miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
tumia condom tu
leo watatoa povu la omowanaume hapa wanakupinga sana,kisa umefanya wewe mwanamke ila angekua mwanaume mwenzao ndo kafanya hivi wangempongeza na kumwona mjanja.....
mama just do what makes you happy katika maisha yako ila tu uwe makini na magonjwa,yani kabinadam kamoja ndo kakukoseshe amani mtoto wa watu loh...u deserve better mama...
hapo ndiyo wanaume mnapojidanganya na bora muendelee kujidanganyaNimeshitushwa na Maneno yako! Wenzako wanachepuka wakiwa kwenye mahusiano na sio ndoa. Wacha nikukumbushe jambo, Ndoa ni kiapo kwa Mungu na uliapa mbele ya ndugu jamaa na wazazi wenu ukifanyacho leo kitaondoa baraka zote ndan ya nyumba yenu. Nendeni mkatubu!
Wewe shangaa shangaa tu, yule mbeba box wako yuko busy na mbuzi kagoma kwenda!........ believe me!Wanaume naona povu linawatoka! Ama kweli mkuki kwa nguruwe
Wanaume mnayaanzisha yote haya!!! Unaona mke anakusigia kila siku unajiona kidume na kuanza kugawa dudu hovyo nje... Kumbe una kibamia na shughuli huijui!!! Ata kama kumdhalilisha mumeo si ustaarabu, Mnajitakiaga kudhalilishwa.Mhhh,
Hv kuchepuka ndio jawabu?anyway hongera zako but hayo mambo ya kibamia sijui hajui kitu unayoyasema ni udhalilishaji kwa mumeo ila kila la kheri.
Kwani hajui kuwa hapaswi kufanya hvo?Acha kuchepuka ,mweleze mmeo nae aache
Yaani huu uzi ungeandikwa na mwanaume ungeona jinsi ambavyo angesifiwa!!!wanaume hapa wanakupinga sana,kisa umefanya wewe mwanamke ila angekua mwanaume mwenzao ndo kafanya hivi wangempongeza na kumwona mjanja.....
mama just do what makes you happy katika maisha yako ila tu uwe makini na magonjwa,yani kabinadam kamoja ndo kakukoseshe amani mtoto wa watu loh...u deserve better mama...
Yaani limewauma!!!Wanaume naona povu linawatoka! Ama kweli mkuki kwa nguruwe



Linawatokaje!! Angekua mwanaume mwenzao angepongezwaWanaume naona povu linawatoka! Ama kweli mkuki kwa nguruwe




Hata huyo alompata hana dudu nzuri tafuta wengine kama wa5 upate nyingi tofauti ndo utaona raha yakuchepuka... Kamchepuko kamoja unasema raha kuchepuka.Toka niolewe miaka mingi tu toka niolewe sijawahi hata kuwaza kuna siku ntakuja kuchepuka, nilimpenda sana mume wangu.
Tatizo mwanaume huyu amekua jipu maana sio kwa umalaya huu na majibu ya karahaa. Hajawahi kuniambia samahani na mara zote nimemkuta na ushahidi na nilichokua nahitaji ni kuniambia samahani tu.
Ila kwanza ukimkuta kwanza ananuna hata mwezi hakusemeshi, hakugusi kosa lake ila ndio anakugeuzia wewe kibao.
Nimetafakari nikaona ya nini kujitia jakamoyo na mimi natongozwa. Nimejichukulia zangu mzigo loh! Si kwa raha hizi sijui hata nilichelewaga wapi mie!
Nimejiona mjinga kweli yaani baada ya kuchepuka nimekuja kujiona bonge la mjinga kumbembelezaga na kulilia kadudu kake kumbe kabamia hata hajui kitu kumbe!
Sasa hivi tunaenda sawa tu hakuna ugomvi raha tupu, asiponigusa nashukuru, zamani ningeumia. Asiporudi nyumbani naagiza soda nakunywa.