Kuelekea kuapishwa Biden kuwa Rais wa Marekani raia na askari hawatambuliki wote wamebeba silaha

Usishangae huu uzi ukakosa wachangiaji.
Maana Kuna wajinga wanaamini marekani ni malaika
Wewe hapa umechangia nn sasa...

Marekani ni nchi ambayo marais wake zaidi ya watano wameuawa wakiwa madarakani na Donard Trump anakuwa Rais wa kama wa 7 kutokumaliza vipindi viwili huku ikionekana hakubaliani na ushindi wa Biden, hali hii inaweka tension kubwa kama Bwana Biden ataweza maliza kipindi cha kwanza bila majaribio kadhaa ya kumuua.
 
Trump atatulia muda siyo mrefu
 
Kwangu ni kukomaa kwa demokrasi ya hali ya juu sana.

yaani watu wanaruhusiwa kuandamana hata na siraha bila bughudha yoyote hali mradi hawafanyi fujo.

Kwa nchi za kiafrica na za kikomonist dhubutu hata kupeperusha jani angani ni shida kubwa sana.
Zinduka wewe bongolala! Siyo kwamba wanaacha kwamba wanapenda hapana! Lakini wanaogopa wakijaribu kuzuia huzo bunduki zinakuja nyingi zaidi humo mitaani!

Kama unafikiri ni democrasia jiulize wanajeshi wanafanya nini mitaani kuelekea kuapishwa kwa Biden?
 
Wewe hapa umechangia nn sasa...

Marekani ni nchi ambayo marais wake zaidi ya watano wameuawa wakiwa madarakani na Donard Trump anakuwa Rais wa kama wa 7 kutokumaliza vipindi viwili huku ikionekana hakubaliani na ushindi wa Biden, hali hii inaweka tension kubwa kama Bwana Biden ataweza maliza kipindi cha kwanza bila majaribio kadhaa ya kumuua.
Sasa ndio democrasia hiyo?
 
Zinduka wewe bongolala! Siyo kwamba wanaacha kwamba wanapenda hapana! Lakini wanaogopa wakijaribu kuzuia huzo bunduki zinakuja nyingi zaidi humo mitaani!

Kama unafikiri ni democrasia jiulize wanajeshi wanafanya nini mitaani kuelekea kuapishwa kwa Biden?
Ufahamu nimuhimu sana kwa binadamu.
Kukiwa na maandamano ni wajibu wa walinda usalama kuwa mtaani kutoa ulizi kwa watu including waandamanaji na mali zao. Ndiyo maana sheria kuhusu maadamano inataka kutoa taarifa (Siyo kuomba ruhusa) kwenye vyombo vya usalama masaa 48 kabla ya maadamano.
TZ tumezoea ndivyo sivyo.
 
Kwahiyo wale wanajeshi waliojaa mitaani kule USA wanamlinda nani sasa hivi wakati maandamano bado hayajaanza?
 
Ingekuwa Tanzania hii basi tungetukanwa Sana na wana harakati na matamko kibao kutoka kwenye balozi na umoja wa ulaya Ila kwasababu ni marekani watu watasifia tu utasikia mtu anasema hii ndio democrasia sasa.
watu wanaandamana na siraha, polisi wanasindikiza maandamano bila kuwadhuru hao raia, huu ni mfano bora kabisa wa majeshi kuheshimu uhuru wa mawazo na kuandamana bila kusababisha madhara kwa raia, au unadhani majeshi ya marekani hayana uwezo wa kuwaua hao raia? na kuwabambikia kesi za uhaini? swali la kujiuliza ingekuwa hapa kwetu Afrika nini kingetokea unampinga rais mweusi alie chaguliwa? hiiii utanyonyolewa hata kama huna manyoya.
 
Dah!... Marekani kumiliki bunduki ni rahisi ee..?

Ni biashara kubwa sana inayomilikiwa na vigogo wakubwa sana
Hata iweje hawawezi kuacha hii biashara ni kama sigara vile
Mtandao mkubwa sana na unalipa haswa
Kuna watu wanamiliki mpaka bunduki 100 utafikiri wana vita
 
Back
Top Bottom