Kufananisha Dar es Salaam na Arusha

Kufananisha Dar es Salaam na Arusha

Ila wanavyosifia sasa,eti huku hakuna slums kumbe zipo tu...wanavyopasifia hapo kwa Muromboo sasa🤣🤣
Kuna slums za kufa mtu pale Arusha, kuna sehemu kule Ngarenaro na Unga Limited niliwahi kwenda na classmate wangu, sikuamini kuwa mtu anaweza kuishi vile.
 
Chuga hiyo Chuga hiyo Masendeu maboshori!! Wanangu wa matejoo ,ngalimi ,ngereroooo ,sinoni daraja mbili....Njoo Kisongo kwa Geo Devi.
 
Ila wanavyosifia sasa,eti huku hakuna slums kumbe zipo tu...wanavyopasifia hapo kwa Muromboo sasa🤣🤣
Pale kwa Muromboo nilipanga kuspend muda mrefu kwa sifa nilizoambiwa na wenyeji.... Ilibidi niondoke mapema kwani sikuona lolote la kuvutia pale. Nikaelekezwa niende kutulia sehemu moja inaitwa "Picnic" pale Kaloleni... Du! ...
Balaa la pale napo asubuhi yake watu wawili wakachomwa moto wakiwa hai na pikipiki zao. 😲
 
NAOMBA NIANDIKE TU KWA KIREFU KWA FAIDA YA WENGINE!! Narudia tena kusema ni wivu tu watu wa dar wanaona kwa vile Arusha hatuteseki kama wao 😀
Kwanza Arusha kuna Ardhi kubwa open spaces ni nyingi, hakuna joto, kuna population optimal Arusha hata ukiingia kwenye mall au coffee shops kuna ustaarabu unakutana na watu wa mataifa kibao kuna mataasisi makubwa ya kimataifa kwenye eneo dogo tu kama EAC, Mahakama ya Afrika, PAPU n.k lakin pia ni mji mdogo ambao vitu vingi hutumii muda mrefu au gharama kubwa kuvipata au kuvifikia kuna hakuna misongamano kwenye huduma za kijamii kama hyo dar yenu

NB: Hakuna mgeni yoyote atakayetoka nje atachagua dar over Arusha
Arusha ni Jiji la kitalii kwa nlichokiona hapa wengi waliofika Arusha wanacomment kwa morombo, ngarenaro na ungalimited hata nairobi ndo mji wenye slums kubwa afrika za kibera na mathare lakin huwez fananisha na hio dar yenu yani wanapick zile sehemu za uswazi kuonesha kipato Chao kilivo hovyo yani unaenda Arusha unafikia mromboo mwingine kaandika picnic sjui shivas yan mtu wa Arusha ukimwambia ulfkia huko hzo sehemu ni ile mitaa kama ya kimboka kwa malaya waliochoka wa buku 3
* Mwingine kaandika kwanza Arusha hamna foleni kama Dar yeye anaona foleni ndo maandeleo eti hawa watu wakapimwe Akili

MWISHO; Arusha kama majiji yote ya utalii duniani inahitaji uwe na kipato cha uhakika ndo maana watu wa mikoa mingine lazma wacomment chuki dhidi ya Arusha ili wajfariji mioyo yao 😀 kwasababu Arusha huwezi kuishi kwa uwinga au kuuza mitumba alafu utegemee utaweza kuspend Arusha.

Wanaovimba Arusha ni matajiri walioko kwenye Madini au Utalii na ndio maana Arusha ni ya pili kwa makusanyo mengi ya TRA ilhali sio moja ya mikoa yenye watu wengi sasa ukigawanya hapo utaelewa Arusha ni mji wa namna gani kama ingewekewa miundombinu ya kutosha Arusha ndio ungekua mji pekee wa kuiwakilisha nchi kama kigali au Pretoria kwa mandhari yake sio huo utopolo wenu Dar au jangwa lenu la dodoma😀

*Na ndio maana kwa makasiriko mtoa mada ambae ameenda Arusha na kuishia kwa mromboo anabaki anasonya tu ni sawa na uende dar ufikie vingunguti unatuonyesha tu ulikua na kipato gan😀

Kwa ambacho hamjui watu wa dar, Arusha ilikuaga na gated community ya kwanza kabla ya dar na hata sasa hivi zipo nyingi tu kuna mitaa ili uingie ni lazima uwe na kibali huko huingii tu hovyohovyo ndo maana inabidi mtu akuonyeshe mitaa, Arusha ndo nyumbani kwa mabwanyenye haswa wanje na wazawa kama kina mawalla kuna estates zina airport ndani hukohuko, kuna ma settler kibao walikuwepo Arusha kabla ya uhuru na wazawa pia wakawa na utajiri mkubwa kutokana na kufanya biashara na massetler na ndio maana nyerere alianzisha azimio la Arusha kulipa jina Arusha manake pale Arusha ndo kwenye kitovu chenyewe cha matajiri mpaka leo Arusha kuna mashamba makubwa yanamilikiwa na massetler ya kahawa na maua ukiwa njian kutoka Arusha kwa pande zote unayaona na unapoongelea leisure facilities Arusha ndo by far inaongoza hapa nchini hapo tunaongelea bata la hela ndefu tatizo vitu vya matajiri havitangazwagi fesibuku😀

