The mind of a man who goes on learning stays alive.....and he who thinks he knows all he needs to know,is ALREADY DEAD"
Postgraduate ya kabla ya master's ndo ikoje hiyo?
Hata sijui mleta mada alikuwa anamaanisha nini kwa kusema vile.
Mleta mada me nakusupport,kula 5!
Masters kibongo bongo haziongez chochote kichwani!watu wanakomalia tu ili kampunga ofisin kaongezeke!
Wengine wanasoma tu ili kuweka heshma!
Ila kiukweli haikujengi kabisa katika kukabiliana na changamoto!
Wengine tumefanya tu kutimiza wajibu!
Huwezi ukafananisha masters na certification kama ACCA,CPA,CISA etc!
Hizi kiukweli ndio zina content zinazoeleweka na hata maofisi ya ukweli ndio wanazithamin kuliko hizi masters zetu za kupitia pale mzumbe jion tukisubiri foleni ipungue turudi Boko,bunju!
Ataetukana atakuwa haeshimu mfungo wangu!
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
basi rekebisha kichwa cha habari, vinginevyo watake radhi madocta na maprofesa wote, kwa kuwaita waoga wa maisha..!!
wa sampuli kama yako inaonekana mpo wengi sana humu duniani!!!Inaonekana mpo wengi sana humu
kama wote wakiishia digrii moja hao wa kuwafundisha hiyo degree moja watatoka wapi kama wote tukiwa na mawazo mgando kama yako!!!Acheni ujinga nyie. Degree moja inatosha sana..
piia hii....waacheni macadeicians waliopo vyuoni wakafanye hizo masters na p.h.d, sio wewe mwenzangu na mimi, G.P.A yenyewe 2.1, umekaa mtaani mwaka mmoja, miwili umeshindwa kupambana, unanyanyua mikono, unazuga kutafuta masters, qualifications zenyewe za kusoma masters, hauna, inabidi ufanye post graduate kwanza, mwaka mmoja na miezi minane , nyambaff, after post graduate, unaomba masters, hela huna unaanza kusumbua wanaume wakuchangie..nyambaff. Mbona vitu vya kufanya vipo vingi sana! Elimu ni ufunguo wa maisha, na kazi ya ufunguo ni kufungua milango na madirisha yaliyo fungwa, kama degree yako imeshindwa kukusaidia kufungua milango ya changamoto za maisha, masters and p.h.d will neva do anything for you. Utabika kulaumu wachawi bure, kumbe aliyekuroga wewe, ni mwanga yuleyule, aliyekataa kukupeleka SHULE YA KITAA, ndo hii nayo kupa, hakika itakufaa kwenye shida na raha, shauri yako ukiikataa, utakuja kupatwa na mabalaa weye...Shahada ya uzamivu, umekuwa kaboneke wewe!
Tanzania haitakaa ikombolewe unless watu wake kama hawa wakombolewe kwanza.
Kwa akili zake kidogo anadhani masters zote lazima usome miaka miwili.
Kwamba ukiwa na GPA ya 2.1 lazima ukafanye post graduate kwanza ili usome masters.
Sijui hata kama anajua maana ya post graduate.
Kwamba huwezi kufanya kazi huku ukiwa unasoma.
Hata hivyo mtu akiamua kusoma ni hiari yake, sijui kwa nini ikuwashie wewe?
Probably, hapo ulipo cheo chako kipo mashakani baada ya mwezio kwenda kupiga shule.
sisi wengine tumepiga adi masters kwa sababu ya kuipa sifa familia lakin tulishajiandaa na maisha toka secondary.
vyet vipo kwa kabati tu.
Navyopenda kusoma ningepata sponsor wa phd hata kazi ningeacha nikasome.by the way napenda jinsi watu wanavyojaribu kulinganisha maji ya bahari ya Hindi na ya mto Ruvuma
Tuwasiliane kama unataka Sponsor...