kupitia PM yangu.Mkuu umejuaje kuwa unaheshimika humu?
Naamkiwa Kila siku asubuhi kupitia PM yangu.Mkuu umejuaje kuwa unaheshimika humu?
Kwa uelewa wakoMashia ni Waislamu
YeahIna maana Hawa mashia Wana itikadi tofauti kabisa na waislam?
Ni dhehebu nzima bwana. Ila wasuni hawamkubali.Nilikuwa najua yeye anahusika na wa Iran tu
Najiuliza nani kampa mamlaka hayo sasa
NAkubali mkuuNaamkiwa Kila siku asubuhi kupitia PM yangu.
Ushahidi ni Samia.Mkuu nakupa masaa 24 kudhibitisha kauli yako
Yeye ndio kama Rais hakuna Rais mwingineApo umenyoosha mkuu Ina maana huko Iran yeye yupo juu kuliko raisi?
ni sharia mkuu, la sharia ni tafsiri ya mtoaji au mwelekezaji tu wala sio documentedSheria
Mufti wa Mecca.Ok so kwa wasunni papa wao nani
Rais yupo ila yuko chini ya Ayatollah.Yeye ndio kama Rais hakuna Rais mwingine
Umepiga kwenye mshonoUshahidi ni Samia.
Ayatollah ni zaid ya rais × 40000000, rais iran ni takataka tu mbele ya ayatollahYeye ndio kama Rais hakuna Rais mwingine
Nithibitishe kwa kumleta gaidi aliyepooza au?Mkuu nakupa masaa 24 kudhibitisha kauli yako
Kwa hiyo akija Bongo anakuwa bado kiongozi kwa MashiaNi dhehebu nzima bwana. Ila wasuni hawamkubali.
Tuta tuma tubwasha 😀😀😀Hakuna, mufti wenu ni mjinga mjinga mmoja tu🚮
Daah nahisi KWAAJILI ya waislam ila sijajua mgawanyo wao upoje mkuuHivi Muft yupo kwa ajili ya waislamu au kwa qjili ya Bakwata?
Si tu kiongozi bali washia wanamtetemekea utadhani mola ndo kashuka.Kwa hiyo akija Bongo anakuwa bado kiongozi kwa Mashia
Hivi alishawahi kujaSi tu kiongozi bali washia wanamtetemekea utadhani mola ndo kashtuka.
Sidhani kama alikuja.Hivi alishawahi kuja
Papa hana ufanano wowote na Ayatollah.Kiongozi wa kanisa katoliki duniani.