Tafta hela ukaenjoy Arusha au Google places to visit in Arusha sikunyingine usituletee hizi mada za kitoto hujiulizi kwanini mikutano yote mikubwa ikiletwa tz inafanyikia Arusha na Arusha sio mji mkuu??? Ni ili kufuta aibu mjionyeshe tz na nyie mnamji wenye hali hewa nzuri na mandhar ya kijani Dar mliletewa mkutano mmoja tu na barabara zikafungwa hamna kwenda hata shule na kazin😀 imagine mnavoishi hovyo hadi inabidi wageni wafichwe kero mnazokutana nazo manake nchi itadhalilika sasa

Lakini tusiwalaum hawa watu maisha ya dar yanawapeleka race sana hamna kutulia ni purukushan kila mahali Mental Health is real in Dar imagine unatoka kazini unatumia masaa 3 kufka nyumban huyo mtu unadhan atakua normal kweli? Hapo bado umepigwa na jua bila sunscreen hutoboi😃 So naelewa kwakwel mnayoyapitia wakaz wa dar mmevurugwa haswa ila ndo hivo sasa lazma mbanane huko ili mkono uende kinywan lakin maisha ya Dar ni mateso matupu ndio hvo tu mnajifariji lakin deepdown mnajua 😀 Nmeattach hapo sasa muone hadi google inavowakataa
 
Attachments

  • Screenshot_20250430_231016_Chrome.jpg
    Screenshot_20250430_231016_Chrome.jpg
    304.8 KB · Views: 14
Look at how Arusha is beautiful, green and scenic😍

Asilimia 80 ya wageni wote wanaokuja bara wanapita hapa

Arusha imekuwepo top norch kwenye utalii tangu kabla ya uhuru hatutegemei watu waliozoea kurukia dirishani daladala za mbagala au kufinyiwa kwenye mwendokasi za kimara alafu wao ndo wanaona ujanja kubanana na mijasho😀

Ndo maana wakija arusha jiji la kitalii hawawazi kuna bolt na indrive au kutafuta itinerary wameshazoea kuteseka 😅 nasemaga skuzote hamna watu washamba kama hawa watu waliofka dar ukubwani alaf hawajasafir nchi zingine wao wanaionaga dar kama paris

NB; Arusha ni international city imepokea viongozi wa kidunia tangu hadi bill clinton akaitunuku Arusha kuwa geneva of Africa
japo alianzia dar lakini akaona utopolo tu😁 inahitajika mpunga kuweza kuvimba pale na wabongo kutalii hamuwezi wenyewe mshapigwa na maisha mnatafuta vitu vya kubargain ndo maana mnaishia kulialia mnashindwa kutembelea sehemu za maana mnaishia kwa mromboo na ngarenaro umaskini mbaya sana 😂

Kuprove point yangu mtoa mada atupostie picha yake akiwa gran melia, mt meru hotel, four seasons, kiligolf au ngarasero lodge tujue usalama wa mgeni wetu kama hakulala gest za mromboo duh!
Arusha ukija bila mpunga utadhalilika mno manake bei za dar utazpata kwa mromboo huko

Free advice: unapoenda kwenye mji wa kitalii kuna agencies ambazo zinahusika na kukuandalia ratiba, malazi n.k kwa sababu hao ndio wabobevu wa hizo fani shida wabongo wengi wanajuaga zile kampuni ni kwa ajili ya wazungu tu, ni kama ambavyo dar ni mji wa biashara lakin kwa mgeni unaweza ukafika kariakoo ukauziwa bei kama ya mkoani tu ila kuna watu sasa ndo wanajua chimbo ukilijua hapo unapata bei kama ya china

Tafadhal mje Arusha na hela mtaishia kuandika thread mpya kila siku mkija

Nawasilisha!
 
Attachments

  • instagram_1746045238557(720p).mp4
    3.5 MB
Nimegeneralize maana wakazi wa Arusha the way wanavyoiongeleaga Arusha utasema Arusha nzima ni Njiro....utasikia Dar uswahilini sana mbona huku uswahili umejaa kishenzy...Zenj mpango sana
Uswahilini sio majengo tu, ni pamoja na tabia za watu na mtindo wao wa maisha.
 
