Kufanya masters, phd ni uoga wa maisha.

Kufanya masters, phd ni uoga wa maisha.

sisi wengine tumepiga adi masters kwa sababu ya kuipa sifa familia lakin tulishajiandaa na maisha toka secondary.

vyet vipo kwa kabati tu.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Sina tatizo na waalimu wa vyuo vikuu, kwa sababu inabidi wasome hizo masters na phds, hapa nawazungumzia hawa weenzangu na mimi, G.P.A haisomi, yupo mtaani, haajariwa na taasisi yote ya kitaaluma, ameshindwa kupambana na changamoto za maisha, then anakuja na proposal ya kufanya masters and all that.
Basi rekebisha kichwa cha habari, vinginevyo watake radhi madocta na maprofesa wote, kwa kuwaita waoga wa maisha..!!
 
Basi rekebisha kichwa cha habari, vinginevyo watake radhi madocta na maprofesa wote, kwa kuwaita waoga wa maisha..!!

Wewe ndio unatakiwa kuwaomba radhi coz unacho kieleza hapo ni kwamba, hao madokta & maprofesa ni vilaza kiasi hawawezi kuelewa content ya uzi wangu.
 
Mungu ibariki Tanzania, wabariki viongozi wake, hekima umoja na amani,
hizi ni ngao zetu, Tanzania na watu wake...
Ibariki Tanzania,
Ibariki Tanzania,
Tubariki watoto wa Tanzania.
 
LIKUD sikubaliani na baadhi ya maelezo uliyotoa. Ila binafsi nachooamini kuwa degree ya kwanza .. ni muhimu. Hizo nyingine mbwembwe as naamini kwenda sana shule sio kuwini maisha. Kuna shule na kuna maisha sasa (katika uhalisia wake).

Kwangu master/phd ni kwa ajili ya sifa na mie niweze kujitamkia mbele za watu lolz.
 
Last edited by a moderator:
Haya ndiyo madhara ya kutokunywa dawa za minyoo wakati wa utoto.

(Only rarely does infection with STH result in death. Instead, the course of infection is generally over the long term and goes unnoticed. Chronic infection can delay the growth, learning and education of children. Effects are typically worse in those with heavy (high-intensity) infection.

Chronic infection with Ascaris and Trichuris during childhood can lead to malnutrition and growth retardation. Heavy infection with hookworms can cause anaemia, especially among children and pregnant women.)
 
Sina tatizo na waalimu wa vyuo vikuu, kwa sababu inabidi wasome hizo masters na phds, hapa nawazungumzia hawa weenzangu na mimi, G.P.A haisomi, yupo mtaani, haajariwa na taasisi yote ya kitaaluma, ameshindwa kupambana na changamoto za maisha, then anakuja na proposal ya kufanya masters and all that.

Unajuaje mkuu kama hata hao unaowasema ni wenzako na wewe kama wana mpango wa kwenda kuwa Lecturers kule vyuoni? Nina jamaa yangu kamaliza PhD yake juzi sasa hivi ananyatiwa na Nelson Mandela pale Arusha! Sasa wewe utatujazaje ujinga na akili yako ya kushikiwa na mkeo hiyo? Wewe kama kitabu hakipandi pigwa kimya mkuu usitake kusumbua watu hapa. Unafikri wote tukiishia kuwa na ka-degree kamoja ka ki-Mulugo tutakuwa Taifa gani sisi?
 
...ukitaka kufaidi hii' kahudhurie msiba wa mtu aliyekufa ana DG...

Utasikia, wasifu wa marehemu alizawila===, mwaka===

alisoma Shule ya msingi ===

Alijunga na O-Level ====

aliendelea na masomo ya A- Level ===

Baada ya hapo alijiunga na Chuo Cha=== aliko pata Degree yake ya kwanza === mwaka====

...na baada ya hapo alijiunga na Chuo Cha=== alikopata DG yake ya2... nk,

... Mpaka...., endelea
 
Kwanza hata haelewi maana ya post graduate.. Kweli we ni undergraduate. Tuache wasongo tusome mpaka mwisho wa elimu. Kama pesa tunazo za kutosha, tunaongeza ujuzi tu
 
Watu wote nchini wawe na first degree ili kuonyesha ushujaa wa maisha. Hapa kuna kazi. Wee unaona watu kubobea katika fani mbalimbali ni kuogopa maisha. Ulishawahi kujiuliza kwa nini huwa inafikia kwa mfano mgonjwa kupelekwa kwa specialist baada ya madaktari wa chini kushindwa kupata ufumbuzi. Au uwezo wako wa kufikiri ndo umeishia hapo.
 
Kuna watu wanapenda sana maisha ya uanafunzi, utafikiri walizaliwa ili wasome.

Shule ya msingi ========= 7 years.

O-Level ========== 4 years.


A- Level =========== 2 years.

Degree ya kwanza =========3 au 4 years.

Jumla : Miaka 16 au 17.

Umekaa shuleni kwa muda wa miaka kumi na saba lakini bado hauna uwezo wa kutumia elimu na maarifa uliyo yapata shuleni kukabiliana na changamoto za maisha? Still unataka kwenda kufanya masters, miaka miwili, after masters, unataka tena PHD miaka 3, we vipi wewe?

Ukiniambia nimuelezee mtu wa namna hii kwa maneno machache , nitasema ' MUOGA WA MAISHA ". Anaogopa ugumu wa maisha, anashindwa kuzi face changamoto za maisha ( e.g ukosfu wa ajira ). Anataka aendelee kuonekana mwanafunzi ili kuutumia uanafunzi wake kama excuse ya kuwa broke. Let me tell you brother, the only excuse of being broke is to be in jail. Achana na hizo bla blah za masters na PHD, piga kazi mjomba tujenge taifa letu. GPA yenyewe ya 2.1, masters mpaka ukafanye post graduate kwanza, dah watu wanajua kuua muda. Ukomboe wakati bro, siku ya mwisho utahukumiwa kwa kosa la ku ua muda. Nyambaff, unasoma hadi PHD halafu ukimaliza unaanza kutembea kwenye ofisi za watu na bahasha za kaki.
Mkuu formal education ndivyo ilivyo unapata confidence kwa kuwa na vyeti vingi na sio ufanisi.
 
Hao hao baadae wanakuwa kina Mulongo, Maghembe, Mungai yaani hadi ukianza na title ya Prof unasikia kinyaa.

sasa na hao wasomaji na degree zenyewe ndiyo mchosho/ mtu unamfanyia interview anaanza na ..I am born ......dah
anakwambia ana masters halafu masters zenyewe ni za MBA nk mmh iko kazi/wote wanakimbia field zao
 
Back
Top Bottom