Kufananisha Dar es Salaam na Arusha

Kufananisha Dar es Salaam na Arusha

Nimegeneralize maana wakazi wa Arusha the way wanavyoiongeleaga Arusha utasema Arusha nzima ni Njiro....utasikia Dar uswahilini sana mbona huku uswahili umejaa kishenzy...Zenj mpango sana
Kusema ukweli wazawa wa Arusha ni washamba na limbukeni sana ila Arusha kama Arusha imekaa poa sana, kama umeenda Kwa lengo la vacation utaenjoy sana ila kama ni mpitaji then utapachoka haraka sana
 
Arusha hakuna kitu, wala haina hadhi ya kuitwa jiji, uzuri wa Arusha ni hali ya hewa tuu
 
Nimeenda zangu arusha nikajichanganya kupiga misele ya hapa na pale saa 12 jioni mara nipo kwa morombo nikashangaa nyama choma pale na wale wamasaiii mishale ikasogea mara saa tatu na midakika hapo magetoni ni ngaramtoni

Basi dandia vigari vyao vile vidunchu kama kiberiti nikashuka posta ndio mwisho... oyaaa hiyo posta night sio kali lakini imeshakuwa dorooo, mjini kumetepeta raia ni wakuhesabu na usafiri kipengele boda boda zinapita hata hazina time na wewe, nilikanya mguu mpaka mianzini miksa mvua inanyesha, miksa kuloa miksa jogging. mianzia nakutana na mduanzia boda anataka buku 4. daah

Yani nili laani sana hiyo arusha. hakuna maajabu kabisa zaidi ya watoto wakike wazuri weupe wanapenda kusuka rasta ndeeefu
 
Huwa najiulizaga kwanini wachaga wengi wapo vizuri kiuchumi ila mkoa wao hawauendelezi ipasavyo?
 
Nimegeneralize maana wakazi wa Arusha the way wanavyoiongeleaga Arusha utasema Arusha nzima ni Njiro....utasikia Dar uswahilini sana mbona huku uswahili umejaa kishenzy...Zenj mpango sana
Nenda kimvulini huko Njiro inasubiri sana haujatembea ndugu yangu ningekupa location ufike kwa muda wako huko mikahawani viwanja viliuzwa kwa dollar na ni marufuku kujenga ukuta kwa ajili ya fence wanaweka maua tu ili mazingira ya hali ya hewa yasibadilike kwa wageni wengi wanaokuja Arusha mmeshikilia Njiro njiro wakati yapo maeneo Njiro inasubiri sana.
 
Joannah Hahaha nimecheka sana nilifika hapo stand yao uchwara saa 9 usiku majuzi nikacheka tu kimoyomoyo, nilipiga story na hao vijana mpaka pakakucha kama ile ndio reasoning yao basi tuna safari ndefu sana.
 
Nipo Arusha sidhani kama pana kijiji kina magorofa kama Uchagani tema mate chini hao jamaa kuhusu maendeleo hakuna kabila linawafikia hasa huko kwao vijijini yameoteshwa majengo huko hatari..
Kwenye swala la maendeleo hatuangalii tu magorofa tuangalie na uwekezaji.
 
Kwema jamani

Jana na leo niko viunga vya jiji la Arusha,Yule aliyeubatiza huu mji Geneva of Africa atafutwe,akamatwe,achapwe bakora 13,ANYONGWE!....THE CITY IS OVERLY HYPED samahani washkaji zangu wooote wa A- town mkiongozwa na big Glenn .
Wakatabahu
Jo.
Asante kwa taarifa
 
Back
Top Bottom