Ni kwa jinsia ya KE tu?
Unajuaje kama hapana, kuna walioajiriwa miaka ya sabini, unauhakika gani kwamba walifuata kigezo cha G.P.A 3.8 or 3.5 kwa baadhi ya vyuo.acha kukurupuka mbona maelezo yake yanajitosheleza? Kuna mhadhiri yeyote hapa tanzania mwenye gpa ya 2.1? Kama yupo mtaje upesi?
Kuna watu wanapenda sana maisha ya uanafunzi, utafikiri walizaliwa ili wasome.
Shule ya msingi ========= 7 years.
O-Level ========== 4 years.
A- Level =========== 2 years.
Degree ya kwanza =========3 au 4 years.
Jumla : Miaka 16 au 17.
Umekaa shuleni kwa muda wa miaka kumi na saba lakini bado hauna uwezo wa kutumia elimu na maarifa uliyo yapata shuleni kukabiliana na changamoto za maisha? Still unataka kwenda kufanya masters, miaka miwili, after masters, unataka tena PHD miaka 3, we vipi wewe?
Ukiniambia nimuelezee mtu wa namna hii kwa maneno machache , nitasema ' MUOGA WA MAISHA ". Anaogopa ugumu wa maisha, anashindwa kuzi face changamoto za maisha ( e.g ukosfu wa ajira ). Anataka aendelee kuonekana mwanafunzi ili kuutumia uanafunzi wake kama excuse ya kuwa broke. Let me tell you brother, the only excuse of being broke is to be in jail. Achana na hizo bla blah za masters na PHD, piga kazi mjomba tujenge taifa letu. GPA yenyewe ya 2.1, masters mpaka ukafanye post graduate kwanza, dah watu wanajua kuua muda. Ukomboe wakati bro, siku ya mwisho utahukumiwa kwa kosa la ku ua muda. Nyambaff, unasoma hadi PHD halafu ukimaliza unaanza kutembea kwenye ofisi za watu na bahasha za kaki.
Awali nilidhani mtoa mada una degree 1 unaogopa kuendelea, lkn sasa nahisi utakua ni kizazi cha kawambwa.
Unaposema mtu ana gpa ya 2.1 mpaka akasome kwanza post graduate, unajua maana ya "post graduate"!??

Sijui una wivu, au labda ndiyo elimu yetu inaporomoka, watu hata hawatumii akili zao kujibu maswali ambayo yako obvious kabisa. Na kama wewe ni graduate na hauelewi umuhimu wa mtu aliyefanya Masters, au PHD basi kuna tatizo kubwa katika mfumo wako wa ubongo, nadhani haukuhitaji hata kwenda shule kabisa!..siyo lazima kila mtu asome, wengine mnaweza kufanya kazi zingine, kwa sababu mkienda shule kidogo mnarudi wajinga kuliko mlivyokuwa wajinga! SHAME!
Lady is 1st kwanza.
Kuna watu wanapenda sana maisha ya uanafunzi, utafikiri walizaliwa ili wasome.
Shule ya msingi ========= 7 years.
O-Level ========== 4 years.
A- Level =========== 2 years.
Degree ya kwanza =========3 au 4 years.
Jumla : Miaka 16 au 17.
Umekaa shuleni kwa muda wa miaka kumi na saba lakini bado hauna uwezo wa kutumia elimu na maarifa uliyo yapata shuleni kukabiliana na changamoto za maisha? Still unataka kwenda kufanya masters, miaka miwili, after masters, unataka tena PHD miaka 3, we vipi wewe?
Ukiniambia nimuelezee mtu wa namna hii kwa maneno machache , nitasema ' MUOGA WA MAISHA ". Anaogopa ugumu wa maisha, anashindwa kuzi face changamoto za maisha ( e.g ukosfu wa ajira ). Anataka aendelee kuonekana mwanafunzi ili kuutumia uanafunzi wake kama excuse ya kuwa broke. Let me tell you brother, the only excuse of being broke is to be in jail. Achana na hizo bla blah za masters na PHD, piga kazi mjomba tujenge taifa letu. GPA yenyewe ya 2.1, masters mpaka ukafanye post graduate kwanza, dah watu wanajua kuua muda. Ukomboe wakati bro, siku ya mwisho utahukumiwa kwa kosa la ku ua muda. Nyambaff, unasoma hadi PHD halafu ukimaliza unaanza kutembea kwenye ofisi za watu na bahasha za kaki.
kwa hiyo elimu ni uhasibu tuu????!!!!!!
Kweli kuna vichwa vyenye ubongo wa kujitambua na vingine ni kifuga nywele na kuvukia barabara