Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 10,221
- 18,292
Tunapoifananisha Dar vs Arusha ni mkoa au Jiji
Kiufupi Arusha hasa ukianzia huku king'ori mpk kikatiti, maji ya chai na meru yote Kuna mazingira mazuri, japo ukipita njiani hutoona sana Ila ukiingia ndani huko ni kuzuri balaa,
Mji wa Arusha niseme upo kama Mlimani hvi ko unapata ladha ya Jiji, muonekano wa Mlima meru na ubaridi wake,
Jiji la Arusha Lina hotels nzuri sana sana,, restaurant standard, bar plus lounge na club kwa wenyeji na wageni wa mji huo,
Jiji la Arusha bhn usafr ni vihaisi vipanya hakuna daladala kama dar au DART,
ARusha napapenda sana, dar sana sana joto linatung'arisha tuu na hizi beach, na imeshakuwa ndo mji wa kibiashara Tz lazima uwe na utofauti na mikoa mingne yote