ThanksNdio, enheeee
Nkujifarij tu lakin anaumiaMhhh,
Hv kuchepuka ndio jawabu?anyway hongera zako but hayo mambo ya kibamia sijui hajui kitu unayoyasema ni udhalilishaji kwa mumeo ila kila la kheri.
Hivi kwa upande wa wanawake ndo huwa mnajua kwamba kuna magonjwa wakichepuka, nyie hamjuagi eti?Poleni sana,mtakuja kufa na magonjwa.Kila mchepuko una michepoko zaidi ya 5 ya pembeni ,,,,,,tafakari mkuu
wanaume hapa wanakupinga sana,kisa umefanya wewe mwanamke ila angekua mwanaume mwenzao ndo kafanya hivi wangempongeza na kumwona mjanja.....
mama just do what makes you happy katika maisha yako ila tu uwe makini na magonjwa,yani kabinadam kamoja ndo kakukoseshe amani mtoto wa watu loh...u deserve better mama...
Akili itakusogea muda si mrefu!Toka niolewe miaka mingi tu toka niolewe sijawahi hata kuwaza kuna siku ntakuja kuchepuka, nilimpenda sana mume wangu.
Tatizo mwanaume huyu amekua jipu maana sio kwa umalaya huu na majibu ya karahaa. Hajawahi kuniambia samahani na mara zote nimemkuta na ushahidi na nilichokua nahitaji ni kuniambia samahani tu.
Ila kwanza ukimkuta kwanza ananuna hata mwezi hakusemeshi, hakugusi kosa lake ila ndio anakugeuzia wewe kibao.
Nimetafakari nikaona ya nini kujitia jakamoyo na mimi natongozwa. Nimejichukulia zangu mzigo loh! Si kwa raha hizi sijui hata nilichelewaga wapi mie!
Nimejiona mjinga kweli yaani baada ya kuchepuka nimekuja kujiona bonge la mjinga kumbembelezaga na kulilia kadudu kake kumbe kabamia hata hajui kitu kumbe!
Sasa hivi tunaenda sawa tu hakuna ugomvi raha tupu, asiponigusa nashukuru, zamani ningeumia. Asiporudi nyumbani naagiza soda nakunywa.
Toka niolewe miaka mingi tu toka niolewe sijawahi hata kuwaza kuna siku ntakuja kuchepuka, nilimpenda sana mume wangu.

Nimesema mtakuja kufa wewe na mmeo,vilevile mwanamke ni rahisi kuambukizwa ila hiyo haimfanyi mwanaume kuwa safe 100%Hivi kwa upande wa wanawake ndo huwa mnajua kwamba kuna magonjwa wakichepuka, nyie hamjuagi eti?
hilo barafu litakua so la nchi hiiSi kweli, sio wanaume wote wanapenda kuchepuka,..mbona mi nimetulia tu jaman kama barafu.
Wote walewale, Hamna cha mwanamke wala mwanaume. Kama ni hivyo basi nikiwa na mchepuko sio rahisi kuambukizwa maana umesema wanaume si rahisi kuambukizwa. Kwahyo bafo usalama upo.Nimesema mtakuja kufa wewe na mmeo,vilevile mwanamke ni rahisi kuambukizwa ila hiyo haimfanyi mwanaume kuwa safe 100%
hilo barafu litakua so la nchi hii
Acha kuchepuka ,mweleze mmeo nae aacheWote walewale, Hamna cha mwanamke wala mwanaume. Kama ni hivyo basi nikiwa na mchepuko sio rahisi kuambukizwa maana umesema wanaume si rahisi kuambukizwa. Kwahyo bafo usalama upo.
Kwa mtazamo wako
Poleni sana,mtakuja kufa na magonjwa.Kila mchepuko una michepoko zaidi ya 5 ya pembeni ,,,,,,tafakari mkuu