Kuchepuka raha

Kuchepuka raha

Halafu yakiwakuta mbona waombe uzima!, cos yanaweza tokea mabaya zaidi. kuna binadamu wengine hawajali uhai, si wao si wa wengine.
Kuna kisa kimoja cha mume wa mtu kajichanganya na mchepuko kumbe mchepuko nao una wake. Wasije gongana siku moja na mume wa mtu katika Ugomvi aliumizwa vibaya nusu mauti. Toka apone katulia na mkewe hataki hata kusikia habari za michepuko.
Angetenguliwa kiuno kabisa ili naye mke apate waku mpunguzia stress angetolewa na jicho kabisa
 
halafu wakuu tukumbuke hata wale malaya wa Meeda, Coco beach na buguruni wapo humu jamii forums.. sasa kwa vile hawawezi kusema kwamba wao ni malaya wanaandika hizi post na kujifanya wanandoa ili kuwaaminisha wanawake wengine kuwa umalaya ni kitu cha kawaida.. When a businessman wants to sell his products he tells diamond to tell the community he uses the same products, when a prostitute wants to make other women prostitutes she pretends in social media to be a marrried woman and makes cheating sound like a cool thing to do.
 
Tahadhar. usije ukaposti tena jf kuomba msaada. kila jambo baya lina impact yake ktka hii dunia,trust me huwez kimbia impact ya mistakes zako
 
Wakuolewa sio wewe.unawasemea watu ili uwashawishi waanze tabia ulio nayo.mungu amfunulie mapema huyo jamaa ili akumwage na huo mchepuko ukuteme ukawe mwanachama wa kambi ya fisi.pili mnashauriwa kila siku kwamba usimtegee mmeo kuwa kila wakati yeye ndo anahamu wewe huna hamasa yoyote unasubiri tu kufunuliwa kama kurasa za kitabu.
Kwa uelewa wangu huyu mwanamke ni goal kipa,hana kazi ya kumfanya awe bize,pili Nina waswas na elim yake std 7.over
 
halafu wakuu tukumbuke hata wale malaya wa Meeda, Coco beach na buguruni wapo humu jamii forums.. sasa kwa vile hawawezi kusema kwamba wao ni malaya wanaandika hizi post na kujifanya wanandoa ili kuwaaminisha wanawake wengine kuwa umalaya ni kitu cha kawaida.. When a businessman wants to sell his products he tells diamond to tell the community he uses the same products, when a prostitute wants to make other women prostitutes she pretends in social media to be a marrried woman and makes cheating sound like a cool thing to do.
really appreciate your statement broo
 
Huo msemo wa ndoa kuwa ngumu si za kweli. haya maharusi yanayoendele huyaoni mkuu? Na hizi kadi za michango ni kuku ndio wanaoana? Ndoa zipo na watu wanazidi kujiunga na chama. Asikwambie mtu ndoa tamu bwana...ni hivi vikero vidogodogo ndio tunawekana sawa hapa!
ndo mana hazikai hata miezi sita watu wanaachana.. barnaba yukwapi sasa?
 
Unijie na manundu yako ya kufumaniwa, huyo mchepuko akuuguze hukohuko!!!
Kama mie hata maji simchemshii kila siku kanisani na ibada za walokole zinavyochelewa tamthilia kwa sana nienda kulala ukutani kimya chai na mihogo kimya ili akome
 
KWA RAHA ZAKO MAMA!
ukimwi HATA USINGECHEPUKA UNGEUPATA KWA TABIA YA MUMEO!
SASA SI BORA UUPATE NA WEWE UWE UMEPATA RAHA!
Mnatuchelewesha kuoa kwasababu unakuta tunawapata kurahisi hivyo.
 
Kwani mwanaume akiwa anachepuka hua anakusudi la kuvunja ndoa yake?kwanza nachepuka kwa siri sio achepukavyo mme.
Akikufumania hapo ndo utaona cha moto,aunakipata udhibitisho.. anakuacha unabaki single mother.
 
Yaani huu uzi ungeandikwa na mwanaume ungeona jinsi ambavyo angesifiwa!!!
Sasa hao wanaume wanaojisifiaga kuchepuka ndo wajue sasa kua wake zao hawawasubiri tu, nao wanatafuta michepuko! Huyu dada wala simshangai, sema tu yeye kajitoa ufahamu na kuandika hapa... Ila hili lipo kwenye jamii... Wanawake kibao kwenye ndoa wanachepuka. Wanaume waamke, usidhani kumueka ndani na kuendelea na michepuko unamkomoa... Mnakomoana siku hizi
Hamna sifa mbaya kama mwanamke kuchepuka bora mwanaume aisee
 
halafu wakuu tukumbuke hata wale malaya wa Meeda, Coco beach na buguruni wapo humu jamii forums.. sasa kwa vile hawawezi kusema kwamba wao ni malaya wanaandika hizi post na kujifanya wanandoa ili kuwaaminisha wanawake wengine kuwa umalaya ni kitu cha kawaida.. When a businessman wants to sell his products he tells diamond to tell the community he uses the same products, when a prostitute wants to make other women prostitutes she pretends in social media to be a marrried woman and makes cheating sound like a cool thing to do.
Hujua hata ulichoandika. And yes malaya wapo..na wapo hapa kikazi sidhani kama wana muda wa kiandika mambo ya ndoa!
 
Mume akitaka apate muda wa kuwa na kimada wake lazima aanzishe timbwili nyumbani. Kitu kidogo utafokewa wee ili ujibizane nae apate ticket ya kununa na kuchelewa kurudi nyumbani.
.
.
Dawa yao ni kukaa kimya. Akianzisha timbwili unamuangalia tu, abwabwaje achoke! Na wanaume wa siku hizi sijui wametokea pande zipi yaani wanapenda kununanina na maghubu kama wanawake.
Yaani nashangaa wanaume wasiku hizi kosa anafanya muulize majibu yake halafu ananuna mimi huwa najiuliza unanuna nakupikia chakula una akili sijui kitu gani mwanaume una mnunia mke kweli zamani tulisikia wakubwa zetu mke akinuna baba akitoka na zawadi mke anacheka hasira kwishineee mambo yanaendelea sasa wame wa mwendokasi anavuta mdomo kama chiriku na sura zao za kiume kama kaambiwa dunia inanuka mke naye kijitafutia katulizo pembeni kwa raha zake wewe nuna tu.
 
ndo mana hazikai hata miezi sita watu wanaachana.. barnaba yukwapi sasa?
Watu wanaachana kila siku tangu enzi na enzi. Kumtaja barnaba ni kumuonea..bora yeye amerelax sasa hivi. No more stress!
 
Teh teh wanaume wa jf wanafiki sana. Hapa ingekuwa ni mwanaume kapost basi angepongezwa vya kutosha. Angesifiwa kwa kuvuta kitu, wengine wangesema safi sana ndio dawa yao.
.
.
Chepuka tu bidada. K ni yako, ndoa ni yako! Life is too short!
Just be careful!
Wee mshauri mwenzako agawe k, ila mkae mkijua kwamba mwanamke ana 80% ya kupata ukimwi wanaume 20% amwambie agawe hata kwa mbwa wa stend sio kwa wanaume tuu.
 
Back
Top Bottom