Kuhusu cheo cha Mufti na Ayatollah

Kuhusu cheo cha Mufti na Ayatollah

'Baraza la wataalamu' badala ya raia wote, halafu anakuwa ni sauti ya mwisho kuliko Rais aliyechaguliwa kidemokrasia na hawajibishwi na yeyote na hana ukomo wa utawala!

Kuna tofauti gani na Mfalme ama Sultani?
Hao wanakuwa wataalam wa Nini?
 
Ninavyojua ni kuwa Iran ni nchi ya kiislam Kwahiyo Ayatollah anakuwa kiongozi mkuu wa dini na serikali tofauti na wabongo yeye yupo kwa ajili ya waislam tu kuwaongoza kwa mambo ya dini
Hivi Muft yupo kwa ajili ya waislamu au kwa qjili ya Bakwata?
 
Back
Top Bottom