Kuchepuka raha

Kuchepuka raha

Kwani kuchepuka ni unaamishia majeshi huko au ni masaa kadha ushajirudia? Au unaita watoto unawaambia naenda kuchepuka? Watoto nalea kama kawaida na sitaonesha tofauti hata ... Tena huyo mdada mvumilivu .. Ni hivii naondoka nabeba mwanangu naenda mlea nina pa kushika mwanangu atavaa na kula vizuri tena kuzidi hata zamani ....
Ilitakiwa nicheke ila inasikitisha sana, sasa kama ni hivo basi ungezalia nyumbani tu ili kujiondolea stress na uwe huru zaidi, kwanini uliolewa sasa kama unajua kwamba kulea mtoto ukiwa kwenye hali kama hiyo ni sahihi??
 
Kwetu swala kumi .. Na kwanini nizalie nyumbani?
Kwamba hujui siku hizi ndoa ni fashion tu?
 
Brothers mwanamke ndio nguzo ya familia....ukioa mwanamke mwenye mawazo kama ninayo yaona humu...ndoa yako haita dumu mwaka i guarantee you....wanamme ni kama watoto, ukiona kachepuka jua kwamba mama hujatimiza wajibu vzr
 
Nimesoma comments humu, hakika nimeelewa kwanini ndoa za vijana walio zaliwa kuanzia 90s hazidumu
Hivi waliozaliwa 90s wameshafikia umri wa kuoa? Kweli uzee umebisha hodi kwangu!
 
Mimi,na kizur zaidi nikamkuta yuko vizr kimapenz japo nilikuwa sijui nikajikuta kana kwamba ni mkongwe afu akanizoesha vibaya atanikuna saa mzima akiwa kachoka sana dk 45 huku nje nawasikia wadada wanalalamika waume zao akiingia tu kapiz bas nikajikuta kiukwel ni wa kwanza lkn sikutaman mwqnaume yeyote hata ya kuwajua sababu niliiuwa full na muhogo WA haja basi laaa ,so niseme wapo weng tuwalioolewa na WA kwanza wao.
Hongera, ulipata package nzima, muhogo+kukunwa nonstop wenzako wanalalama hawajui mara ya mwisho kuupanda mlima na kufika kibo ilikuwa lini.
 
Nyote mnakosea,,,ila we mwanamke utakua unakosea zaidi,,,bhana ss wanaume in tofauti na nyny,,maana sisi tunatamani wanawake wenye maumbile tofauti
 
Umesikia kilicho tokea Arusha, leo, basi wenzako waendekeza mchepuko wamepigwa kibiriti, sasa na wewe endekeza uchepukaji alafu utaona majibu yake…
 
Nyote mnakosea,,,ila we mwanamke utakua unakosea zaidi,,,bhana ss wanaume in tofauti na nyny,,maana sisi tunatamani wanawake wenye maumbile tofauti
Utofauti uko sekta gani? Labda sehemu za siri tu Na sie tuna matamanio hizo dushelele zenu tunataka mitalimbo sasa kama hujachepuka utajuaje kuna dushe kibamia inch 1 na mwenye dushe lake la 9-10 kama la baba bonge?
 
Kwetu swala kumi .. Na kwanini nizalie nyumbani?
Kwamba hujui siku hizi ndoa ni fashion tu?
Haya rafiki yangu kila la kheli mimi sijaingia kwenye ndoa mengine siwezi kuyajua ila muombe Mungu sana na mimi nawaombea muweze kubadirika
 
Hakuna anaye amua kubadirika rafiki yangu, wanaume huwa tuna tamaa sikatai lakini ni wepesi wa kubadirika, wewe unatakiwa ujue kilichombadirisha mpaka akawa siyo mwaminifu kwenye ndoa, either ni tamaa zake au ni wewe mwenyewe hapo utajua umbadirishe vipi, lakini akija ananuna na wewe unampotezea mnachofanya mnaharibu mustakabari wa familia yenu.
Yaani utoke kuchepuka harafu uje umenuna si utakua natatizo wewe? Harafu kazi yakukutoa mnuno awe mke heee!!! Mbona mwanamke akitoka kuchepuka anakuja na bashasha kwa mmewe hebu badilikeni nanyi bwana.
 
Brothers mwanamke ndio nguzo ya familia....ukioa mwanamke mwenye mawazo kama ninayo yaona humu...ndoa yako haita dumu mwaka i guarantee you....wanamme ni kama watoto, ukiona kachepuka jua kwamba mama hujatimiza wajibu vzr
Leo mmekuwa watoto eeh!! Huyo nae mumewe hjatimiza majukumu ikabidi nae atafute faraja. Bakini na utoto wenu, siku mkikua ndio muoe.
 
Yaani hadi unamtusi mmeo "eti ana kibamia" duuuh wewe mwanamke wewe, kisa huyo mhuni anaye kudanganya danganya tu, shauri yako …
Kibamia ni relative term. Mwanzoni alidhani dyudyu zote size moja. Alivyochepuka kapata kubwa kuliko aliyonayo mumewe
 
Back
Top Bottom