Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,106
- 28,051
Hakuna cha kurogeka kujiendekeza tu ukimshitakia kwao labda wazazi wenye busara ya juu baba kiwembe atamshauri nini mwanaye yy mwenyewe anamichepuko baba wadogo mpaka wanafumaniwa ushauri utoke wapi ukoo wa panya huo na ukute ndiyo ana vijisenti mambo yaishia juju tu mke unaonekana hamna kituMungu akusamehe. Inaonesha uliingia katika ndoa ungali na umri mdogo sana. Ndiyo maana hujui namna ya ku deal na changamoto za kwenye ndoa na hukucheza mechi nyingi za nje ukajua size mbalimbali za mitwangio. Sasa umekuwa mkubwa ndo unatafuta unatafuta chanzo cha kurukaruka nje. Kwanini usiombe talaka ukajiondokea uende kwa huyo bwana mpya uwe huru zaidi?. Fanya hivyo uone kama atakupokea na kama itapita muda bila mumeo kuoa tena. Tena mumeo kama ni muislam akiamua hata kuongeza wenzako watatu ataongeza. Ulichopaswa kukifanya ni kumuonya, mshitaki kwa wakwe zako au mshenga au mshauri wenu wa ndoa na asipojirudi unadai talaka yako. Hapo wewe ndo utaonekana umekosea zaidi kwasababu umelipiza kwa makusudi. Pengine mumeo huko nje kashakorogewa kitu hajitambui au pengine hata hachepuko, ni stress tuu za maisha haya ya Magufuli.
