ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 16,307
- 31,725
Mvua inacheza number ngapi
Namba ya SackoMvua inacheza number ngapi
Tulia weweMikia noma tayari wametutime, mvua sijui hata imetokea wapi.
Wazee wetu wameshindwa kabisa kuleta jua.
Lakini hamna namna lazima mikia wafungwe hata kama ikinyesha ya mawe.
ChwaaaTulia wewe
Hayo mambo yalishaisha kitambo.Waliroga South Africa bado wakapigwa na faini juuMikia noma tayari wametutime, mvua sijui hata imetokea wapi.
Wazee wetu wameshindwa kabisa kuleta jua.
Lakini hamna namna lazima mikia wafungwe hata kama ikinyesha ya mawe.
Ni kama nilivyosema waungwana.Iwe mvua,iwe jua, Simba anapasuka tu....Simba hatoki leo....