Enjoy Ujana. Maisha ni mafupi

Enjoy Ujana. Maisha ni mafupi

Castle_Lite

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2016
Posts
4,504
Reaction score
9,941
Maisha ya binadamu ni mafupi sana, nayo yamejaa tabu na dhiki na raha kidogo. Kwa wengi.

Ila kuna muda kwa maoni na uzoefu wangu naona ndio muda mzuri, ila pia ni mfupi.

Ni muda wa Ujana , kabla haujawa na majukumu mengi ya kukukaba na kabla nguvu, ashki, ari, hamasa hazijaanza kupungua.

Miaka 19-30 , kwangu ni muda sahihi wa Kijana Kufurahia maisha.
Umri huu ni muhimu kwa sababu ni umri wenye nguvu nying, uhuru wa kujaribu mambo mapya mara kwa mara, na fursa ya kujenga msingi imara wa maisha yako ya baadaye.

Kipindi hiki kinakupa nafasi ya kujitambua na kuwekeza kwenye ndoto zako bila majuto ya uzee.

Kwa vijana wote. Enjoyin Ujana. Ila usile sana ukasahau kujenga msingi imara.

Nimewaza haya coz naona jinsi umri wangu unavyosogea , majukumu yanaongezeka, hamasa ya kuenjoy maisha inapungua, kuna vitu nilikuwa navipa vipaumbele enzi za Ujana ila kwa sasa navipuuzia.

Kwahiyo . Kama ukipata nafas . Na ukiwa Kijana. Enjoy maisha yako. Hayajirudii tena. Yakienda yameenda.
 
Maisha ya binadamu ni mafupi sana, nayo yamejaa tabu na dhiki na raha kidogo. Kwa wengi.

Ila kuna muda kwa maoni na uzoefu wangu naona ndio muda mzuri, ila pia ni mfupi.

Ni muda wa Ujana , kabla haujawa ma majukumu na kabla nguvu, ashki, ari, hamasa hazijaanza kupungua.

Miaka 19-30 , kwangu ni muda sahihi wa Kijana Kufurahia maisha.
Umri huu ni muhimu kwa sababu huu ni umri wenye nguvu nying, uhuri wa kujaribu mambo mapya, na fursa ya kujenga msingi imara wa maisha yako ya baadaye.

Kipindi hiki kinakupa nafasi ya kujitambua na kuwekeza kwenye ndoto zako bila majuto ya uzee.

Kwa vijana wote. Enjoyin Ujana. Ila usile sana ukasahau kujenga msingi imara.

Nimewaza haya coz niko sehem natamani kukaa ila majukum yamenikaba sana. Na ni ya muhimu.
Maajabu ni kwamba kwa maisha ya kibongo hiyo miaka ya kuanzia 19-30 ndio miaka ya tabu zaidi, Mtu anajitafuta na hajajipata
 
Ni sahihi kabisa shemeji

1781933103907.gif
 
Maisha ya binadamu ni mafupi sana, nayo yamejaa tabu na dhiki na raha kidogo. Kwa wengi.

Ila kuna muda kwa maoni na uzoefu wangu naona ndio muda mzuri, ila pia ni mfupi.

Ni muda wa Ujana , kabla haujawa ma majukumu na kabla nguvu, ashki, ari, hamasa hazijaanza kupungua.

Miaka 19-30 , kwangu ni muda sahihi wa Kijana Kufurahia maisha.
Umri huu ni muhimu kwa sababu huu ni umri wenye nguvu nying, uhuri wa kujaribu mambo mapya, na fursa ya kujenga msingi imara wa maisha yako ya baadaye.

Kipindi hiki kinakupa nafasi ya kujitambua na kuwekeza kwenye ndoto zako bila majuto ya uzee.

Kwa vijana wote. Enjoyin Ujana. Ila usile sana ukasahau kujenga msingi imara.

Nimewaza haya coz niko sehem natamani kukaa ila majukum yamenikaba sana. Na ni ya muhimu.
Hapo hapo unasema ''enjoy''na hapo hapo unasema ''wekeza''. Observation yako pengine imekuwa ''made in Bongo for only Bongos'' zaidi. Kwangu mimi nadhani nchi zilizoendelea, wastaafu ndiyo wana-enjoy kuliko vijana. Pension za wengi ziko juu na wana uwezo wa kuzunguka dunia. Hawana stress za watoto wala wajukuu, wala kuwekeza kwenye biashara.
 
Ujana una meng na ndio unaweza kufanya mambo kadha wa kadha na hata ukifeli bado unapata muda wa kurekebisha.
Nguvu ya Mwili na hamasa ya kupambana iko juu. Hoja yangu ya kuwekeza nimefikiria kwa minajiri hii.

Ukijijenga Ujanani, uzeen unakuwa hauna stress.
Hata bongo wastaafu waliojipata ujanan wanaishi bila tabu. Ila hawana ile nguvu na hamasa kama kijana aliyejipata.
 
Aisee na kweli mambo ni yale yale, hapa asubuhi najaimsha nakutana na message tano za mishangazi kila mmoja unataka 😬😬.. yaaani taaabu sana
Hizi nguvu na nyege ukifika 40's+ huwez kuwa nazo.

Yaan unavyowapanga wanawake hadi 8 na wote una mahusiano nao na unawalomba kila mmoja kwa wakat wake. Jinsi umri unavyoongezeka. Mwenyewe tu unajikuta unaanza kupunguza hizo heka heka.

Ari, ashki, hamasa nyege zinapungua.

So enjoy while you Can.
 
Hizi nguvu na nyege ukifika 40's+ huwez kuwa nazo.

Yaan unavyowapanga wanawake hadi 8 na wote una mahusiano nao na unawalomba kila mmoja kwa wakat wake. Jinsi umri unavyokuwa unaanza kupunguza hizo heka heka.

Ari, ashki, hamasa nyege zinapungua.

So enjoy while you Can.
Wanasema ukiwa unalombana sana ujana, uzeeni lasima utumie mkongojo kutembea huku umeinama kama unatafuta kitu chini sojui kweli hiyoo 😅

Hapa hata sijui nimkubalie yupo niache yupi , I wish wote niwapitie leo kila mmoja nimpe masaaa mawili , kurudi home kesho asubuhi then huyo kanisa
 
Kuhusu mkongojo Sidhan kama ni kweli.

unahisi unaweza kulombana na wanawake 5 kwa siku moja?.
bro hautawatendea haki.
 
Back
Top Bottom