sawima
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 5,206
- 8,039
Huku bongo sio ishu kwasababu urais sio taasisi bali mtu anajiendea anavyotaka mwenyewe. Nchi haina dira kabisa.Biden atakuwa na kazi ngumu ya kurekebisha mambo ya hovyo yaliyofanywa na utawala wa Trump, sawa na itakavyokuwa kwa yule atakayechukua madaraka mwaka 2025 Tanzania.