Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,361
- 176,181
Mume atapigwa kabla ya mke.Umesikia kilicho tokea Arusha, leo, basi wenzako waendekeza mchepuko wamepigwa kibiriti, sasa na wewe endekeza uchepukaji alafu utaona majibu yake…
Mume atapigwa kabla ya mke.Umesikia kilicho tokea Arusha, leo, basi wenzako waendekeza mchepuko wamepigwa kibiriti, sasa na wewe endekeza uchepukaji alafu utaona majibu yake…
Ujue wanachosha hawa watu, Huyu mwanamke anaongezewa tena jukumu la kumtoa mununo mmewe kisa katoka kuchepuka na kununa juu heeee!Hahahahaha you people
Afu wanavyong'ang'ania kuchepuka wao tu, hao wanaochepuka nao sio wanawake? Sasa wanawake wote tukiwa waaminifu watachepuka na kina nani?Zile amri za Mungu kumbe zilisema mwanamke akixitenda basi atakuwa amekosea zaidi ya mwanaume eeeh!! Basi sawa.
Ukilalamika hapo utaambiwa ndo wanawake wasomi walivyo. WatutueUjue wanachosha hawa watu, Huyu mwanamke anaongezewa tena jukumu la kumtoa mununo mmewe kisa katoka kuchepuka na kununa juu heeee!
Ha haaa eti mwanaume ni mtoto! Mtoto utawezaje kuwa kichwa cha familia? Mwanamke mtu mzima sio! Na utoto wenu kwanini mnakimbilia ndoa? Bakini kuwa watoto muuendelee kufanya matusi. Ndoa ni kwaajili ya watu wazima wenye akili timamu!Brothers mwanamke ndio nguzo ya familia....ukioa mwanamke mwenye mawazo kama ninayo yaona humu...ndoa yako haita dumu mwaka i guarantee you....wanamme ni kama watoto, ukiona kachepuka jua kwamba mama hujatimiza wajibu vzr
Bora mnunisho uwe umeusababisha wewe, yaani mtu kajipnga kujinunisha kwa sababu zake eti wewe busyyyy kum-un-nunisha!! Kiruuuuu!!Ujue wanachosha hawa watu, Huyu mwanamke anaongezewa tena jukumu la kumtoa mununo mmewe kisa katoka kuchepuka na kununa juu heeee!
Watakuambia wanawake ni wengi kuliko wanaume.Afu wanavyong'ang'ania kuchepuka wao tu, hao wanaochepuka nao sio wanawake? Sasa wanawake wote tukiwa waaminifu watachepuka na kina nani?
Ujinga tu, wanawake wengi wa sasa hawajitambui kwakweliMume atapigwa kabla ya mke.
Akienda kwa mwingine ataona ni kubwa zaidi, atamuita na huyo ana kibamia,Kibamia ni relative term. Mwanzoni alidhani dyudyu zote size moja. Alivyochepuka kapata kubwa kuliko aliyonayo mumewe![]()
![]()
![]()
![]()
Mi nadhani tuamue kuwa waaminifu ili wachepuke wao kwa wao!Afu wanavyong'ang'ania kuchepuka wao tu, hao wanaochepuka nao sio wanawake? Sasa wanawake wote tukiwa waaminifu watachepuka na kina nani?
Ndo hapo sasaBora mnunisho uwe umeusababisha wewe, yaani mtu kajipnga kujinunisha kwa sababu zake eti wewe busyyyy kum-un-nunisha!! Kiruuuuu!!
harafu kinachomununisha sijui kitu gani! Uende kwa raha zako,harafu uninunie mie,ndo maana nawaambia wajifunze kwa wanawake hakuna mwanamke anayetoka kuchepuka arudi home amenuna hayupo!! Anarudi kwa tabasamu la bashasha maana anakua mwepesi mpaka basi hata ukimwambia apande mlima uluguru kwa kukimbia mbona anaenda.Siku izi mkipewa keleb mnakimbilia social media, mara dawati la jinsia au mahakamani. Tumeamua tutafute mbadala, mkizingua zaidi tunachoma moto ili tukakutane dawati la jinsia huko MbinguniMume akitaka apate muda wa kuwa na kimada wake lazima aanzishe timbwili nyumbani. Kitu kidogo utafokewa wee ili ujibizane nae apate ticket ya kununa na kuchelewa kurudi nyumbani.
.
.
Dawa yao ni kukaa kimya. Akianzisha timbwili unamuangalia tu, abwabwaje achoke! Na wanaume wa siku hizi sijui wametokea pande zipi yaani wanapenda kununanina na maghubu kama wanawake.

Hebu pendekeza hiyo njia ya kutatua tatizo kama ipi?Hapa ndipo tunapokosea hasa tunapotaka kulipizana kisasi, na usidhani kama unatatua tatizo bali unaliongeza tatizo kuwa kubwa zaidi ya lile ulilokuwa nalo.
asiyesikia la wakuu, huvunjika guu..siku utakayovunjika guu ndipo utakumbuka ushauri wa wengi humu ndani!
Lazima arudi amenuna maana amegharamikia kila kitu kwa mchepuko..kuanzia vocha, msosi, vinjwaji, lodge na pesa ya kuhonga..Halafu kakuta nyama ni ile ile bora ya mywife! Mnuno hapo lazima!Ndo hapo sasa![]()
harafu kinachomununisha sijui kitu gani! Uende kwa raha zako,harafu uninunie mie,ndo maana nawaambia wajifunze kwa wanawake hakuna mwanamke anayetoka kuchepuka arudi home amenuna hayupo!! Anarudi kwa tabasamu la bashasha maana anakua mwepesi mpaka basi hata ukimwambia apande mlima uluguru kwa kukimbia mbona anaenda.
Mkumbushe pia siku hizi adhabu ya moto inaanzia duniani.Hongera kwa kazi
Miaka yote hukujua kuwa ni kibamia,yaani unavyosema mmeoana miaka mingi maana yake kakuchoka na akawa anapata raha kwingine labda hujui kapata shimo la saizi yake na la kwako kaliona kubwa kupita kiasi halikuwa linamfurahisha kwa huo ukubwa uliopitiliza.Toka niolewe miaka mingi tu toka niolewe sijawahi hata kuwaza kuna siku ntakuja kuchepuka, nilimpenda sana mume wangu.
Tatizo mwanaume huyu amekua jipu maana sio kwa umalaya huu na majibu ya karahaa. Hajawahi kuniambia samahani na mara zote nimemkuta na ushahidi na nilichokua nahitaji ni kuniambia samahani tu.
Ila kwanza ukimkuta kwanza ananuna hata mwezi hakusemeshi, hakugusi kosa lake ila ndio anakugeuzia wewe kibao.
Nimetafakari nikaona ya nini kujitia jakamoyo na mimi natongozwa. Nimejichukulia zangu mzigo loh! Si kwa raha hizi sijui hata nilichelewaga wapi mie!
Nimejiona mjinga kweli yaani baada ya kuchepuka nimekuja kujiona bonge la mjinga kumbembelezaga na kulilia kadudu kake kumbe kabamia hata hajui kitu kumbe!
Sasa hivi tunaenda sawa tu hakuna ugomvi raha tupu, asiponigusa nashukuru, zamani ningeumia. Asiporudi nyumbani naagiza soda nakunywa.