Kuelekea kuapishwa Biden kuwa Rais wa Marekani raia na askari hawatambuliki wote wamebeba silaha

Ila nawajua USA Sana nimeishi kwao nawaambia system ya USA kule wanaita nsa watamshughulia Trump mark my words
 
Kuna namna ninautazama utawala wa Biden ndani ya kipindi chake cha miaka minne au nane ijayo, naiona dunia ikiwa katika hali mbaya kuliko tawala zilizopita.

Mambo mengi yaliyonenwa kabla, yanakwenda kutimia.
 
Bora hasa, tutapumzika na sinema za jangwani, sasa iwe sinema live facebook.
 
Io ni US askar wanavaa muwan zenye computer na zina database za vikos vyote so likianza balaa apo ni computer tu shoot on target shoot
 
Hii habari ingekuwa imeletwa inahusu nchi za Africa yangemwagwa matusi ya kiswahili na ya kizungu hapa,lakini kwasababu ni U.S akuna tusi hata moja.
Ingekuwa Tanzania hii basi tungetukanwa Sana na wana harakati na matamko kibao kutoka kwenye balozi na umoja wa ulaya Ila kwasababu ni marekani watu watasifia tu utasikia mtu anasema hii ndio democrasia sasa.
Tofauti yao ni sisi mtu hawezi ng'angania madarakani ingekua Africa hapo Trump kasha apishwa zamani
 
Nitawaeleza kilichompeleka Trump kule Texas ambako ndio kuna wale jamaa wanajiita COW BOY na ukweli ndio kuna matajiri wengi wale wakulima na wafugaji ,wamiliki wa viwanda vikiwemo vya silaha na zinazotumika na jeshi la Marekani na ndio wanaohost biashara ya silaha wholesale & retail shop hao hawataki kusikia sheria ya kuzuia kutembea au kumiliki silaha
 
Jamaa hivi unaelewa kweli?
Tofauti yao ni sisi mtu hawezi ng'angania madarakani ingekua Africa hapo Trump kasha apishwa zamani
Trump ajakubali kushindwa,kama ambavyo nchi za Africa wagombea awakubaligi kushindwa kisha mnaanza kushusha kejeli na matusi.
Na kwa US ndo kilichotokea wafuasi wa Trump ndo hao wameingia barabarani na silaha.
 
Jamaa hivi unaelewa kweli?Trump ajakubali kushindwa,kama ambavyo nchi za Africa wagombea awakubaligi kushindwa kisha mnaanza kushusha kejeli na matusi.
Na kwa US ndo kilichotokea wafuasi wa Trump ndo hao wameingia barabarani na silaha.
Wewe ndio huelewi Trump yupo madarakani kashundwa na vyombo vya serikali vimekubali ameshindwa Africa raisi aliyeyepo madarakani hua hashindwi
 
Umeshahama mada bwashee.ndo maana nikasema uelewi.

Trump anadai kaibiwa kura na kapinga matokeo,hata ushahidi wa kuibiwa kura hana.
Wafuasi wa Trump wakaingia barabarani kuandamana kupinga matokeo bila hata ya ushahidi kama kweli mgombea wao kaibiwa kura.
Wewe ndio huelewi Trump yupo madarakani kashundwa na vyombo vya serikali vimekubali ameshindwa Africa raisi aliyeyepo madarakani hua hashindwi
Mambo haya yanayofanywa na Trump na wafuasi wake yangetokea Africa nyinyi wamarekani wa Tandale na wa Buza kwa mpalange mngeshamwaga kebehi na matusi kwa nchi za Africa.

Point yangu sio kushinda au kushindwa kwa mgombea,point yangu ni yanayofanywa na wafuasi wa Trump na Trump mwenyewe.
 
Ndugu, siyo kwamba hao wanajeshi wanawaheshimu hao waandamanji ila wanaogopa wakiwagusa silaha zaidi ya hizo zinakuja road!

Alafu kwa mujibu wa bbc hao wenye silaha ni makundi ya wanamgambo, mfano hilo la waliovaa vikaragosi wana kiongozi wao kabisa.

Yani USA inabidi viongozi wao waishi na hao raia kwa adabu yani hata wakitiwa vidole machoni wakae kimya tu maana wakifurukuta kwa jinsi raia wa huko walivyo na siraha watamalizana.
Ndio maana ya ile 2nd amendment article kwenye katiba,to protect themselves against government Tyrany...
 
