Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 6,991
- 7,245
Sasa nokuulize kati ya Ayatollah wa Iran na wa Iran yupi ana cheo zaidi duniani?Sidhani kama alikuja.
Sasa nokuulize kati ya Ayatollah wa Iran na wa Iran yupi ana cheo zaidi duniani?Sidhani kama alikuja.
Yah naona watu wengi wanachanganya hayo majina, hata Waislamu wenyewe wanajua Ayatollah n huyo jamaa wakati hilo n jina la cheo.Ayatollah ndo cheo ali khamenei lilikuwa ndo jina. kwa hyo akichaguliwa mwingne ambaye anaitwa juma pumba atakuwa anaitwa ayatollah juma pumba.
N kiongozi wa dunia ipi ww mvuta Bangi, lini Huyo gaidi Ayatollah aliwahi kutoa neno kwa Waislamu wote kama ilivyo kwa Papa afanyavyo?Duh.. Yule ni kiongozi wa Dunia sawa na Pope
Umenena vizuri sana. Mimi nimemfananisha na papa kwa kitu kidogo tu nacho ni kuwa waislamu wa dhehebu la Shia popote pale, iwe Saudi Arabia, Syria, Misri n.k, wanamkubali na kumchukulia kama kiongozi wao mkubwa japokuwa yeye kwa upande mwingine ni kiongozi wa nchi ya Iran.Papa hana ufanano wowote na Ayatollah.
Papa ni kiongozi wa kiroho aliyepewa eneo dogo huru ndani ya Italia, linaloitwa Vatican, lisiloingiliwa na Serikali ya Italy, lakini yeye hana Serikali wala jeshi, wala polisi, bali baadhi ya mataifa hutoa ulinzi bure.
Ayatollah ni kiongozi mkuu wa Serikali ya Iran ambaye aliyapata madaraka kwa kupindua Serikali, kwa kutumia hadaa ya imani ya dini. Ayatollah ana jeshi, ana Serikali na ndiye mwenye kauli ya mwisho kwa nchi ya Iran.
Swali lako sijalielewa mkuu.Sasa nokuulize kati ya Ayatollah wa Iran na wa Iran yupi ana cheo zaidi duniani?
Nilikuwa namaanisha kati ya Ayatollah wa Iran na wa IraqSwali lako sijalielewa mkuu.
Kwann washia wamelia wakati kiongozi wao ametimiza misingi ya Uislamu kwenda kula bikra 72 huko peponi?Umenena vizuri sana. Mimi nimemfananisha na papa kwa kitu kidogo tu nacho ni kuwa waislamu wa dhehebu la Shia popote pale, iwe Saudi Arabia, Syria, Misri n.k, wanamkubali na kumchukulia kama kiongozi wao mkubwa japokuwa yeye kwa upande mwingine ni kiongozi wa nchi ya Iran.
Washia wengi duniani wabebubujikwa na Machozi kisa Ayatollah khamenei kawatika, huku wasuni wakichekelea.
Kwani Ayatollah wa Iraq ni nani Kwa sasa?Nilikuwa namaanisha kati ya Ayatollah wa Iran na wa Iraq
SifahamuKwani Ayatollah wa Iraq ni nani Kwa sasa?
Kwa sababu wanamwonea wivu wakidhani kuwa atawachagua mabikra wazuri zaidi na kuwabakizia wale wenye sura ya baba.Kwann washia wamelia wakati kiongozi wao ametimiza misingi ya Uislamu kwenda kula bikra 72 huko peponi?
Sasa kama humfahamu unamfanishaje na wa Iran?Sifahamu
Nachojua ni kuwa Iraq kuna Ayatollah tu ila sijui anaitwa naniSasa kama humfahamu unamfanishaje na wa Iran?
Je unadhani kuwa nchini Iraq Kuna Ayatollah?
Well, Iraq Kuna Ayatollah anaitwa Ali Al-Sistani ambaye hana mamlaka makubwa/kamili katika nchi kama Ayatollah Ali Khamenei wa Iran.Nachojua ni kuwa Iraq kuna Ayatollah tu ila sijui anaitwa nani
Tatizo wewe umejikita kwenye siasa mimi nimeulizia yupi ni mbabe kwa upande wa diniWell, Iraq Kuna Ayatollah anaitwa Ali Al-Sistani ambaye hana mamlaka makubwa/kamili katika nchi kama Ayatollah Ali Khamenei wa Iran.
Ayatollah wa Iraq hapaswi kuingilia siasa Moja kwa Moja, anakjikita zaidi katika masuala ya dini.
Yaani ni kama constitutional monarchy ambapo mfalme au malkia anakuwa pale kama kiongozi wa heshima (hawezi kuwa na mamlaka kamili katika masuala ya kisasa) mfano wake ni mfalme au malkia wa Uingereza. Tofauti na absolute monarchy ambapo mfalme ama Malika ndiye Kila kitu katika nchi (katika masuala ya kisasa) kwa mfano kule Saudi Arabia mfalme Salman bin abdulaziz ndiye Kila kitu.
Sasa mpaka hapa nadhani utakuwa umemeelewa Ayatollah mwenye show Kali ni wa nchi gani.
Ok, kwenye upande wa dini Ayatollah wa Iraq anaushawishi mkubwa kuliko wa Iran. Hii ni kwa sababu za center ambazo elimu ya kishia hutolewa duniani.Tatizo wewe umejikita kwenye siasa mimi nimeulizia yupi ni mbabe kwa upande wa dini
Kwa hiyo maana yake ni kwamba Ayatollah wa Iran sio kiongozi wa mashia wote duniani?Ok, kwenye upande wa dini Ayatollah wa Iraq anaushawishi mkubwa kuliko wa Iran. Hii ni kwa sababu za center ambazo elimu ya kishia hutolewa duniani.
Kule Iraq Kuna najaf ambayo ni center ya kitambio sana na inaheshika zaida na kule Iran kula Qom ambayo kidogo imepindisha mambo kutokana na kuuunganisha mambo ya siasa kwenye dini jambo ambalo halikiwa msingi wa washia.
Hii ya Iran ninaipenda kwa sababu inanyoosha waliopinda. Ya Iraq inajifanya kujitenga na utawala wa kisiasa ndiyo maana wamekuwa vibaraka wa marekani.
Hata wa Iraq si kiongozi wa wa washia wote duniani ila kidogo anaaminiwa na kwenda kuombwq ushauri na washia wanaotoka sehemu tofauti dniani kutokana na kuwa mfumo wa washia wa Iraq ulibaki kama ulivyokuwa mwanzo kwamba siasa haichangangwi sana na dini, pia najaf ni kituo Cha kale zaidi Cha uanazuoni ukilinganisha na Qom.Kwa hiyo maana yake ni kwamba Ayatollah wa Iran sio kiongozi wa mashia wote duniani?