Binafsi ukitoa baadhi ya sehemu za Dar kama Oysterbay, Masaki, Mbezi, Kigamboni, Posta na Mikocheni hamna sehemu nzuri ya kula maisha kushinda Arusha na Zanzibar Tanzania hii.

How comes umeenda sehemu umekaa siku mbili then unakuja kugeneralize vitu.

mind you sina vinasaba vyovyote na A-town
Umemaliza Braza
Hata Google Ai inasema the same

"Arusha and Zanzibar are cited as the most beautiful cities in Tanzania" 🇹🇿

We ni genius mkuu 👏 😃
 
Attachments

  • Screenshot_20250430_231016_Chrome.jpg
    Screenshot_20250430_231016_Chrome.jpg
    304.8 KB · Views: 13
Nafikiri aliyebatiza hayo majina ana vinasaba na yule Mkuu wa Mkoa aliyesema anataka Tabora iwe kama Toronto?

Yani Igunga kwa kina Shishi pafanane na Toronto?
Toronto yenyewe ni kisanga....
 
Attachments

  • images.jpeg.jpg
    images.jpeg.jpg
    48.5 KB · Views: 10
NAOMBA NIANDIKE TU KWA KIREFU KWA FAIDA YA WENGINE!! Narudia tena kusema ni wivu tu watu wa dar wanaona kwa vile Arusha hatuteseki kama wao 😀
Kwanza Arusha kuna Ardhi kubwa open spaces ni nyingi, hakuna joto, kuna population optimal Arusha hata ukiingia kwenye mall au coffee shops kuna ustaarabu unakutana na watu wa mataifa kibao kuna mataasisi makubwa ya kimataifa kwenye eneo dogo tu kama EAC, Mahakama ya Afrika, PAPU n.k lakin pia ni mji mdogo ambao vitu vingi hutumii muda mrefu au gharama kubwa kuvipata au kuvifikia kuna hakuna misongamano kwenye huduma za kijamii kama hyo dar yenu

NB: Hakuna mgeni yoyote atakayetoka nje atachagua dar over Arusha
Arusha ni Jiji la kitalii kwa nlichokiona hapa wengi waliofika Arusha wanacomment kwa morombo, ngarenaro na ungalimited hata nairobi ndo mji wenye slums kubwa afrika za kibera na mathare lakin huwez fananisha na hio dar yenu yani wanapick zile sehemu za uswazi kuonesha kipato Chao kilivo hovyo yani unaenda Arusha unafikia mromboo mwingine kaandika picnic sjui shivas yan mtu wa Arusha ukimwambia ulfkia huko hzo sehemu ni ile mitaa kama ya kimboka kwa malaya waliochoka wa buku 3
* Mwingine kaandika kwanza Arusha hamna foleni kama Dar yeye anaona foleni ndo maandeleo eti hawa watu wakapimwe Akili

MWISHO; Arusha kama majiji yote ya utalii duniani inahitaji uwe na kipato cha uhakika ndo maana watu wa mikoa mingine lazma wacomment chuki dhidi ya Arusha ili wajfariji mioyo yao 😀 kwasababu Arusha huwezi kuishi kwa uwinga au kuuza mitumba alafu utegemee utaweza kuspend Arusha.

Wanaovimba Arusha ni matajiri walioko kwenye Madini au Utalii na ndio maana Arusha ni ya pili kwa makusanyo mengi ya TRA ilhali sio moja ya mikoa yenye watu wengi sasa ukigawanya hapo utaelewa Arusha ni mji wa namna gani kama ingewekewa miundombinu ya kutosha Arusha ndio ungekua mji pekee wa kuiwakilisha nchi kama kigali au Pretoria kwa mandhari yake sio huo utopolo wenu Dar au jangwa lenu la dodoma😀

*Na ndio maana kwa makasiriko mtoa mada ambae ameenda Arusha na kuishia kwa mromboo anabaki anasonya tu ni sawa na uende dar ufikie vingunguti unatuonyesha tu ulikua na kipato gan😀

Kwa ambacho hamjui watu wa dar, Arusha ilikuaga na gated community ya kwanza kabla ya dar na hata sasa hivi zipo nyingi tu kuna mitaa ili uingie ni lazima uwe na kibali huko huingii tu hovyohovyo ndo maana inabidi mtu akuonyeshe mitaa, Arusha ndo nyumbani kwa mabwanyenye haswa wanje na wazawa kama kina mawalla kuna estates zina airport ndani hukohuko, kuna ma settler kibao walikuwepo Arusha kabla ya uhuru na wazawa pia wakawa na utajiri mkubwa kutokana na kufanya biashara na massetler na ndio maana nyerere alianzisha azimio la Arusha kulipa jina Arusha manake pale Arusha ndo kwenye kitovu chenyewe cha matajiri mpaka leo Arusha kuna mashamba makubwa yanamilikiwa na massetler ya kahawa na maua ukiwa njian kutoka Arusha kwa pande zote unayaona na unapoongelea leisure facilities Arusha ndo by far inaongoza hapa nchini hapo tunaongelea bata la hela ndefu tatizo vitu vya matajiri havitangazwagi fesibuku😀

