Kuhusu cheo cha Mufti na Ayatollah

Kuhusu cheo cha Mufti na Ayatollah

Yule alikuwa ni Mfalme na mkuu wa dini.

Kidogo walitazamia kwa Uingereza, Mfalme ndiye mkuu wa Kanisa la Anglican, ingawa chini yake kuna Askofu mkuu.

Kwa sababu hiyo, ndiyo maana wakamrithisha mwanaye kukamatia kijiti, lakini Trump kautukana uteuzi huo na kudai hautambui, watafute mwingine mwenye kuendana na sera zake ndiyo ataridhika na kusimamisha vita.
Kumbe Trump alikuwa na lake jambo.
Aisee Dunia Ina mambo ndo mana mimi sijapenda Iran kuuliwa kiongozi wao
 
Yule alikuwa ni Mfalme na mkuu wa dini.

Kidogo walitazamia kwa Uingereza, Mfalme ndiye mkuu wa Kanisa la Anglican, ingawa chini yake kuna Askofu mkuu.

Kwa sababu hiyo, ndiyo maana wakamrithisha mwanaye kukamatia kijiti, lakini Trump kautukana uteuzi huo na kudai hautambui, watafute mwingine mwenye kuendana na sera zake ndiyo ataridhika na kusimamisha vita.
Ayatollah anachaguliwa na Baraza la wataalamu.
 
Back
Top Bottom