Wadundane tuwapelekee misaada ya nguo na chakula.
Atcl Qdash 400 ikamwage, vifurushi vya kande take away, michigan.
Hii habari ingekuwa imeletwa inahusu nchi za Africa yangemwagwa matusi ya kiswahili na ya kizungu hapa,lakini kwasababu ni U.S akuna tusi hata moja.
Tofauti yao ni sisi mtu hawezi ng'angania madarakani ingekua Africa hapo Trump kasha apishwa zamaniIngekuwa Tanzania hii basi tungetukanwa Sana na wana harakati na matamko kibao kutoka kwenye balozi na umoja wa ulaya Ila kwasababu ni marekani watu watasifia tu utasikia mtu anasema hii ndio democrasia sasa.
Trump ajakubali kushindwa,kama ambavyo nchi za Africa wagombea awakubaligi kushindwa kisha mnaanza kushusha kejeli na matusi.Tofauti yao ni sisi mtu hawezi ng'angania madarakani ingekua Africa hapo Trump kasha apishwa zamani
Tukatae halafu tule nini mkuu??Beggars cannot be choosers, mkitaka wasiwe na sauti juu yenu kataeni na misaada yao basi tujue moja.
Wewe ndio huelewi Trump yupo madarakani kashundwa na vyombo vya serikali vimekubali ameshindwa Africa raisi aliyeyepo madarakani hua hashindwiJamaa hivi unaelewa kweli?Trump ajakubali kushindwa,kama ambavyo nchi za Africa wagombea awakubaligi kushindwa kisha mnaanza kushusha kejeli na matusi.
Na kwa US ndo kilichotokea wafuasi wa Trump ndo hao wameingia barabarani na silaha.
Mambo haya yanayofanywa na Trump na wafuasi wake yangetokea Africa nyinyi wamarekani wa Tandale na wa Buza kwa mpalange mngeshamwaga kebehi na matusi kwa nchi za Africa.Wewe ndio huelewi Trump yupo madarakani kashundwa na vyombo vya serikali vimekubali ameshindwa Africa raisi aliyeyepo madarakani hua hashindwi
Ndio maana ya ile 2nd amendment article kwenye katiba,to protect themselves against government Tyrany...Ndugu, siyo kwamba hao wanajeshi wanawaheshimu hao waandamanji ila wanaogopa wakiwagusa silaha zaidi ya hizo zinakuja road!
Alafu kwa mujibu wa bbc hao wenye silaha ni makundi ya wanamgambo, mfano hilo la waliovaa vikaragosi wana kiongozi wao kabisa.
Yani USA inabidi viongozi wao waishi na hao raia kwa adabu yani hata wakitiwa vidole machoni wakae kimya tu maana wakifurukuta kwa jinsi raia wa huko walivyo na siraha watamalizana.
Hakuna sehemu kwenye sheria kunamlazimisha mgombea kukubali kushindwa (to concede defeat),Hiyo ni kama culture ya kistaarabu tu walijiwekea,kumpongeza na kukubali kushindwa.Sasa weather utakubali au hautakubali,mfumo utakutoa madarakani na utaondoka kwa hiyari maana hakuna mfumo wa kukulinda hata kama hauku concede defeat,..mind you,Trump hajakataa kuondoka madarakani,bali amekataa ku concede defeat.Hivyo ni vitu viwili tofauti kabisa,tusichanganye,na naona hata media zinachanganya haya sijui kwa lengo la nani...Umeshahama mada bwashee.ndo maana nikasema uelewi.
Trump anadai kaibiwa kura na kapinga matokeo,hata ushahidi wa kuibiwa kura hana.
Wafuasi wa Trump wakaingia barabarani kuandamana kupinga matokeo bila hata ya ushahidi kama kweli mgombea wao kaibiwa kura.Mambo haya yanayofanywa na Trump na wafuasi wake yangetokea Africa nyinyi wamarekani wa Tandale na wa Buza kwa mpalange mngeshamwaga kebehi na matusi kwa nchi za Africa.
Point yangu sio kushinda au kushindwa kwa mgombea,point yangu ni yanayofanywa na wafuasi wa Trump na Trump mwenyewe.
Wanajiandaa kulinda wanaoandamana. Kwa taarifa wemeisha anza ingawa siyo wengi wako katika makundi ya kuanzia watu 10 hadi 50.Kwahiyo wale wanajeshi waliojaa mitaani kule USA wanamlinda nani sasa hivi wakati maandamano bado hayajaanza?
Unanishangaza maana kwa USA siraha ni sawa na MTZ kutembea na pen au note book au simu. Na zaidi wanatembea nazo muda wote ndiyo maana siyo kosa kabisa kutembea na siraha. Ndivyo maisha yao yalivyo."yaani watu wanaruhusiwa kuandamana hata na siraha bila bughudha yoyote hali mradi hawafanyi fujo."
Vitu vingine mnavyo sifia, yani kuandamana na Silaha ndio demokrasia,vip hao askari nao watakuwa na hali gani endapo vurugu zikitokea.
Kama hujui zaidi ya 80% ya wamarekani wanamiliki silaha na maandamano haya lazima yatakuwa na vurugu,sasa pata picha silaha hizi zikitumika.
Na hii hali ya sasa inchi ina tension,watu walipata ujasiri mpaka wakuvunja bunge.Unanishangaza maana kwa USA siraha ni sawa na MTZ kutembea na pen au note book au simu. Na zaidi wanatembea nazo muda wote ndiyo maana siyo kosa kabisa kutembea na siraha. Ndivyo maisha yao yalivyo.
Wale waliokamatwa ni kwa sababu gani?Wanajiandaa kulinda wanaoandamana. Kwa taarifa wemeisha anza ingawa siyo wengi wako katika makundi ya kuanzia watu 10 hadi 50.
Please Follow up by watching CNN 24X7
Kuna andiko flani kwenye msaafu ikizungumzia Marekani na utawala wake huku matukio makubwa kama haya yakiongelewa kwa undani japo ni kwa kificho.
Maandiko hayo yameandikwa kwa kificho ili wajuzi waweze kuyafumbua.[
/FONT]