Kuna watu wanapenda sana maisha ya uanafunzi, utafikiri walizaliwa ili wasome.
Shule ya msingi ========= 7 years.
O-Level ========== 4 years.
A- Level =========== 2 years.
Degree ya kwanza =========3 au 4 years.
Jumla : Miaka 16 au 17.
Umekaa shuleni kwa muda wa miaka kumi na saba lakini bado hauna uwezo wa kutumia elimu na maarifa uliyo yapata shuleni kukabiliana na changamoto za maisha? Still unataka kwenda kufanya masters, miaka miwili, after masters, unataka tena PHD miaka 3, we vipi wewe?
Ukiniambia nimuelezee mtu wa namna hii kwa maneno machache , nitasema ' MUOGA WA MAISHA ". Anaogopa ugumu wa maisha, anashindwa kuzi face changamoto za maisha ( e.g ukosfu wa ajira ). Anataka aendelee kuonekana mwanafunzi ili kuutumia uanafunzi wake kama excuse ya kuwa broke. Let me tell you brother, the only excuse of being broke is to be in jail. Achana na hizo bla blah za masters na PHD, piga kazi mjomba tujenge taifa letu. GPA yenyewe ya 2.1, masters mpaka ukafanye post graduate kwanza, dah watu wanajua kuua muda. Ukomboe wakati bro, siku ya mwisho utahukumiwa kwa kosa la ku ua muda. Nyambaff, unasoma hadi PHD halafu ukimaliza unaanza kutembea kwenye ofisi za watu na bahasha za kaki.