Kufanya masters, phd ni uoga wa maisha.

Kufanya masters, phd ni uoga wa maisha.

Tembea uone, mimi sikufahamu kuwa kuna wajinga... Lakn nimethibitisha kuwa duniani kuna wajinga wa kutupwa hamna mfanowe....
 
Wewe ndio unayehitaji kukombolewa, unadhani kila mtu ameajiriwa kama wewe. Hayo mambo ya vyeo, huwa yanazungumzwa na watu walio ajiriwa kama wewe au wanao amini katika kuajiriwa kama wewe.. It's a great thing when you can show that you've been successful and that you've made a lot of money and that you've employed a lot of people.

hahahaha,tanzania tunaitaj msaada zaid kufaham nin maana ya elim,elim ni ufunguo,au naeza sema ni njia ya kuelekea mafankio,elim c mafankio ilo 2elewe watz,ufunguo ni kwa ajil ya kufungua palipofungwa.habar za mastrs.phd sawa 2fany lakn lazma 2jue time is goin and we hav a lot of to do zaid ya kusoma ktk maisha 2lopewa 'lubi'.lets fight 2angalie namna gan twaweza kujikomboa,a2na 7b ya kutafta mastrs ili uajiriw,ts ok if u go for phd ili uongeze ujuz wa ki2 kwa ajil y kujikomboa,au kujiajr,kw nin ucjiajr ndugu,
 
Kuna watu wanapenda sana maisha ya uanafunzi, utafikiri walizaliwa ili wasome.

Shule ya msingi ========= 7 years.

O-Level ========== 4 years.

A- Level =========== 2 years.

Degree ya kwanza =========3 au 4 years.

Jumla : Miaka 16 au 17.

Umekaa shuleni kwa muda wa miaka kumi na saba lakini bado hauna uwezo wa kutumia elimu na maarifa uliyo yapata shuleni kukabiliana na changamoto za maisha? Still unataka kwenda kufanya masters, miaka miwili, after masters, unataka tena PHD miaka 3, we vipi wewe?

Ukiniambia nimuelezee mtu wa namna hii kwa maneno machache , nitasema ' MUOGA WA MAISHA ". Anaogopa ugumu wa maisha, anashindwa kuzi face changamoto za maisha ( e.g ukosfu wa ajira ). Anataka aendelee kuonekana mwanafunzi ili kuutumia uanafunzi wake kama excuse ya kuwa broke. Let me tell you brother, the only excuse of being broke is to be in jail.

Achana na hizo bla blah za masters na PHD, piga kazi mjomba tujenge taifa letu. GPA yenyewe ya 2.1, masters mpaka ukafanye post graduate kwanza, dah watu wanajua kuua muda. Ukomboe wakati bro, siku ya mwisho utahukumiwa kwa kosa la ku ua muda. Nyambaff, unasoma hadi PHD halafu ukimaliza unaanza kutembea kwenye ofisi za watu na bahasha za kaki.

Oyee maana tumebaini "genza"la micocaine-vyeti mikalai,boom kiduchu na mishahara zero,mashamban kodi,afya ukimwi sasa tusome ili iweje
 
We unashangaa hiyo?

7yrs Msingi
5yrs Secondary (O- level)
2yrs Secondary (A-level)
1yr Come and See
3 yrs Philosophy (Dip or Baccalaureate)- Bachelor
4yrs Theology (Dip & Baccalaureate)- Bachelor
1 yr Probation
Jumla mingapi? 23

Then baadaye niende
2yrs Masters degree in a different discipline
3yr PHD
Jumla mingapi? 5

Jumla kuu 23 + 5 = 28yrs niko shule. Huo ndo ukweli!!!!!

Then unaishi ten years unakufa!!!!
 
Yaani tusome na tupige shule tuwezavyo,nina mpango wa kuelekea netherlands hivi karibuni,lakini kwangu mimi ninasoma siyo kwa malengo ya pato kubwa la hasha...ninasoma ili kuongeza ujuzi kichwani unisaidie mimi na wenzangu wengi.Kuhusu kipato nina miradi mingi kuanzia kilimo mpaka ufugaji inayonipa pato la zaidi ya 200milions per year.
Kinachonikera mimi na huu ndo ukweli wenyewe,vijana wengi wanapiga shule ili baadae wawe na pato kubwa.Kama sio motive ya kipato kikubwa thereafter,yaani pato la mtu linge-remain constant bila kujali elimu,nadhani unajua nini kingetokea!watu wasingegusa hata degree moja amini nawaambia...Shida ya watanzania wengi ni KIPATO kikubwa na sio ELIMU kubwa,hate it or like it!

