Kwa hii post umejidhihirisha ulivyo mweupe kwa hoja.....unakiri mtu kaajiri wasomi then kapata mafanikio ya kutosha then wewe unapinga umuhimu wa elimu za kueleweka. Unajua unachokitetea kweli wewe? au ndo stimu za kulanduka?
Huwezi kujua uzuri au ubaya wa jail mpaka uwe umewahi kufungwa, sasa wewe hujachukua hiyo Masters au PhD utajuaje raha au ubaya wake?Kuna watu wanapenda sana maisha ya uanafunzi, utafikiri walizaliwa ili wasome.
Shule ya msingi ========= 7 years.
O-Level ========== 4 years.
A- Level =========== 2 years.
Degree ya kwanza =========3 au 4 years.
Jumla : Miaka 16 au 17.
Umekaa shuleni kwa muda wa miaka kumi na saba lakini bado hauna uwezo wa kutumia elimu na maarifa uliyo yapata shuleni kukabiliana na changamoto za maisha? Still unataka kwenda kufanya masters, miaka miwili, after masters, unataka tena PHD miaka 3, we vipi wewe?
Ukiniambia nimuelezee mtu wa namna hii kwa maneno machache , nitasema ' MUOGA WA MAISHA ". Anaogopa ugumu wa maisha, anashindwa kuzi face changamoto za maisha ( e.g ukosfu wa ajira ). Anataka aendelee kuonekana mwanafunzi ili kuutumia uanafunzi wake kama excuse ya kuwa broke. Let me tell you brother, the only excuse of being broke is to be in jail.
Achana na hizo bla blah za masters na PHD, piga kazi mjomba tujenge taifa letu. GPA yenyewe ya 2.1, masters mpaka ukafanye post graduate kwanza, dah watu wanajua kuua muda. Ukomboe wakati bro, siku ya mwisho utahukumiwa kwa kosa la ku ua muda. Nyambaff, unasoma hadi PHD halafu ukimaliza unaanza kutembea kwenye ofisi za watu na bahasha za kaki.
Source : http://www.u-turn.co.tz/
BEST BUSINESS MAN THAT EVER LIVED......YOU KNOW WHY?ALIISHIA DARASA LA SABA BABANGU TENA KIJIJINI HUKO .LESS THAN 10 YRS AFTER MOVING TO DASLAMHE OWNED A CONSTRUCTION COMPANY -HIRED HIGHLY EDUCATED ENGINEERS, EDUCATED ACCOUNTANTS , ETC.I MEAN, A MAN FROM A POOR FAMILY UPARENI HUKO WAS HIRING MEN 1,000 TIMES MORE EDUCATED THAN HIM AND THEY NEVER FOOLED HIM.......MY DAD WAS A GENIUS......R.I.P
Kuna watu wanapenda sana maisha ya uanafunzi, utafikiri walizaliwa ili wasome.
Shule ya msingi ========= 7 years.
O-Level ========== 4 years.
A- Level =========== 2 years.
Degree ya kwanza =========3 au 4 years.
Jumla : Miaka 16 au 17.
Umekaa shuleni kwa muda wa miaka kumi na saba lakini bado hauna uwezo wa kutumia elimu na maarifa uliyo yapata shuleni kukabiliana na changamoto za maisha? Still unataka kwenda kufanya masters, miaka miwili, after masters, unataka tena PHD miaka 3, we vipi wewe?
Ukiniambia nimuelezee mtu wa namna hii kwa maneno machache , nitasema ' MUOGA WA MAISHA ". Anaogopa ugumu wa maisha, anashindwa kuzi face changamoto za maisha ( e.g ukosfu wa ajira ). Anataka aendelee kuonekana mwanafunzi ili kuutumia uanafunzi wake kama excuse ya kuwa broke. Let me tell you brother, the only excuse of being broke is to be in jail.
Achana na hizo bla blah za masters na PHD, piga kazi mjomba tujenge taifa letu. GPA yenyewe ya 2.1, masters mpaka ukafanye post graduate kwanza, dah watu wanajua kuua muda. Ukomboe wakati bro, siku ya mwisho utahukumiwa kwa kosa la ku ua muda. Nyambaff, unasoma hadi PHD halafu ukimaliza unaanza kutembea kwenye ofisi za watu na bahasha za kaki.
Kama ulipata GPA ya 2.0 hiyo motivation ya kusoma masters na PhD utaitoa wapi?Acheni ujinga nyie. Degree moja inatosha sana..
Kwa kauli zake tu unaweza kumuelewa kama ni mtu wa namna gani. Hawa ndiyo wale waliotoka na pass vyuo vikuu, wakarithi mali za baba yao, na sasa wanaendesha biashara kwa mgongo wa mali za baba zao halafu wanajifanya kuwaponda masikini ambao wakimaliza shule hawana hata pa kuanzia maisha. Sanasana aingie kwenye ajira ya ualimu ya kulipwa mshahara usiotosha hata nauli ya kwendea kazini. Sasa huyu kwanini asitafute elimu zaidi ili aweze kuishi maisha yenye unafuu? Lakini haya matatizo yanawakabili wengi hapa nchini. Ni kama vile wale mafisadi wanapopropose kodi ya simu halafu wanaambiwa eti maskini hawataweza kulipia hiyo 1000, wanaona ni ajabu kweli, maana wao wangeweza kulipa hata kama ingekuwa ni 10000 kwa mwezi. Likewise, huyu LIKUD aliyerithi mali za babake, na wala hajui uchungu wa kuzitafuta.Hapa mkuu ndo uliponiacha hoi!
Unajivunia baba yako kuajiri wasomi ambao walifanya kampuni ifanye vzr!so wasingekuwepo hao wasomi ambao leo hii unawaponda hapa nani angeendesha hyo kampuni?
Usisahau kuangalia na Rais wako, Spika wako wa bunge pamoja na Waziri mkuu wao piaMleda mada ana hoja jamani.ebu tujaribu kuangalia ma CEO kwenye makampuni makubwa ulimwenguni kama microsoft au Oracle tuone kama wana hzo masters au phd,weng wao ni bachelor holders.
Sio kusoma kwa kurudi darasani mkuu!!!!The mind of a man who goes on learning stays alive.....and he who thinks he knows all he needs to know,is ALREADY DEAD"
Inaonekana mpo wengi sana humu
Yaani tusome na tupige shule tuwezavyo,nina mpango wa kuelekea netherlands hivi karibuni,lakini kwangu mimi ninasoma siyo kwa malengo ya pato kubwa la hasha...ninasoma ili kuongeza ujuzi kichwani unisaidie mimi na wenzangu wengi.Kuhusu kipato nina miradi mingi kuanzia kilimo mpaka ufugaji inayonipa pato la zaidi ya 200milions per year.uwezo wa darasani sio mk*nd* kwamba kila mtu anao, kuweza kutoka hatua moja kwenda nyingine katika shule ni lazima uwe na uwezo wa ziada kuliko wenzio, ni kama mbio za riadha, mtu akikuacha hupaswi kupiga kelele ni kwa vile huna uwezo.
Tusisifie ujinga kwa vile uwezo umeishia hapo!!!!!