TIQO
JF-Expert Member
- Jan 8, 2011
- 13,786
- 2,104
Lady is 1st kwanza.
Ukifunua sketi usimkimbie
Lady is 1st kwanza.
Kuna watu wanapenda sana maisha ya uanafunzi, utafikiri walizaliwa ili wasome.
Shule ya msingi ========= 7 years.
O-Level ========== 4 years.
A- Level =========== 2 years.
Degree ya kwanza =========3 au 4 years.
Jumla : Miaka 16 au 17.
Umekaa shuleni kwa muda wa miaka kumi na saba lakini bado hauna uwezo wa kutumia elimu na maarifa uliyo yapata shuleni kukabiliana na changamoto za maisha? Still unataka kwenda kufanya masters, miaka miwili, after masters, unataka tena PHD miaka 3, we vipi wewe?
Ukiniambia nimuelezee mtu wa namna hii kwa maneno machache , nitasema ' MUOGA WA MAISHA ". Anaogopa ugumu wa maisha, anashindwa kuzi face changamoto za maisha ( e.g ukosfu wa ajira ). Anataka aendelee kuonekana mwanafunzi ili kuutumia uanafunzi wake kama excuse ya kuwa broke. Let me tell you brother, the only excuse of being broke is to be in jail. Achana na hizo bla blah za masters na PHD, piga kazi mjomba tujenge taifa letu. GPA yenyewe ya 2.1, masters mpaka ukafanye post graduate kwanza, dah watu wanajua kuua muda. Ukomboe wakati bro, siku ya mwisho utahukumiwa kwa kosa la ku ua muda. Nyambaff, unasoma hadi PHD halafu ukimaliza unaanza kutembea kwenye ofisi za watu na bahasha za kaki.
kula 5 mkuu,kama unataka kuwa academician au researcher it's ok kuendelea kusoma hadi elimu za juu zaidi,ila kiukweli digrii inatosha sana kukabiliana na changamoto nyingi za lyf nashangaa mijitu mingi kufuata mikumbo tu
Kuna watu wanapenda sana maisha ya uanafunzi, utafikiri walizaliwa ili wasome.
Shule ya msingi ========= 7 years.
O-Level ========== 4 years.
A- Level =========== 2 years.
Degree ya kwanza =========3 au 4 years.
Jumla : Miaka 16 au 17.
Umekaa shuleni kwa muda wa miaka kumi na saba lakini bado hauna uwezo wa kutumia elimu na maarifa uliyo yapata shuleni kukabiliana na changamoto za maisha? Still unataka kwenda kufanya masters, miaka miwili, after masters, unataka tena PHD miaka 3, we vipi wewe?
Ukiniambia nimuelezee mtu wa namna hii kwa maneno machache , nitasema ' MUOGA WA MAISHA ". Anaogopa ugumu wa maisha, anashindwa kuzi face changamoto za maisha ( e.g ukosfu wa ajira ). Anataka aendelee kuonekana mwanafunzi ili kuutumia uanafunzi wake kama excuse ya kuwa broke. Let me tell you brother, the only excuse of being broke is to be in jail. Achana na hizo bla blah za masters na PHD, piga kazi mjomba tujenge taifa letu. GPA yenyewe ya 2.1, masters mpaka ukafanye post graduate kwanza, dah watu wanajua kuua muda. Ukomboe wakati bro, siku ya mwisho utahukumiwa kwa kosa la ku ua muda. Nyambaff, unasoma hadi PHD halafu ukimaliza unaanza kutembea kwenye ofisi za watu na bahasha za kaki.
Elimu si pesa, ni ujuzi. Wewe kama umeshindwa kaa kimya.
Mimi ndio kwanza najiandaa kwenda ng'ambo kuchukua jiwe lingine.
Unajuaje mkuu kama hata hao unaowasema ni wenzako na wewe kama wana mpango wa kwenda kuwa Lecturers kule vyuoni? Nina jamaa yangu kamaliza PhD yake juzi sasa hivi ananyatiwa na Nelson Mandela pale Arusha! Sasa wewe utatujazaje ujinga na akili yako ya kushikiwa na mkeo hiyo? Wewe kama kitabu hakipandi pigwa kimya mkuu usitake kusumbua watu hapa. Unafikri wote tukiishia kuwa na ka-degree kamoja ka ki-Mulugo tutakuwa Taifa gani sisi?
Sina tatizo na waalimu wa vyuo vikuu, kwa sababu inabidi wasome hizo masters na phds, hapa nawazungumzia hawa weenzangu na mimi, G.P.A haisomi, yupo mtaani, haajariwa na taasisi yote ya kitaaluma, ameshindwa kupambana na changamoto za maisha, then anakuja na proposal ya kufanya masters and all that.
Basi rekebisha kichwa cha habari, vinginevyo watake radhi madocta na maprofesa wote, kwa kuwaita waoga wa maisha..!!
Those who boast about their level of education are Total failures.
some people are failures inside. I would rather fail superficially than fail my guts:yield::yield:
Si uoga wa masomo baling hofu ya kupoteza muda,but bado na-support watu wakajipigie masters na PHD zao ili tujipatie wakufunzi na maprofesa wa kutoshaKutofanya Masters, PhD ni uoga wa masomo
So you mean you also boast about your level of education?