Kufunga Ramdahan ni nguzo nzito sana kwa Waislamu walio wengi

Chinga One

JF-Expert Member
May 7, 2013
11,452
12,319
Kwa utafiti niliuoufanya Waislam walio wengi hawafungi ramadhani, wengi wana pretend ili kuondoa aibu kwa wenza, majirani, marafiki, wazazi n.k
Yani ile kwamba watanionaje?

Ila ukweli wa dhati ni kwamba watu wanabonyea kama kawaida ila kwa kujificha saana.

Mungu hachezewi ipo siku tutajutia kumdhihaki kwetu!
 
Iwe hivyo au isiwe hivyo whats the big deal? Kila mtu afuate njia zake..
 
We unashangaa hlo mbna dogo. Kuna wanaojiita waislamu hawajaoana kamvua haka wanachakatana kama mchwa.hapa napoish kuna demu yupo mchana anatundika juba fresh lakn usiku watu wanampapucha fresh, alafu ukiona mtu /watu wanavunja jungu kabla ya swaumu .hapo hakuna mfungaji/wafungaji
 
Yani leo nimepewa taarifa na jirani yangu kamuona dada wa kazi wangu anarudi nyumbani asubuhi akitokea kwa mwanaume,na huyo ni mtu wa pili kuniambia mwingine alisema kamuona usiku sehemu akiwa na mwanaume,wakati najua anafunga ramadhani na anaswali sala 5 mpk nimemuwekea sehemu ya kusalia ndani.Kweli sasa naamini wengi wanazuga,ila dah,hii ni hatari maana huyu fulltime liushungi jekundu na soksi,nashindwa hata kuamini...
 
Kwa utafiti niliuoufanya waislam walio wengi hawafungi ramadhani,wengi wana pretend ili kuondoa aibu kwa wenza,majirani,marafiki,wazazi n.k
Yani ile kwamba watanionaje?
Ila ukweli wa dhati ni kwamba watu wanabonyea kama kawaida ila kwa kujificha saana.
Mungu hachezewi ipo siku tutajutia kumdhihaki kwetu!!
Ndio maana Aya I kasema 'Enyi mlioamini mmefaradhishiwa kufunga kama walivofaradhishiwa walio kabla yenu ili mpate Kumcha MwenyeziMungu'

Kuacha kula na hali chakula unacho, kuacha matamanio yako hata kwa kujificha il hal hakuna anaekuona, just kuwa honest na nafsi yako huku ukitegemea malipo ya kheri, huko ndio kutii utiifu mkubwa na ndio UchaMungu wenyewe huo.

Hao wanao pretend wamefunga na hawajafunga wanazidanganya nafsi zao
 
Futari ya uarabuni si sawa na futari ya tandale. Mii nawaombea Kwa Mungu awasamehe wanaoingia chocho kukazia. Huwezi kulinganisha mwarabu wa dubai anayefunga lakini kavaa kanzu safi huku akiwa na uhakika wa futari na daku ya kiwango. Jamani fikiria bongo mtu ana kibarua tangu asubuhi anatumia nguvu unataka asubirie jioni wakati daku au futari za bongo tunazijua wenyewe? Asipoingiza hela mkewe akadanga? Akikomaa na funga akapata vidonda vya tumbo hasara siyo ya Mufti ni ya ukoo wake.
 
Mkuu wewe ni zumbukuku kwa sababu kuu mbili

1. Huna uthibitisho wowote kwa ulisemalo
na upo uwezekano unataka tu kuuchafua uislam, nnaposema uthibitisho namaanisha "vivid" example kwakua hata mimi naweza kukaa nyuma ya keybord nikaamua kudanganya vyovyote nipendavyo na wapuuzi humu wakanipigia makofi

2. Hujaweka wazi hapa huo utafiti wako ulioufanya ulichukua sample space ya waislamu milioni ngapi kati ya mabilioni ya waislam dunani kote?

Na pia hukusema ulitumia research design ipi? Methodolojia gani na kwenye utafiti wako uliwalenga hasa waislam wa namna gani? na mwisho hukutueleza huo utafiti wako ulichukua muda gani kuisha

Ikumbukwe pia utafiti ili uwe utafiti unapaswa pia kutuwekea reference za machapicho, video ama audio ili iwe rahisi kwetu sisi kufanya marejeleo kwa anayetaka kuprove hayo uyasemayo

Bila majibu ya msingi ya maswali yangu hizo zitakua ni ndoto ama bangi na ukumbuke bangi pia inalewesha
 
Wengine wanashinda njaa tu mtu anasema maefunga mchana yupo na demu geto kajifungia alafu jioni anaenda kula futari dah acha tu yaani wanashinda njaa sana
 
waliokuwa wakifunga manabii wote kabla ya kuja mtume muhhamad. kasome taurati na injili utaona nani alikuwa anafunga kabla
 
Mkuu wewe ni zumbukuku kwa sababu kuu mbili

1. Huna uthibitisho wowote kwa ulisemalo
na upo uwezekano unataka tu kuuchafua uislam, nnaposema uthibitisho namaanisha "vivid" example kwakua hata mimi naweza kukaa nyuma ya keybord nikaamua kudanganya vyovyote nipendavyo na wapuuzi humu wakanipigia makofi

2. Hujaweka wazi hapa huo utafiti wako ulioufanya ulichukua sample space ya waislamu milioni ngapi kati ya mabilioni ya waislam dunani kote?

Na pia hukusema ulitumia research design ipi? Methodolojia gani na kwenye utafiti wako uliwalenga hasa waislam wa namna gani? na mwisho hukutueleza huo utafiti wako ulichukua muda gani kuisha

Ikumbukwe pia utafiti ili uwe utafiti unapaswa pia kutuwekea reference za machapicho, video ama audio ili iwe rahisi kwetu sisi kufanya marejeleo kwa anayetaka kuprove hayo uyasemayo

Bila majibu ya msingi ya maswali yangu hizo zitakua ni ndoto ama bangi na ukumbuke bangi pia inalewesha
Qur'an inasema hawatakua radhi wayahudi na wakiristo mpaka mfuate Mila zao...hapo anatamani waislam wasifunge Kama wao
 
Kama yule Mama pale Makambako anayevaa ushungi na kujifanya kuuza matunda kwenye migahawa na hoteli karibia na Kondoa hoteli kisha kula chakula baada ya kujiridhisha hakuna answar sunna karibu wala Muislam karibu hotelini.

Mimi ni Mkristo na nina sali TAG. Nifahamuvyo, kufunga ni msukumo wako binafsi na wala sio kazimiahwa au kutaka watu wakuone. Binafsi nina ratiba zangu za kufunga na hata tukiwa na kikao ofisini au wakinywa chai najua sitakiwa mkwaza mtu yoyote. Kama wenzangu wanakula, nitatoka nje ili wakimaliza tuendelee na kikao. Hii ni tofauti na waislamu, wao wanalazimishwa kufunga na kama hujafunga unaonekana ni mtu wa hivyo"🐢🐢🐢🐢" na hii ndio maana wengi wanakula kwa kujificha.
 
Back
Top Bottom