Kula tano mjomba.
 
Kuna watu wanapenda sana maisha ya uanafunzi, utafikiri walizaliwa ili wasome.

Shule ya msingi ========= 7 years.

O-Level ========== 4 years.

A- Level =========== 2 years.

Degree ya kwanza =========3 au 4 years.

Jumla : Miaka 16 au 17.

Umekaa shuleni kwa muda wa miaka kumi na saba lakini bado hauna uwezo wa kutumia elimu na maarifa uliyo yapata shuleni kukabiliana na changamoto za maisha? Still unataka kwenda kufanya masters, miaka miwili, after masters, unataka tena PHD miaka 3, we vipi wewe?

Ukiniambia nimuelezee mtu wa namna hii kwa maneno machache , nitasema ' MUOGA WA MAISHA ". Anaogopa ugumu wa maisha, anashindwa kuzi face changamoto za maisha ( e.g ukosfu wa ajira ). Anataka aendelee kuonekana mwanafunzi ili kuutumia uanafunzi wake kama excuse ya kuwa broke. Let me tell you brother, the only excuse of being broke is to be in jail.

Achana na hizo bla blah za masters na PHD, piga kazi mjomba tujenge taifa letu. GPA yenyewe ya 2.1, masters mpaka ukafanye post graduate kwanza, dah watu wanajua kuua muda. Ukomboe wakati bro, siku ya mwisho utahukumiwa kwa kosa la ku ua muda. Nyambaff, unasoma hadi PHD halafu ukimaliza unaanza kutembea kwenye ofisi za watu na bahasha za kaki.
Halafu unavyozidi kuwa na elimu kubwa, ndivyo unavyozidi kuwa easily frastrated... Maana ukishindwa kitu kidogo tu tena ambacho wa LY amekiweza, ndo unazimia kabisaaa
 
hahahaha,tanzania tunaitaj msaada zaid kufaham nin maana ya elim,elim ni ufunguo,au naeza sema ni njia ya kuelekea mafankio,elim c mafankio ilo 2elewe watz,ufunguo ni kwa ajil ya kufungua palipofungwa.habar za mastrs.phd sawa 2fany lakn lazma 2jue time is goin and we hav a lot of to do zaid ya kusoma ktk maisha 2lopewa 'lubi'.lets fight 2angalie namna gan twaweza kujikomboa,a2na 7b ya kutafta mastrs ili uajiriw,ts ok if u go for phd ili uongeze ujuz wa ki2 kwa ajil y kujikomboa,au kujiajr,kw nin ucjiajr ndugu,
Kuna watu wanadhani elimu ni mlango wa maisha na ndiyo maana maisha yanawahangaisha sana...
 
Hao hao baadae wanakuwa kina Mulongo, Maghembe, Mungai yaani hadi ukianza na title ya Prof unasikia kinyaa.

Mimi kwa mawazo yangu inabidi usome PHD au Masters kwa malengo fulani kutokana na unachokisoma na sio ili uonekane umesoma sana (ambao inawezekana ndio watu mtoa mada anawaongelea hapa) Na masters na PHD ni maana ya kwenda mbali zaidi na kusomea kitu specific ambacho inawezekana katika masomo yako ya bachelor ulivisoma kwa kugeneralize zaidi.

Pia elimu ni kitu ambacho ni continuous mazingira yanabadilika kila kukicha na vivyo hivyo mwanadamu inabidi ajiendeleze zaidi ili ku catch up na mabadiliko haya...ndio maana mtu aliyesoma zamani sana na mtu aliyesoma kipindi hiki kidogo wanaweza kuendana...mathalani PHD holder wa masuala ya teknolojia, engineer au sheria wa miaka ya 70s ni tofauti na degree holder wa masuala hayohayo wa 2000+.
 
Utake usitake ufahamu wa mambo unaongezeka jinsi ubongo unavyofanya kazi. Acha wenye uwezo wa kusoma wasome.
 
Back
Top Bottom