Niliangalia hali ya hewa na kupoteza muda bara barani nikaona daslm sio sehemu sahihi kwangu nikachagua Arusha maisha yanaendelea ingawaje kwa wanaoanza maisha na mtaji unao Kariakoo ni sehemu sahihi sana na China...Watu wanaojifanya wanaringa na dar ni watu waliotoka mikoani wakaenda dar ukubwani kwao wanaona dar kama Paris 😀 si ajabu anaona foleni ni maendeleo
Hilo ni jiji la HAKUNA mnyonge aseeeeeeee wote ni wababeeeHalafu mbona vijana wengi wana makovu ya visu halafu wanaongea lugha siilewi kuna nini huku jamani?
Pisi nzuri mrembo wa haha ya kutia KWA macho anakuambia niaje msela.....hahaaaaaa lazima .....udateeeeeHilo ni jiji la HAKUNA mnyonge aseeeeeeee wote ni wababeee
Bora wewe umesimamia ukweli aisee wengine wanabisha tu bora kubishaKiukweli kabisa Arusha kwa Dar bado sana, na huu msimu ndio inazidi kuwa bado sana tena sana.
Nimekulia Arusha, nipo Arusha ila huu mji vijana (wa 2000s) ni washamba sana na hodari kwa mambo ya kijinga.
Kwq hiyo umehamia Arusha?kabisa?Niliangalia hali ya hewa na kupoteza muda bara barani nikaona daslm sio sehemu sahihi kwangu nikachagua Arusha maisha yanaendelea ingawaje kwa wanaoanza maisha na mtaji unao Kariakoo ni sehemu sahihi sana na China...
sema. Arusha ni mji wa WATU WENGI walioharibika kiakili KWA kuvuta bangi aseeeHa haaaa jamani kumbe hadi wakike?au wanavuta bangi?
😂 Arusha ni mji wa kawaida sana ila kelele za kuinadi ndio nyingi lakini zaidi ya hali ya hewa hakuna kitu pale.MBAUDA,SAKINA,NGARENARO,NJIRO sasa wamesema naenda sehemu kibokoo kwa Mrombo sijui ndio niko hapa nafurahiafurahia
😹😹😹Arusha kawaida sana ni kama ni wilaya moja ya Temeke ,tena TEMEKE kuna vibes sana.
Utakabwa shauri yako, huko makao makuu ya mateja…!! 😹😹Halafu mbona vijana wengi wana makovu ya visu halafu wanaongea lugha siilewi kuna nini huku jamani?
Ila wanavyosifia sasa,eti huku hakuna slums kumbe zipo tu...wanavyopasifia hapo kwa Muromboo sasa🤣🤣😂 Arusha ni mji wa kawaida sana ila kelele za kuinadi ndio nyingi lakini zaidi ya hali ya hewa hakuna kitu pale.
Mwaka jana mwezi May nilikuwa Arusha kwenye mkutano uliovurugwa na hawa mboga mboga, kwa hasira nikaamua kwenda kuzipoza kwa- Muromboo! 😲 Nilichokiona kule sikukielewa maana hakuna tofauti na uwanja wa fisi kule Manzese!.
Kama kawaida mwezi May tena nitakuwa Arusha kwa siku mbili, ila sioni hizo siku mbili nitazitumia kufanya nini zaidi ya kwenda Namanga nikazitumie upande wa Kenya....
Arusha kama ilivyo Lushoto ina madhari mazuri yenye hali ya hewa ya wastani. Arusha inafanana sana na miji miwili ya Goma na Gisenyi kule mashariki ya Congo na Rwanda... Udongo ni ule ule. 😆