Umeshahama mada bwashee.ndo maana nikasema uelewi.

Trump anadai kaibiwa kura na kapinga matokeo,hata ushahidi wa kuibiwa kura hana.
Wafuasi wa Trump wakaingia barabarani kuandamana kupinga matokeo bila hata ya ushahidi kama kweli mgombea wao kaibiwa kura.Mambo haya yanayofanywa na Trump na wafuasi wake yangetokea Africa nyinyi wamarekani wa Tandale na wa Buza kwa mpalange mngeshamwaga kebehi na matusi kwa nchi za Africa.

Point yangu sio kushinda au kushindwa kwa mgombea,point yangu ni yanayofanywa na wafuasi wa Trump na Trump mwenyewe.
Hakuna sehemu kwenye sheria kunamlazimisha mgombea kukubali kushindwa (to concede defeat),Hiyo ni kama culture ya kistaarabu tu walijiwekea,kumpongeza na kukubali kushindwa.Sasa weather utakubali au hautakubali,mfumo utakutoa madarakani na utaondoka kwa hiyari maana hakuna mfumo wa kukulinda hata kama hauku concede defeat,..mind you,Trump hajakataa kuondoka madarakani,bali amekataa ku concede defeat.Hivyo ni vitu viwili tofauti kabisa,tusichanganye,na naona hata media zinachanganya haya sijui kwa lengo la nani...
 
Kwahiyo wale wanajeshi waliojaa mitaani kule USA wanamlinda nani sasa hivi wakati maandamano bado hayajaanza?
Wanajiandaa kulinda wanaoandamana. Kwa taarifa wemeisha anza ingawa siyo wengi wako katika makundi ya kuanzia watu 10 hadi 50.
Please Follow up by watching CNN 24X7
 
"yaani watu wanaruhusiwa kuandamana hata na siraha bila bughudha yoyote hali mradi hawafanyi fujo."

Vitu vingine mnavyo sifia, yani kuandamana na Silaha ndio demokrasia,vip hao askari nao watakuwa na hali gani endapo vurugu zikitokea.

Kama hujui zaidi ya 80% ya wamarekani wanamiliki silaha na maandamano haya lazima yatakuwa na vurugu,sasa pata picha silaha hizi zikitumika.
Unanishangaza maana kwa USA siraha ni sawa na MTZ kutembea na pen au note book au simu. Na zaidi wanatembea nazo muda wote ndiyo maana siyo kosa kabisa kutembea na siraha. Ndivyo maisha yao yalivyo.
 
Unanishangaza maana kwa USA siraha ni sawa na MTZ kutembea na pen au note book au simu. Na zaidi wanatembea nazo muda wote ndiyo maana siyo kosa kabisa kutembea na siraha. Ndivyo maisha yao yalivyo.
Na hii hali ya sasa inchi ina tension,watu walipata ujasiri mpaka wakuvunja bunge.

Sasa ndio watu walewale wanatembea na silaha na hii tension iliyopo kama walikuwa na ujasiri wa kuvunja bunge basi ni rahisi hata kutumia silaha.

Ndio maana wamedouble security,alafu US ana maadui wengi anaweza akatokea mtu mmoja ana interest mbaya kwa US na silaha yake,akamshambulia polisi,polisi nao lazima watareact,mwisho wa siku askari polisi wanaonekana wanamakosa kumbe nao walikuwa wanajihami.

Ndio wanatembea lkn usifananishe kipindi cha nyuma nchi ipo shwari na sasa inchi bado haijatulia.
 
Wanajiandaa kulinda wanaoandamana. Kwa taarifa wemeisha anza ingawa siyo wengi wako katika makundi ya kuanzia watu 10 hadi 50.
Please Follow up by watching CNN 24X7
Wale waliokamatwa ni kwa sababu gani?
 
Kuna andiko flani kwenye msaafu ikizungumzia Marekani na utawala wake huku matukio makubwa kama haya yakiongelewa kwa undani japo ni kwa kificho.

Maandiko hayo yameandikwa kwa kificho ili wajuzi waweze kuyafumbua.[
/FONT]

Hilo andiko kwenye msaafu linaloitaja Marekani liweke hapa tuone kama kweli lipo.
 
Back
Top Bottom