Kuhusu cheo cha Mufti na Ayatollah

Kuhusu cheo cha Mufti na Ayatollah

Rais ana umuhimu kuwepo.
Uongozi wao ni kama state of monarch kwamba Prime Minister anashughulikia kila kitu ila final say ipo kwa mfalme au malkia.
Ndio sawa na wao,rais ndio yuko front kufanya kitu,ila kuna zile CRUCIAL DECISIONS hapo ndio wanakutana kamati nzima ikiongoza na Ayatollah kesha Raisi wa nchi,ambapo final say ataitoa Ayatollah.
Okay
 
Back
Top Bottom