Tafta hela ukaenjoy Arusha au Google places to visit in Arusha sikunyingine usituletee hizi mada za kitoto hujiulizi kwanini mikutano yote mikubwa ikiletwa tz inafanyikia Arusha na Arusha sio mji mkuu??? Ni ili kufuta aibu mjionyeshe tz na nyie mnamji wenye hali hewa nzuri na mandhar ya kijani Dar mliletewa mkutano mmoja tu na barabara zikafungwa hamna kwenda hata shule na kazin😀 imagine mnavoishi hovyo hadi inabidi wageni wafichwe kero mnazokutana nazo manake nchi itadhalilika sasa

Lakini tusiwalaum hawa watu maisha ya dar yanawapeleka race sana hamna kutulia ni purukushan kila mahali Mental Health is real in Dar imagine unatoka kazini unatumia masaa 3 kufka nyumban huyo mtu unadhan atakua normal kweli? Hapo bado umepigwa na jua bila sunscreen hutoboi😃 So naelewa kwakwel mnayoyapitia wakaz wa dar mmevurugwa haswa ila ndo hivo sasa lazma mbanane huko ili mkono uende kinywan lakin maisha ya Dar ni mateso matupu ndio hvo tu mnajifariji lakin deepdown mnajua 😀 Nmeattach hapo sasa muone hadi google inavowakataa
Hii post naomba tuiwekee lamination mkuu kwa kila atakae taka battle na Arusha tunamuonyesha
 
Ishu ya Arusha kuitwa Geneva ni sahihi 100% kwa sababu ya hali ya hewa na vivutio vilivyopo.

Ila tukisema tuifananishe na Dar, hapo tunadanganyana, hakuna mkoa wowote Tz wa kuifananisha na dar japokuwa kila mkoa una vibes zake za kipekee.

Mm nimezaliwa Arusha, nimeondoka huko rasmi 2014
 
Na hakuna aliyofananisha huo ukubwa ambao unaleta kero + mafoleni hayo
Dar ni mji wa utaftaji Arusha ni pakula maisha over
Hata wacheza mpira wote wakija kutalii wanaenda Arusha sio tandale huko
 
Look at how Arusha is beautiful, green and scenic😍

Asilimia 80 ya wageni wote wanaokuja bara wanapita hapa

Arusha imekuwepo top norch kwenye utalii tangu kabla ya uhuru hatutegemei watu waliozoea kurukia dirishani daladala za mbagala au kufinyiwa kwenye mwendokasi za kimara alafu wao ndo wanaona ujanja kubanana na mijasho😀

Ndo maana wakija arusha jiji la kitalii hawawazi kuna bolt na indrive au kutafuta itinerary wameshazoea kuteseka 😅 nasemaga skuzote hamna watu washamba kama hawa watu waliofka dar ukubwani alaf hawajasafir nchi zingine wao wanaionaga dar kama paris

NB; Arusha ni international city imepokea viongozi wa kidunia tangu hadi bill clinton akaitunuku Arusha kuwa geneva of Africa
japo alianzia dar lakini akaona utopolo tu😁 inahitajika mpunga kuweza kuvimba pale na wabongo kutalii hamuwezi wenyewe mshapigwa na maisha mnatafuta vitu vya kubargain ndo maana mnaishia kulialia mnashindwa kutembelea sehemu za maana mnaishia kwa mromboo na ngarenaro umaskini mbaya sana 😂

Kuprove point yangu mtoa mada atupostie picha yake akiwa gran melia, mt meru hotel, four seasons, kiligolf au ngarasero lodge tujue usalama wa mgeni wetu kama hakulala gest za mromboo duh!
Arusha ukija bila mpunga utadhalilika mno manake bei za dar utazpata kwa mromboo huko

Free advice: unapoenda kwenye mji wa kitalii kuna agencies ambazo zinahusika na kukuandalia ratiba, malazi n.k kwa sababu hao ndio wabobevu wa hizo fani shida wabongo wengi wanajuaga zile kampuni ni kwa ajili ya wazungu tu, ni kama ambavyo dar ni mji wa biashara lakin kwa mgeni unaweza ukafika kariakoo ukauziwa bei kama ya mkoani tu ila kuna watu sasa ndo wanajua chimbo ukilijua hapo unapata bei kama ya china

Tafadhal mje Arusha na hela mtaishia kuandika thread mpya kila siku mkija

Nawasilisha!
Hyo video naweza kuipataje
 
Back
Top Bottom