Kuchepuka raha

Kuchepuka raha

Hakuna anaye amua kubadirika rafiki yangu, wanaume huwa tuna tamaa sikatai lakini ni wepesi wa kubadirika, wewe unatakiwa ujue kilichombadirisha mpaka akawa siyo mwaminifu kwenye ndoa, either ni tamaa zake au ni wewe mwenyewe hapo utajua umbadirishe vipi, lakini akija ananuna na wewe unampotezea mnachofanya mnaharibu mustakabari wa familia yenu.
Mtu unamkalisha chini basi nieleze wapi nimeenda sivyo na nini kilichokubadilisha mume/ mpenzi wangu niambie heeee mtu anajifokesha "usinipangie jinsi ya kuishi naishi nitakavo na nitafanya nitakavyo kubadilika kwangu hakukuuhusu hela ya matumizi hupati"?sasa kwako nimefata hela ya matumizi au???? .... Na umejinunisha makusudi na kosa lako nikubembeleze ili iweje sasa... Jinunishe ukijisikia kuongea ongea na ukijisikia kurudi ulikotoka rudi tu maana mimi nishasema sitakaa tena nibembeleze mwanaume ... Khaaa jamani mwanamke anaposema amechoka kweli kachoka tunavumilia mengi mjue
 
Wacha we!! Kumbe mnajuaga kutia huruma hivi na kutoa ushauri!!
Mpeanage huu ushauri huko bar sio mnajua kuwashauri wanawake tu. Muuishi ushauri wenu.
 
Ingekuwa kibamia sidhani kama ungekubali kuolewa
Katafuteni maradhi muyalete ndani
 
Pole mdada, umetegwa na bwana satan ukaingia mtegoni, kazi ya shetani ni kukupa vishawishi na majaribu.

Ni akili yako tu na moyo wako ndio vitakusaidia kushinda yote hayo.

Kwako wewe ulikua katika right path ila inaonekana shetani kashinda vita yake juu yako.

Pole tena kwa mara nyingine
Ooooh poor shetani, leo umekumbukwa!!
 
Umeingia pabaya,huyo mchepuko anao kama wewe sita,jiandae kwa TB SUGU.
 
Halafu yakiwakuta mbona waombe uzima!, cos yanaweza tokea mabaya zaidi. kuna binadamu wengine hawajali uhai, si wao si wa wengine.
Kuna kisa kimoja cha mume wa mtu kajichanganya na mchepuko kumbe mchepuko nao una wake. Wasije gongana siku moja na mume wa mtu katika Ugomvi aliumizwa vibaya nusu mauti. Toka apone katulia na mkewe hataki hata kusikia habari za michepuko.
Unijie na manundu yako ya kufumaniwa, huyo mchepuko akuuguze hukohuko!!!
 
Toka niolewe miaka mingi tu toka niolewe sijawahi hata kuwaza kuna siku ntakuja kuchepuka, nilimpenda sana mume wangu.

Tatizo mwanaume huyu amekua jipu maana sio kwa umalaya huu na majibu ya karahaa. Hajawahi kuniambia samahani na mara zote nimemkuta na ushahidi na nilichokua nahitaji ni kuniambia samahani tu.

Ila kwanza ukimkuta kwanza ananuna hata mwezi hakusemeshi, hakugusi kosa lake ila ndio anakugeuzia wewe kibao.

Nimetafakari nikaona ya nini kujitia jakamoyo na mimi natongozwa. Nimejichukulia zangu mzigo loh! Si kwa raha hizi sijui hata nilichelewaga wapi mie!

Nimejiona mjinga kweli yaani baada ya kuchepuka nimekuja kujiona bonge la mjinga kumbembelezaga na kulilia kadudu kake kumbe kabamia hata hajui kitu kumbe!

Sasa hivi tunaenda sawa tu hakuna ugomvi raha tupu, asiponigusa nashukuru, zamani ningeumia. Asiporudi nyumbani naagiza soda nakunywa.
na mimi nipe nikushughulikie utamsahau kabisa mumeo
 
Mtu unamkalisha chini basi nieleze wapi nimeenda sivyo na nini kilichokubadilisha mume/ mpenzi wangu niambie heeee mtu anajifokesha "usinipangie jinsi ya kuishi naishi nitakavo na nitafanya nitakavyo kubadilika kwangu hakukuuhusu hela ya matumizi hupati"?sasa kwako nimefata hela ya matumizi au???? .... Na umejinunisha makusudi na kosa lako nikubembeleze ili iweje sasa... Jinunishe ukijisikia kuongea ongea na ukijisikia kurudi ulikotoka rudi tu maana mimi nishasema sitakaa tena nibembeleze mwanaume ... Khaaa jamani mwanamke anaposema amechoka kweli kachoka tunavumilia mengi mjue
Damn!!!
Heaven Sent huu moyo unao?

Usione watu hawajihangaishi na waume zao ujue yamewafika kooni, akiulizia maji anaonyeshwa kwa mguu tu!!
 
Mtu unamkalisha chini basi nieleze wapi nimeenda sivyo na nini kilichokubadilisha mume/ mpenzi wangu niambie heeee mtu anajifokesha "usinipangie jinsi ya kuishi naishi nitakavo na nitafanya nitakavyo kubadilika kwangu hakukuuhusu hela ya matumizi hupati"?sasa kwako nimefata hela ya matumizi au???? .... Na umejinunisha makusudi na kosa lako nikubembeleze ili iweje sasa... Jinunishe ukijisikia kuongea ongea na ukijisikia kurudi ulikotoka rudi tu maana mimi nishasema sitakaa tena nibembeleze mwanaume ... Khaaa jamani mwanamke anaposema amechoka kweli kachoka tunavumilia mengi mjue
Mume akitaka apate muda wa kuwa na kimada wake lazima aanzishe timbwili nyumbani. Kitu kidogo utafokewa wee ili ujibizane nae apate ticket ya kununa na kuchelewa kurudi nyumbani.
.
.
Dawa yao ni kukaa kimya. Akianzisha timbwili unamuangalia tu, abwabwaje achoke! Na wanaume wa siku hizi sijui wametokea pande zipi yaani wanapenda kununanina na maghubu kama wanawake.
 
Mtu unamkalisha chini basi nieleze wapi nimeenda sivyo na nini kilichokubadilisha mume/ mpenzi wangu niambie heeee mtu anajifokesha "usinipangie jinsi ya kuishi naishi nitakavo na nitafanya nitakavyo kubadilika kwangu hakukuuhusu hela ya matumizi hupati"?sasa kwako nimefata hela ya matumizi au???? .... Na umejinunisha makusudi na kosa lako nikubembeleze ili iweje sasa... Jinunishe ukijisikia kuongea ongea na ukijisikia kurudi ulikotoka rudi tu maana mimi nishasema sitakaa tena nibembeleze mwanaume ... Khaaa jamani mwanamke anaposema amechoka kweli kachoka tunavumilia mengi mjue
Kweli lakini jiulize kwa style hiyo anaye umia nani baba hashikiki na mama umeamua kufanya yako, je kama mna mtoto/watoto mnawawekea mazingira gani kwa baadae??
 
Back
Top Bottom