Kuchepuka raha

Kuchepuka raha

huyu hajaolewa.. kametemwa na kaboifrend kake coz kana U.T.I sugu ndo mana kanatema povu humu
 
Not all women were born to be respected mothers,some were born to serve sexual addicted men wherever they are.
Ooh yeah sasa umefika pazuri. Hao some women unaowaongelea wawepo kuwaridhisha nyie wanaume mafisi wengine wapo kwenye ndoa, mmewaoa wenyewe.
.
.
Na pia kuna wanaume hawafai kuwa mume wanafaa tu kuwaridhisha wanawake ambao hawaridhishwi vizuri kwenye ndoa zao.
.
.
HIYO NDIO NATURE SASA. Why tunapingana na kitu kipo wazi? Uridhishwi na mke wake nenda kwa hao wanawake wanaokuridhisha, Humridhishi mke wako subiri Midume makini imridhishe.Tupeane amani ya mwili na roho!
.
.
Na kama unajijua kabisa ukioa au ukiolewa hutaridhika na huyo mmoja kwanini unaingia kwenye ndoa?
 
Ntachelewa kuoa kama ndiyo hivi,siwezi nikawa na mwanamke mzinzi,anashusha sana personality na anaaibisha sana ndugu zake hasa wanapoambiwa 'dada yenu yuko gesti au kwenye chumba cha msela anapiga kelele kinoumah'
Hata ukichelewa ni yale yale!
 
Toka niolewe miaka mingi tu toka niolewe sijawahi hata kuwaza kuna siku ntakuja kuchepuka, nilimpenda sana mume wangu.

Tatizo mwanaume huyu amekua jipu maana sio kwa umalaya huu na majibu ya karahaa. Hajawahi kuniambia samahani na mara zote nimemkuta na ushahidi na nilichokua nahitaji ni kuniambia samahani tu.

Ila kwanza ukimkuta kwanza ananuna hata mwezi hakusemeshi, hakugusi kosa lake ila ndio anakugeuzia wewe kibao.

Nimetafakari nikaona ya nini kujitia jakamoyo na mimi natongozwa. Nimejichukulia zangu mzigo loh! Si kwa raha hizi sijui hata nilichelewaga wapi mie!

Nimejiona mjinga kweli yaani baada ya kuchepuka nimekuja kujiona bonge la mjinga kumbembelezaga na kulilia kadudu kake kumbe kabamia hata hajui kitu kumbe!

Sasa hivi tunaenda sawa tu hakuna ugomvi raha tupu, asiponigusa nashukuru, zamani ningeumia. Asiporudi nyumbani naagiza soda nakunywa.
Wewe na mume wako mna nyota ya ukimwi,,,
 
wanaume hapa wanakupinga sana,kisa umefanya wewe mwanamke ila angekua mwanaume mwenzao ndo kafanya hivi wangempongeza na kumwona mjanja.....
mama just do what makes you happy katika maisha yako ila tu uwe makini na magonjwa,yani kabinadam kamoja ndo kakukoseshe amani mtoto wa watu loh...u deserve better mama...
watajisemesha hapaaaa ILA WANAJUA DEEP DOWN NA WAKE ZAO NDO WANAFANYA HIVI HIVI!AHAHAHAHAHHAHAHHAA HAISRA NI PALE WANAPOIMAGINE KUWA WAT IF ANAYEANDIKA HII SREDI NI MKE WANGU?

BASI POVU LINAWATOKAJEEEEEEEEEEEEE?
mwaya wanaume poleni!
TUNAELEWA MNAVOUMIA!
MSIJALI LAKINI HAYO MAUMIVU HUWA HAYAISHI WALA HAYAUI!
MBONA SIE HATUFI KLA SIKU!
NDOA NI UVUMILIVU JAMANI!
ndoa ni KATIKA SHIDA NA RAHA!
NDOA NI KUJISHUSHA
NDOA NI KUSUGUA GOTI

ahahahhahahahha
 
Karibu shosti tulijenge taifa
AH SIE NDO WAJENZI HURU WENYEWE ATIIIII!

KWANI MUME UNAKOSA NINI?
ahahhaahhahahahaha
HEBE WAAMBIE WAACHE KUWAFATILIA WAKE ZAO!
UKITAKA UDUMU KWENYE NDOA ACHA KUPEKUA SIMU YA MKEO!
MRADI ANARUDI NYUMBANI,
MRADI HAFANYI MBELE YAKO
MRADI HAJAKUFUKUZA NYUMBANI
shida yao nini?


AHAHAHHAHAHAHAHHAHA
 
KWA RAHA ZAKO MAMA!
ukimwi HATA USINGECHEPUKA UNGEUPATA KWA TABIA YA MUMEO!
SASA SI BORA UUPATE NA WEWE UWE UMEPATA RAHA!
brokenhearted teenager advising another brokenhearted teenager.. and these girls wonder why they keep repeating the same old mistakes... maskini anamshauri maskini mwenzake jinsi ya kuwa tajiri
 
brokenhearted teenager advising another brokenhearted teenager.. and these girls wonder why they keep repeating the same old mistakes... maskini anamshauri maskini mwenzake jinsi ya kuwa tajiri
Unatamanije unachokiandika kiwe ndicho ninachokiamini?
 
Back
Top Bottom