Kufananisha Dar es Salaam na Arusha

Kufananisha Dar es Salaam na Arusha

Hakuna mji wa Tanzania ulionyooka usio na kasoro. Labda Dodoma huko mbeleni itakuwa nzuri.
 
Hakuna mji wa Tanzania ulionyooka usio na kasoro. Labda Dodoma huko mbeleni itakuwa nzuri.
Haitaweza kunyooka kwa sababu ya ukame na jua la pale labda kama capital city ingewekwa iringa.
Mbeya, iringa, mwanza na Arusha zikiwekwa miundombinu mizuri na kupangwa ndio itakua miji mizuri tz
 
Haitaweza kunyooka kwa sababu ya ukame na jua la pale labda kama capital city ingewekwa iringa.
Mbeya, iringa, mwanza na Arusha zikiwekwa miundombinu mizuri na kupangwa ndio itakua miji mizuri tz
Iringa naipenda mno. Natumaini nitastaafia pale.
 
Iringa naipenda mno. Natumaini nitastaafia pale.
Mji flan mdogo wa kishua sana hamna pilikapilika hali ya hewa nzuri vyakula bei nafuu
Lakin ndio mkoa Tajiri kwa watu wake nyuma tu ya Dar
 
Attachments

  • Screenshot_20250505-110536.jpg
    Screenshot_20250505-110536.jpg
    361.6 KB · Views: 13
Haya tena, Ijumaa ijayo mchana natua Arusha, siku mbili nzima nitakuwepo hapo mji wa wadudu....Wenyeji toeni recommendations na bei elekezi ya viwanja vya kujidai .... 🤓
 
Back
Top Bottom