Kuchepuka raha

Kuchepuka raha

Kumbe inauma eeh!!
Inawaumaga kweli, halafu unakuta wivu balaa hataki utoke nyumbani anajua unaweza kumbana naye huko, mke hafugiki kama njiwa bali tunawaheshimu tu na kumheshimu Mungu na ndoa ila wanaboa na kutuona washamba ila huko kwa malaya wao huko ss ngoma droo
 
MWENZANGU WE KAMA UMEKUBALI KUBANWA ,BANWA TU!
 
ahhaahhahaha UNAMZUNGUMZIA MWANAMKE WA KARNE IPI ANAYESUBIRI HELA YAKO?NA RIDHIKO NA KUZAA?
watt mnabambikiwa kila kukicha!
kuridhisha wapo wenzenu kibao huko nje na magu huyu hawana kazi
kuleta pesa ,kwa mfumo huu huu wa ukiwezehsa mwanamke umewezesha mumewe na familia yake?
WE BANA HEBU ACHA KULINGANISHA WANAWAKE WA MIAKA HII NAVITU VYA KIJINGA!

unamatatizo ya macho nini mdogo wangu mbona maherufi makubwaa hivyoo.

apo ndo mnapokosea mnafikiri mama zenu na bibi walikuwa wa shamba.

katiba mliyopewa na Mungu kuwaongoza mmeitelekeza katiba mpya hamna mpo mpo tu. saiv mmeanza mashindano.
 
unakaa kama gogo la mparachichi muda huo ushakua bubu. unataka style kifo cha mende tuu. unataka kuridhishwaje katika toa miguno. uone utakavyo tembezewa dudu

kuzaa tunatekelekeza???? unategesha mimba kwa mtu ambae hakupendi unategemea nini.
Kama ni gogo tangu unanioa hapo sawa! Kama nimekuwa gogo ghafla ujue kuwa kuna ninayempa mauno na wewe nafanya tu ili kutekeleza wajibu.
.
.
Na wewe unakubalije kuoa mwanamke gogo, miguno hakuna? Tatizo umelianzisha wewe..wewe ndio muoaji.
 
Yaani nashangaa wanaume wasiku hizi kosa anafanya muulize majibu yake halafu ananuna mimi huwa najiuliza unanuna nakupikia chakula una akili sijui kitu gani mwanaume una mnunia mke kweli zamani tulisikia wakubwa zetu mke akinuna baba akitoka na zawadi mke anacheka hasira kwishineee mambo yanaendelea sasa wame wa mwendokasi anavuta mdomo kama chiriku na sura zao za kiume kama kaambiwa dunia inanuka mke naye kijitafutia katulizo pembeni kwa raha zake wewe nuna tu.
Wanaume wamekuwa na tabia za kike..kununanuna hovyo hovyo! Kidume kizima unanuna? Wake zao wamechukua tabia zao za kuchepuka! Patamu hapo..
 
Wee mshauri mwenzako agawe k, ila mkae mkijua kwamba mwanamke ana 80% ya kupata ukimwi wanaume 20% amwambie agawe hata kwa mbwa wa stend sio kwa wanaume tuu.
Sasa huyu mwanamke anaenda kulala na mwanamke mwenzie? Kama anaenda kulala namwanaume mwenye 20% kumbe atakua nae salama
 
umejuaje? wewe ni malaya?
Inawezekana ndio au sio. Chagua jibu sahihi.
Sasa jf inawatu wangapi utegemee wote wawe watakatifu? Humu kuna kila aina ya watu, malaya wa kike na wa kiume, mashoga wa kike na wa kiume, wachawi, wachungaji na mashehe, watoto vijana na wazee. Hakuna sampuli isiyokosekana!
 
Ahsante kwa mleta mada hii(kisia) maana nimejifunza mengi sana juu ya mke. Mwanzo wa mada kisia amesemwa sana kama ametenda kosa kubwa sana (ni kweli) lakini ujio wa hawa wadada Ms. Lincoln, demi, Heaven Sent, miss chagga, Nalendwa, Evelyn Salt, ringson, espy, LadyRed, Msweet, Go mi num, firstLady 1,nao,...hakika,wanaume tuna la kujifunza na lazima tukubali kuwa sisi ni wajinga kiasi fulani. Hakuna haja ya kuombewa maana hicho ndio kilio cha wanawake wengi walio kwenye ndoa, tubadilike kwa hiari. Naona aibu hata kumuangalia wife tangu jana (kaa nami Bwana Yesu peke yangu siwezi). Mkuu Ngoda 95 na wengine tubadilike, tuwajali hawa viumbe. AMEN
Ha ha ha ha ha nimecheka jamani eti bwana yesu akae nawe peke ako huwezi 😀😀
 
Kama ni gogo tangu unanioa hapo sawa! Kama nimekuwa gogo ghafla ujue kuwa kuna ninayempa mauno na wewe nafanya tu ili kutekeleza wajibu.
.
.
Na wewe unakubalije kuoa mwanamke gogo, miguno hakuna? Tatizo umelianzisha wewe..wewe ndio muoaji.

baada ya ndoto yako kuolewa kutimia na nyumbani mlikuwa mnakula kwa kale kamsemo cheza mbali ungarobo

umekuja kwa mume nyama kwa week mara tatu umekula bila mpangilio umekuwa bonge kiuno ata hakikatiki tena.

ata kama ni wewe ungekuwa mwanaume ungechepuka tuu.
 
Mimi ni bonge yangu utoto wangu sijawahi kukonda! Naupenda ubonge wangu kupita maelezo. Huo unga robo kilo niliokuwa napata kwa wazazi wangu ndio huo huo umenipa afya! Hata sasa nikirudi naridhika na maisha yanaenda.
.
.
Yaani wewe kama mkeo kafata chakula kwako ujue wote wawili mna matatizo.
.
.
 
Back
Top Bottom